KAMWE usimfananishe Nyerere na vitu vya ajabu ajabu kama huyu nduli, mwizi, muongo, fisadi, mzinzi na maovu chungu nzima mengine. Huyu hafanyi makosa bali anafanya makusudi tia akili kichwani. Nyerere hakuwahi kugoma kukaguliwa na CAG kuiba senti moja hazina wala kufanya ufisadi.
Huyo kachota hazina Trillions bila idhini ya Bunge, ufisadi na wizi wa kutisha ikiwemo ukwapuzi wa 2.4 trillions na kugoma kukaguliwa
Acha kabisa kumfananisha Nyerere na huyo mhuni ambaye ameshindwa hata kuheshimu taasisi ya Urais.