Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Najua hii thread haitadumu Kwa sababu ya heading yake.
Huyu ndo Rais wetu anayejipambanua Kama mcha Mungu na tumwombee sana, roho yake ina chuki za kupindukia Kwa wapinzani
hata yeye pia anajitambua kuwa yupo hivyo
 
Najua hii thread haitadumu Kwa sababu ya heading yake.
Huyu ndo Rais wetu anayejipambanua Kama mcha Mungu na tumwombee sana, roho yake ina chuki za kupindukia Kwa wapinzani
Sio chukintu, sema ana roho mbaya kuliko shetani huenda kwao kuna wachawi na ndiyo mazingira aliyokulia. Anacheka sana nikimuona kanisani na kujifanya mcha Mungu
 
Unaishi wapi hadi hujui maovu ya huyu nduli? Hujasikia kuhusu dhuluma kwa wakulima wa korosho, wafanyabiashara, wafanyakazi, machinga? Hujasikia mpaka kuanza kutengwa na nchi wafadhili na mashirika ya Kimataifa? Hujasikia kuhusu kudharau katiba, mahakama, Bunge na ofisi ya CAG!? Open your eyes 👀 and brain 🧠 wide open to see what he is doing to destroy this beautiful country.

Ss mbona hamuelezi makosa yake. Yeye sio mkamilifu hata ww ulie post ukipewa hii nchi lazima watu watalalamika. Tuangalie aliyoyafanya ulinganishe na mabaya yake na utazame changamoto ya hii nchi
 
Unaishi wapi hadi hujui maovu ya huyu nduli? Hujasikia kuhusu dhuluma kwa wakulima wa korosho, wafanyabiashara, wafanyakazi, machinga? Hujasikia mpaka kuanza kutengwa na nchi wafadhili na mashirika ya Kimataifa? Hujasikia kuhusu kudharau katiba, mahakama, Bunge na ofisi ya CAG!? Open your eyes [emoji102] and brain [emoji3447] wide open to see what he is doing to destroy this beautiful country.
Aaah hakuna aliye perfect.
Hata Nyerere alikuwa na makosa mengi mno mpk kuitia nchi ktk njaa ya funga funga.
Na alikua mdhulumati hivyo hivyo kutaifisha mali za watu tena kwa kuzichunguza hadi vyumbani mwao.
Kikwete angeiuza hii nchi kabbisa kwa kugawa maeneo kwa imperialists kama kurasini na Pille temeke.
Na bado Mkapa sera zake za ubinafsishaji zimeharibu nchi kabbisa.Kwa yeye kubinafsisha mashirika makubwa yanaoingiza pato kubwa serikalini hususan TRC.Udini wake umefanya waislam kumchukia na kuwachukia dini nyingine kwa chuki zake za kuua na kuwapiga waislam hususan msikiti wa mwembe chai.
KIDOGO Alli Hassan Mwinyi alijitahidi ingawa kaipa nchi maden makubwa.
Na sasa yupo magufuli.
Ana mema yake na mabaya yake.
Msiongee tu
 
Magufuli ana Mungu ! Ni raisi atakayesomwa si Tanzania tu hata afrika mzima. Atakuwa mfano mwema na wa kuigwa. Jasiri, mwenye msimamo na vision. Bahati mbaya anaongoza baadhi ya watu wasio na shukrani wanaonyooshe wenzao vidole huku wao hata nyumba zao wameshindwa kuziongoza, wanaozaa watoto wakiwatelekeza, wezi wakubwa toka wakiwa mashuleni wakiibia mitihani mpaka maofisini. Wasio na shukrani. Hao ni wakujitenga nao
 
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Tanzania Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote,nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
________________________________________
Daaaa!!!!! Duuu!!!! Eeeeeh¡!!!!!!
Naichukua Tanzania ya Sasa,naichukia Ccm
 
KAMWE usimfananishe Nyerere na vitu vya ajabu ajabu kama huyu nduli, mwizi, muongo, fisadi, mzinzi na maovu chungu nzima mengine. Huyu hafanyi makosa bali anafanya makusudi tia akili kichwani. Nyerere hakuwahi kugoma kukaguliwa na CAG kuiba senti moja hazina wala kufanya ufisadi.

Huyo kachota hazina Trillions bila idhini ya Bunge, ufisadi na wizi wa kutisha ikiwemo ukwapuzi wa 2.4 trillions na kugoma kukaguliwa

Acha kabisa kumfananisha Nyerere na huyo mhuni ambaye ameshindwa hata kuheshimu taasisi ya Urais.

Aaah hakuna aliye perfect.
Hata Nyerere alikuwa na makosa mengi mno mpk kuitia nchi ktk njaa ya funga funga.
Na alikua mdhulumati hivyo hivyo kutaifisha mali za watu tena kwa kuzichunguza hadi vyumbani mwao.
Kikwete angeiuza hii nchi kabbisa kwa kugawa maeneo kwa imperialists kama kurasini na Pille temeke.
Na bado Mkapa sera zake za ubinafsishaji zimeharibu nchi kabbisa.Kwa yeye kubinafsisha mashirika makubwa yanaoingiza pato kubwa serikalini hususan TRC.Udini wake umefanya waislam kumchukia na kuwachukia dini nyingine kwa chuki zake za kuua na kuwapiga waislam hususan msikiti wa mwembe chai.
KIDOGO Alli Hassan Mwinyi alijitahidi ingawa kaipa nchi maden makubwa.
Na sasa yupo magufuli.
Ana mema yake na mabaya yake.
Msiongee tu
 
Jamaa sio kabisa.Yaaani full ukuda.Hila na chuki kama zote.Full visasi.
 
Wewe umezaliwa miaka hii kaka.
Waulize wazee.waliokuwa wakinyimwa kuvaa mitumba,wakikaguliwa mpk mavyumbani kupunguziwa mali zao eti kisa nyingi,njaa ya funga funga ndio big issue kabbisa.
We jamaa unataka kusema hayo sio makosa ya makusudi!?
Kutaifisha kilazma mali za mtu kwa jasho lake sio wizi?!
U can't even think.
KUwatia kina Bibi Titi jela pasi na makosa sio chuki na. Ujambazi huo?!
Nyie vipi Nyerere mabalaa yote yale mnamwita baba wa taifaaa?!
Kuna wenye kujielewa hawamwiti Nyerere sijui nyenyere baba wa taifa.
Because wanajua upuuzi mwingi wa makusudi alioufanya.
Thanks for listening and good bye.
KAMWE usimfananishe Nyerere na vitu vya ajabu ajabu kama huyu nduli, mwizi, muongo, fisadi, mzinzi na maovu chungu nzima mengine. Huyu hafanyi makosa bali anafanya makusudi tia akili kichwani. Nyerere hakuwahi kugoma kukaguliwa na CAG kuiba senti moja hazina wala kufanya ufisadi.

Huyo kachota hazina Trillions bila idhini ya Bunge, ufisadi na wizi wa kutisha ikiwemo ukwapuzi wa 2.4 trillions na kugoma kukaguliwa

Acha kabisa kumfananisha Nyerere na huyo mhuni ambaye ameshindwa hata kuheshimu taasisi ya Urais.
 
Ajiombee mwenyewe.Mungu hana rafiki na mtesi wa nafsi za watu.
Najua hii thread haitadumu Kwa sababu ya heading yake.
Huyu ndo Rais wetu anayejipambanua Kama mcha Mungu na tumwombee sana, roho yake ina chuki za kupindukia Kwa wapinzani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Full uongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbali na chuki zake kwa watanzania pia ni muongo sana huwezi kujua Tanzania ina samaki wangapi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom