Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Jiwe kwa ujuaji wake hana wasiwasi na watumishi wa uma Laki tano na nusu hata wasipompigia kura anajua atapata tu... Amesahau kuna wanaoumia ndani kwa ndani. Time na majeshi yanambeba
 
Jiwe kwa ujuaji wake hana wasiwasi na watumishi wa uma Laki tano na nusu hata wasipompigia kura anajua atapata tu... Amesahau kuna wanaoumia ndani kwa ndani. Time na majeshi yanambeba
Uliwahi soma hesabu za permutation na combination??
 
Jiwe kwa ujuaji wake hana wasiwasi na watumishi wa uma Laki tano na nusu hata wasipompigia kura anajua atapata tu... Amesahau kuna wanaoumia ndani kwa ndani. Time na majeshi yanambeba
Kila mtumishi akishawishi watu watano yaani baba, mama, mke/mme, watoto, ndugu, jamaa na marafiki ccm itakufa kifo kibaya sana.
 
Walioko kazi wamekosa mishahara, hawalipwi overtime, au nini ?! Chuki yao inaanzia wapi ? Hao watu wanafanya kazi gani ? Hiyo research umefanya wapi ?
Daah....hawa akina mdude wanachosha sana !
 
PLO Lumumba.
Jamaa anamkubali sana JPM.
Tafuta JK unywee !
Your browser is not able to display this video.
 
Ccm will fall but not today not tomorrow like what other people say. Ccm will fall when the people decide to take it away. Vyama vya upinzani vilivyopo havitaweza nadhani kila mtu anayo majibu
 
Siku watanzania wakiamua ccm watatoka tu ,watu wakichoka huwa hawaambiwi cha kufanya hufanya wenyewe ,umeona Sudan unafikiri waliambiwa na nani kumtoa Albashir .
Mtaishia kupiga mifano tuu ! Kwani si mlitaka kumuweka Ikulu Lowassa, akili zenu hazina akili kabisaa
 
Mimi takua wa kwanza kufanya ushawishi wa nyumba kwa nyumba kumkataa JPM kwenye hili.
 
Akiwapigia kura hao wengine unao wajua wewe watamletea chakula mezani !?
Una upumbavu mwingi sana
 
Vilio vyote walivyolia wakulima watumishi wananchi wakawaida atajitetea kwamba aliwajengea fly over ya tazara na ndege uuuuuuuuuwiiiiuuuuuu

Imagine baba yako mzazi ambae hakukusomesha miaka ya 80 halafu unamuuliza Leo 2019 hivi baba kwanini hukunipeleka shule na bado ukamtesa mama?

Libaba lako linakujibu mwanangu sikukusomesha na mama yako aliteseka ili

1.ninunue kombi
2.ninunue taa ya chemli
3.ninunue jiko LA stovu

Nk

Anyway tunaanza kujifunza umuhimu wa kupigania madaraka maana yana athiri yana athari na kuacha taathira!!!
 
Jamani Huyo alisukumizwa ,ila kutoka ndio hataki pamoja na kusukumizwa na temu ya pili anaitaka kwa nguvu kubwa kweli ,hajui anakoenda wala anakotoka ,full mikurupuko ,hatumii utaalamu yeye ni ubabe tu na kutapanya Mali ya umma ,ki uhalisia alifaa kuwa nyapara ,hataki ushauri yeye anajua kika kitu .Ana roho mbaya sana .
 
Nchi imerudi nyuma kwa kila kitu na kwakuwa alitamani kuwa igp basi next term 20-25 awe igp chini ya lisu au membe!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…