Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Nataka ufananishe matukio.
Kunyang,anya Mali za wananchi eti kisa nyingi sio ujambazi,?!
Kutokuruhusu wananchi wa kawaida kutumia mitumba sio unyanyasaji huo mpk useme eti anaheshimu wananchi?!
Embu tumia akili wewe.
Kufunga BibI Titi na Abdul Sykes sio unyanyasaji huo wa wananchi tena kwa maslahi yake binafsi!?
Kakae utafakari wenye akili timamu wanamuimba mdomo ila kifuani hawamkubali kinyama

Siku ukitia akili kichwani labda utaelewa kwamba Mwalimu pamoja na makosa yake lakini hakuwa mwizi, fisadi, muongo, aliyejichotea pesa hazina bila idhini ya Bunge, hakufanya upendeleo wowote kule kwao aliiheshimu taasisi ya Urais, aliwaheshimu Watanzania.
Usijaribu kabisa kumfananisha huyo nduli na Baba wa Taifa.