Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wewe mpuuzi hata uzi huu hujausoma?

 

Kweli kabisa

Yanatuona sisi mabogasi

Viuno vyao!
 
We jamaa muongo sana, mimi sio ccm.
Ila vitu ulivyo sema vyote vya uongo
 
Kwani si ni kweli? Korosho zipo kwenye maghala zinaoza. Pamba soko hakuna. Mbaazi hazina bei.
Uchumi wote umevurugwa, wafanya biashara wamekuwa maadui. Watu wanakamuliwa hadi basi!!
Stuka acha kulala ndg tusife kibudu!!
 
Mleta mada kajipange urudi tena, hiyo 2020 ni wewe na ukoo wako watanzania tunaona na hatuyumbishwi na wapumbavu wachache kama wewwe
Usipende kunijumuisha kwenye hao watanzania ewe zuzu
 
Reactions: BAK
Mleta mada kajipange urudi tena, hiyo 2020 ni wewe na ukoo wako watanzania tunaona na hatuyumbishwi na wapumbavu wachache kama wewwe
Jiwakilishe mwenyewe mkuu usiniwakilishe tena uwe mwanzo mwisho
 
Reactions: BAK
Mzee kavurunda mbaya sasa anaona aibu hata kuomba ushauri, pamoja na mapambio yote ya praise team, lakini uhalisia Jiwe kaprove massive failure.
 
Kwani si ni kweli? Korosho zipo kwenye maghala zinaoza. Pamba soko hakuna. Mbaazi hazina bei.
Uchumi wote umevurugwa, wafanya biashara wamekuwa maadui. Watu wanakamuliwa hadi basi!!
Stuka acha kulala ndg tusife kibudu!!
Usiongelee Korosho peke ake, Mengine vp
 
Kiongozi wa namna hii wala hafiki mbali hata wananchi tusipochukua hatua ya "Kumlenga Mawe" kama alivyopata kusema Baba wa Taifa

Mfano ni Ali Bongo wa Gambia alivyopigwa na stroke..

Imagine watu wanalalamika Halmashauri ziko hoi kifedha baada ya kuzinyang'anya vyanzo vyao vya mapato lakini bado mtu anazibebesha mzigo wa kugharamia posho za Watendaji wa Kata 4,700 kwenda kuona naye Ikulu, na hapo hapeleki hela kwenye hizo Halmashauri zaidi ya kujenga kijijini kwake, huyu mtu ni makini kweli? Hivi ina maana Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, MaRAS, MaDAS, hawana uwezo wa kuwapa maelekezo hayo ya "kuvuruga uchaguzi" na kuiingiza nchi kwenye migogoro ya kijinga na umwagaji hadi awape yeye mwenyewe?

Imagine watu wanalalamika ubadhirifu mbalimbali unaofanywa na serikali yake lakini bado anapeleka Mawakili "incompetent" 15 kwenye kesi ya kumdhulumu Lissu haki zake, gharama zote hizo za haja gani?

Hapo bado kila siku anazunguka mtaani akigawa hela za Umma Cash hovyo hovyo kwa watu wanaoimba sifa zake kana kwamba hizo hela ni za kwake...

Imagine mtu anaelekezwa ni gharama kununua madege ya mabilioni ya fedha bila kwanza kushughulikia changamoto za uendeshaji za shirika la ndege la ATCL, lakini bado mtu anakwenda mwenyewe kufanya manunuzi pasipo mtu mwingine kufahamu, kisa tu tamaa ya 10%, unajiuliza utimamu wa akili wa ndugu yetu ukoje!

Hapo anahangaika kumsumbua Ramaphosa ndege iachiliwe, bila kujua kuwa kwa South Africa Judiciary hawafanyi kazi kwa amri za Ikulu tofauti na alivyozoea yeye hapa...

Mungu akikuinua ukapata nafasi ya kuongoza Taifa ni heri uendelee kumtegemea na si kujawa na kiburi...KIBURI WILL LEAD YOU TOWARD A CAR CRASH, HEAD ON COLLISION.

Ni vema mtu ukajisahihisha tu, EVERYBODY IS BLESSED WITH A CAPACITY TO CHANGE!

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Nafikiri wewe ndio una kiburi,nchi haiongozwi kama unavyofikiri wewe, nchi si saccos,mlizoea kumpinduapindua Kikwete mtakavyo, hiyo miruzi yenu pelekeni kwenye kuimarisha.saccos zenu zenye wenyeviti wa maisha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…