Wewe mpuuzi hata uzi huu hujausoma?Habari:
Jamani Hivi Tanzania nani katuroga...
Tunadanganywa Sana na Wanasiasa Hawa CCM kila siku Kwa mambo hewa
Haya mambo chini ni Uongo Kwa Lengo la Kutafuta sifa na Kiki tu
➽ Mradi wa Stigler's Gorge ni Mradi hewa, Haupo na Hauwezi kutekelezeka
➽ Mambo ya SGR wale waturuki wamefunga kambi zao washaenda kwao Hakuna Hela ya kuwalipa
➽ Wanasema wanajenga Barabara Nchi nzima, Hizo Barabara Labda wanajenga angani... Sijaona Rami mpya popote zaid ya zile zilizojengwa na Kikwete
➽ Wanasema wamejenga Hospitali kila wilaya... Ukweli ni Kwamba Hakuna Hospitali mpya za wilaya, zote za zamani tu, wanatuonesha Hospitali za kipindi cha kikwete na Mkapa
➽ wanatuambia vituo Vya afya kila kata, hv wanajukwaa tuwe wa kweli... Kata za Vijijini Kuna Vituo Vya afya? Zaid watu wanasafiri Kwa nauli Mpaka mjini kutibiwa
➽ Kwenye Kilimo ndo hamna kabisa, Wamenunua Korosho Kwa hela zetu halaf wanaozesha tu kwenye maghala, Pamba hazinunuliki, Mbaazi tumeambiwa tule wenyewe,
➽ Huduma za Maji Mbovu kuwahi kutokea, sasa hv Hata mijini Hakuna Maji safi na salama
➽ Wanasema wamenunua Ndege... Ndugu zangu mkipita pale Airport JKNIA Utaona mindege yetu yote Nane imepaki Mibovu, walinunua mandege yote mabovu
➽ Dawa Hospitali Hakuna, hadi Leo ukienda Hospitali unapewa Panadol tu... Watu wanalala chini wodini,
➽ Wanatuambia wamejenga viwanda... Hivi hivyo viwanda muwekezaji Gani mpya kajenga zaid ya vilevile Vya miaka ya Mkapa na Kikwete, Hakuna kiwanda kipya iwe kidogo au kikubwa, waache kutudanganya
➽ Umeme sasa hv unasumbua Sana na Bado wa Mgao Kwa maeneo yote Tanzania, wanakata Asubuhi wanarudisha Jioni
➽ Wanasema wameleta elimu Bure, sasa waulize wazazi Kama hawadaiwi hela Shuleni... Tena ndo nyingi kuliko zamani... Wazazi tunaumia Sana na hii...
Hawa watu Tutawanyoosha 2020...
AchaWoga2020
▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒
Ombi kwa TANROADS na mkandarasi anayejenga barabara ya ubungo-kibaha.
Pamekucha wakuu, nami naianza siku kwa hili. Inafahamika wazi watumiaji wakuu wa barabara ni sisi wenyewe (binadamu/watu). Kati yetu wapo wanaotumia magari, wapo wanaotumia pikipiki, wapo wanaotumia baiskeli, wapo wanaotumia miguu tuliyoumbwa nayo, wapo pia vilema wanaotambaa ama kwa magoti au...