Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Bado sana watanzania kuchukua visasi dhidi ya CCM
 
Ccm haitaki kutoka madarakani kwa njia ya amani, tuko kimya!

Bunge live limefutwa na kuanzisha ikulu live na uteuzi live, tuko kimya.
 
This is what kills us!

Our weaknesses, their success!


You have to walk the talk, you have to demonstrate what you believe, you have to stand by your ideas for people to see and that's the way of all revolutionaries took during the independence struggles etc.

Leading by an example is showing of the way.

"Unakaanga ubuyu unataka kuwaachia wenye meno-------" 🤣
 
Lini chadema mtafanya uchaguzi wa mwenyekiti wenu na sekratarieti ya saccos yenu?
Kelele tu huku umebana pua eti katiba inavyunjwa na mpo kimya,"nonsense"

Jengeni saccos yenu
 
Wewe ni mbumbumbu mmoja usiyejitambua, unateswa na laana ya waafrika, Rais wa hovyo kabisa ktk historia ya Tanzania eti unasema ni bora?
Tuwekee mkataba wa manunuzi ya ndege, Airport ya Chato na tuonyesh e zilipo Trilioni 2 zilizotoweka Kwenye Report ya CAG.
Tuambie alipo Azori Gwanda, Ben Saanane na Kanguye.
Laana yako tutolee hapa
 
Tz inaeza ongozwa ata na kivuli, s kwa uoga huo
 
naunga mkono hoja mkuu kwa machozi
 
naunga mkono hoja mkuu kwa machozi
 

Kwani we umeona kuna jambo linafaa litakaloonyesha kuwa hatuko kimya, tushirikishe Mkuu.
Yawezekana una hoja muhimu sana hapa ifafanue Mkuu..
 
hatuko kimya mtz wenzangu, ngoja tu, utajionea mambo hivi karibuni
 
Mitanzania mingi mijinga acha ibanwe hadi sote tuwe na akili sawa.
Mtu anakuja kwenu hamna maji anasifia kununua ndege na fly over na sgr wakati wengi wenu hamtafika Dar
Mkuu Root,
we Ulitaka watanzania wafanyeje..! Je wewe umechukua hatua gani unayoona inafaa kwa unayochukizwa badala ya kuwaita watanzania mijinga..?
 
Kwani wewe unaathirika Nini na hayo uliyoyataja. Wengine shida yetu maendeleo tu. Tuliibiwa sana. Walioiba ndio wapingaji kwa sasa na inaonekana wewe ni mmoja wapo. Muulize Zito Kabwe kwa nini ghorofa lake pale Dodoma haliishi.
 

Wewe unaona kinyume nyume, kuna faida ktk ununuzi wa hizo ndege au sifa pekee, kuna faida ya sgr ya mkopo inayoweza kuuza nchi? Kwa nini uwaue wenye mawazo yenye kuhoji kasoro zinazojitokeza? Mtu wa haki na kweli hawezi kufanya anayofanya huyu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…