Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Hawezi kunyosha nchi kwa kufuata Katiba?

Kama Magufuli ni Mzalendo, ainyoshe nchi kwa kufuata Katiba.
 
Kwa kuwa hoja haina mikono, Mimi binafsi naunga mkono hoja kama ifuatavyo:

Watanzania wengi ni waelewa sana na wanaishi juu ya mstari wa kiwango cha Umaskini yaani above world poverty line

Hii nchi watu wote wamezaliwa kuanzia mwaka 2015 hivyo wanashuhudia Maendeleo makubwa ambayo hawajawahi kuyaona, Wewe Pascal si una miaka 4 tu tangu 2015,Mambo ya elimu bure, Reli ya Tazara, Mikakati ya elimu ya watu wazima wajue kusoma ni ya mwaka 2017 hapa juzi tu

Kabla ya 2015 hii nchi ilikuwa ya kusadikika, Nasikia kabla ya 2015 hakukuwa na Tanzania, Ila sasa imezaliwa upya hivyo ilikuwa fumbo tu, Tanzania ni giza tu hakuna umeme ila tunategemea bwawa la stigilers gorge ili kwa mara ya kwanza tutaona umeme, Huu unauona umeme Leo ni mazingaombwe na malue lue tu
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
 
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Mkuu pascall ulishawahi kupiga nyeto.Samahani lakini
 
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Exactly.
 
Pasco usijitoe fahamu, nchi zilizopinda ni Somalia, Sudan kusini, Syria, Afghanistan na nyinginezo Tanzania haijawahi kupinda.
Huyu mwizi mkubwa unamwita mzalendo?
Unaujua mkataba wa manunuzi ya ndege? Ni bunge lipi liliidhinisha International Airport ya Chato ambayo anaitumia peke yake tu, ziko wapi Trilioni 2 Kwenye Report ya CAG?
Uchumi unakufa Kila leo unasema huyu ni mzalemdo? kaua soko la korosho, kaua soko la mbaazi na choroko, nchi nzima inalia hali ngumu ya uchumi, kazi yake ni kutafuta wapi pamekaa vizuri ili apaharibu.
Ameikuta nchi imetulia anafanya kazi ya kuipasua na kuiharibu
 
Kelele na migomo ya wapumbavu wachache wasiotaka kukubaliana na uongozi wa JPM hawawezi kuchafua donge zima, watabaki kuwa wao huku wakiiacha nchi ikiimarika.
 
Penye moshi kuna moto, sasa ni dhahiri kabisa kuwa Magufuli hana mpango wa kuachia madaraka hata baada ya muda wake kuisha.

Mtu ambaye hata kipindi chake kimoja cha Urais hakijaisha tayari anatamani tena aendelee kuwa Rais huku akijiona yeye ni bora kuliko wenzake.

Kipindi kimoja tu cha Urais wake nchi ipo hoi kiuchumi huku kundi la mambumbumbu la UVCCM likishangilia Kila janga, hiyo si ajabu sana kwa sababu hata Hitler naye alikuwa na kundi la majuha lililokuwa linamshangilia.

Tunaojitambua tusikubali Magufuli aivuruge Hii nchi.

Amefanikiwa kuliweka bunge mfukoni na mahakama pia.

Hizo ni elements za udikteta, tukimwachia Magufuli afanye apendavyo hii Tanzania itakuwa Kama Burundi au Congo, ataiharibu sifa ya Tanzania kimataifa.
Amejitahidi sana kuzima nguvu za upinzani kwa uwezo wake wote.

Tusimame wote tumwambie Magufuli aheshimu katiba ya nchi
Navipi Kama akitanga hadharani kua Hana mpango wa kuachia madaraka mtafanya nini.
 
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Ukabila kazini
 
Kweli ni heri kuwa mjinga, kuliko mpumbavu. Wewe unamsifia huyo muuaji kwa lipi? Uwizi wa T 2.4, kufanya serikali, bunge na mahakama viko chini yake au? Acheni kusifia huku mkijua ni uongo, hukumu yenu ni kifo.
Kwa hiyo unapenda waliofanya uvasco dagama,waliofanya biashara Ikulu na kuuza dhahabu yetu nje kama makinikia,eh..!Kweli ujinga hauna mwisho.
 
Kwa kuwa hoja haina mikono, Mimi binafsi naunga mkono hoja kama ifuatavyo:

Watanzania wengi ni waelewa sana na wanaishi juu ya mstari wa kiwango cha Umaskini yaani above world poverty line

Hii nchi watu wote wamezaliwa kuanzia mwaka 2015 hivyo wanashuhudia Maendeleo makubwa ambayo hawajawahi kuyaona, Wewe Pascal si una miaka 4 tu tangu 2015,Mambo ya elimu bure, Reli ya Tazara, Mikakati ya elimu ya watu wazima wajue kusoma ni ya mwaka 2017 hapa juzi tu

Kabla ya 2015 hii nchi ilikuwa ya kusadikika, Nasikia kabla ya 2015 hakukuwa na Tanzania, Ila sasa imezaliwa upya hivyo ilikuwa fumbo tu, Tanzania ni giza tu hakuna umeme ila tunategemea bwawa la stigilers gorge ili kwa mara ya kwanza tutaona umeme, Huu unauona umeme Leo ni mazingaombwe na malue lue tu
Na hata mateso na shida za umasikini wa watanzania unaoendelea hivi sasa ni matokeo ya maandalizi ya miaka 10 (2005-2015) iliyopita. Hivyo sijutii na hiki kinachotokea zaidi nafikiria kufanya kazi ili kujenga taifa upya baada ya kutawaliwa kwa miaka 10.
 
Juzi nimeshuhudia rais akiwabagua wananchi huko mbozi kwa kuchagua upinzani, akawa anasita kusikiliza kero zao kisa hawakuchagua madiwani Na wabunge Wa ccm.Nimeshangazwa sana huku Kodi zao wakiendelea kuzichukua.uchaguzi ukiisha tujenge nchi.mavyama haya ni ya kupita, ila Tanzania itabaki daima.Sisi wote ni watanzania
 
Wakikusanya billion 700 kwa mwezi hawasemi. Wakifoji figures za 1.7 Trillion wanaibuka Upyaaaaaah
 
Mkuu hawa walalamishi wa humu JF ndio sehemu ya iliyokuwa minufaika ya ufisadi.
Na hawa kinachowauma ni jinsi wengi wa wafadhili wao walivyotumia mapesa kuhakikisha wanaingia ikulu lakini wakashindwa.
Na wengi walizowea kuishi Dar kwa kutumia vimemo,sasa magufulization kahamishia serikali dodoma,na mazoea hataki.
Ndio hizi sumu zinazowatesa hawa wafuasi wa mifumo iliyopita.
Uko sahihi kabisa mkuu!Ila Magufulization nimeitumia kama "process" sio "jina."
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom