Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Magufuli's efforts, heartfelt patriotism and economic maneuvers he is demonstrating for Tanzania, which we daily witness, are perfect and nice parables of the day to illustrate not only the precious future of Tanzania but the very near future of true hope for Tanzanians.

Of course he is the best leader of our time and perhaps of all time to have ever lived and ruled Tanzania.

Tumuombee!
 
Wewe unaona kinyume nyume, kuna faida ktk ununuzi wa hizo ndege au sifa pekee, kuna faida ya sgr ya mkopo inayoweza kuuza nchi? Kwa nini uwaue wenye mawazo yenye kuhoji kasoro zinazojitokeza? Mtu wa haki na kweli hawezi kufanya anayofanya huyu
Nadhani huna hata chembe ya ufahamu wa Economics,kama umesoma unatakiwa kurudia madarasa,elimu umeiacha shuleni.
 
Mkuu yaani wewe huoni baadhi ya watendaji wake wanaendelea kumwangusha nyakati fulani? Wanaiba pesa, na hii ni kwa kuwa haongozi peke yake. Waliiba hizo trillioni unazozisema ambapo sina uhakika hata kama una ushahidi nazo kuwa zillibwa.
Pasco usijitoe fahamu, nchi zilizopinda ni Somalia, Sudan kusini, Syria, Afghanistan na nyinginezo Tanzania haijawahi kupinda.
Huyu mwizi mkubwa unamwita mzalendo?
Unaujua mkataba wa manunuzi ya ndege? Ni bunge lipi liliidhinisha International Airport ya Chato ambayo anaitumia peke yake tu, ziko wapi Trilioni 2 Kwenye Report ya CAG?
Uchumi unakufa Kila leo unasema huyu ni mzalemdo? kaua soko la korosho, kaua soko la mbaazi na choroko, nchi nzima inalia hali ngumu ya uchumi, kazi yake ni kutafuta wapi pamekaa vizuri ili apaharibu.
Ameikuta nchi imetulia anafanya kazi ya kuipasua na kuiharibu
 
Soma contents za mada uelewe ndo uje kuchangia, usikurupuke utadhani Jokate kamwagiwa kitwili na mzee Meko Kwenye bao la kwanza
Nimekuelewa sana, naomba nikueleze tu kwamba usitake kupotosha umma kwa kupindisha kidogo tu, Mh Rais hakumaanisha unachojaribu kuwaaminisha watanzania, Rais hana mpango na kuendelea kuongoza kama unavyojaribu kucheza na hisia za watu, elimu uloipata usiitumie vibaya, subir miaka 10 ipite ndo uongee upuuzi huo.
 
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Utambue maendeleo ni ya watu na bila demokrasia ya kweli hakuna maendeleo ya watu. Kigali pazuri na pasafi kama ulaya lakini hata kuongea kwa sauti huwezi watu wananong'ona. Watanzania hilo hatulitaki. Tunataka maendeleo ya watu ambayo ambayo utayaona kwa bashasha usoni mwetu. Nimetambua wakusmile ni "strong" na wakufoka ni "dhaifu"
 
Kati ya wandishi niliokua ninawapa uzito na kuamini wana ujasili mkubwa wa kuhoji ni pamoja na ww, lkn kwa Bahati mbaya sana umekua mtu wa hovyo sana kuliko wale waliokua hovyo kabla yako. tafadhali njaa sisikupeleke pabaya, Usiwe Kijana wa "ndiyo bwana mkubwa".
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
 
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
duh!😳 i kanti bilivu mai nozi
 
Kweli ni wewe PASIKALI wa MAYALLA! DIKITETA MZALENDO! Huyu ni wa wapi sasa? Huyu ni kama wale tuliosoma kwenye historia 'benevolent dictators'- naamini hukuimanisha kumpa mheshimiwa sifa ya udikteta! Hata wewe?
 
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Huu unyoshaji unaunguza shati huko mbeleni mbona ni giza!
 
Wewe ni mbumbumbu mmoja usiyejitambua, unateswa na laana ya waafrika, Rais wa hovyo kabisa ktk historia ya Tanzania eti unasema ni bora?
Tuwekee mkataba wa manunuzi ya ndege, Airport ya Chato na tuonyesh e zilipo Trilioni 2 zilizotoweka Kwenye Report ya CAG.
Tuambie alipo Azori Gwanda, Ben Saanane na Kanguye.
Laana yako tutolee hapa
Wewe ni sehemu ya waliokuwa wanufaika wa ufisadi.Kinacho
wauma ni jinsi wafadhili
wenu walivyotumia mapesa kuhakikisha mnaingia ikulu lakini mkashin
dwa.Na wengi mlizoea kuishi Dar kwa kutumia vimemo,sasa magufulization imewaumbua.Ndicho kinachowatesa,poleni sana.
 
Hii ni porojo kama porojo zingine
Kila mwanadamu by nature ana matamanio.
Hata wewe unamatamanio yako mengine huyaweka wazi na mengine unayo sirini moyoni mwako.
Hali kadhalika Rais Magufuli.

Uchaguzi wa kidemokrasia utafanyika na wapiga kura ndio wataamua
Penye moshi kuna moto, sasa ni dhahiri kabisa kuwa Magufuli hana mpango wa kuachia madaraka hata baada ya muda wake kuisha.

Mtu ambaye hata kipindi chake kimoja cha Urais hakijaisha tayari anatamani tena aendelee kuwa Rais huku akijiona yeye ni bora kuliko wenzake.

Kipindi kimoja tu cha Urais wake nchi ipo hoi kiuchumi huku kundi la mambumbumbu la UVCCM likishangilia Kila janga, hiyo si ajabu sana kwa sababu hata Hitler naye alikuwa na kundi la majuha lililokuwa linamshangilia.

Tunaojitambua tusikubali Magufuli aivuruge Hii nchi.

Amefanikiwa kuliweka bunge mfukoni na mahakama pia.

Hizo ni elements za udikteta, tukimwachia Magufuli afanye apendavyo hii Tanzania itakuwa Kama Burundi au Congo, ataiharibu sifa ya Tanzania kimataifa.
Amejitahidi sana kuzima nguvu za upinzani kwa uwezo wake wote.

Tusimame wote tumwambie Magufuli aheshimu katiba ya nchi
 
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
Penye moshi kuna moto, sasa ni dhahiri kabisa kuwa Magufuli hana mpango wa kuachia madaraka hata baada ya muda wake kuisha.

Mtu ambaye hata kipindi chake kimoja cha Urais hakijaisha tayari anatamani tena aendelee kuwa Rais huku akijiona yeye ni bora kuliko wenzake.

Kipindi kimoja tu cha Urais wake nchi ipo hoi kiuchumi huku kundi la mambumbumbu la UVCCM likishangilia Kila janga, hiyo si ajabu sana kwa sababu hata Hitler naye alikuwa na kundi la majuha lililokuwa linamshangilia.

Tunaojitambua tusikubali Magufuli aivuruge Hii nchi.

Amefanikiwa kuliweka bunge mfukoni na mahakama pia.

Hizo ni elements za udikteta, tukimwachia Magufuli afanye apendavyo hii Tanzania itakuwa Kama Burundi au Congo, ataiharibu sifa ya Tanzania kimataifa.
Amejitahidi sana kuzima nguvu za upinzani kwa uwezo wake wote.

Tusimame wote tumwambie Magufuli aheshimu katiba ya nchi
Wewe unaugua ugonjwa mbaya sana wa ukabila na kutafuta uteuzi. Jitu linaendesha nchi kama kpuni binafsi huku watu wakiteseka, lenyewe lilianzisha miradi kifisadi na kujifanya afisa manunuzi wa serikali
 
Kati ya wandishi niliokua ninawapa uzito na kuamini wana ujasili mkubwa wa kuhoji ni pamoja na ww, lkn kwa Bahati mbaya sana umekua mtu wa hovyo sana kuliko wale waliokua hovyo kabla yako. tafadhali njaa sisikupeleke pabaya, Usiwe Kijana wa "ndiyo bwana mkubwa".
mkuu uko sawa kabisa yaani kadri siku zinavozidi kuyoyoma huyu dogo namuona kama anatapatapa kufukuzia ukuu ambao MEKO ameshamuweka kwenye blacklist yaani huyu kujipendekeza kwa mwanamume mwenzio ilhali anakupuuzia ni kutokana na uzwazwa anaomuonyesha MEKO.
 
Correct 100%
Hivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P
 
Penye moshi kuna moto, sasa ni dhahiri kabisa kuwa Magufuli hana mpango wa kuachia madaraka hata baada ya muda wake kuisha.

Mtu ambaye hata kipindi chake kimoja cha Urais hakijaisha tayari anatamani tena aendelee kuwa Rais huku akijiona yeye ni bora kuliko wenzake.

Kipindi kimoja tu cha Urais wake nchi ipo hoi kiuchumi huku kundi la mambumbumbu la UVCCM likishangilia Kila janga, hiyo si ajabu sana kwa sababu hata Hitler naye alikuwa na kundi la majuha lililokuwa linamshangilia.

Tunaojitambua tusikubali Magufuli aivuruge Hii nchi.

Amefanikiwa kuliweka bunge mfukoni na mahakama pia.

Hizo ni elements za udikteta, tukimwachia Magufuli afanye apendavyo hii Tanzania itakuwa Kama Burundi au Congo, ataiharibu sifa ya Tanzania kimataifa.
Amejitahidi sana kuzima nguvu za upinzani kwa uwezo wake wote.

Tusimame wote tumwambie Magufuli aheshimu katiba ya nchi
Inasikitisha kuona "wasomi" wa viwango vya phd,Professor nao wanakumbwa na wimbi la kina MAKONDA na Bashiru.
 
Nimeamini akili zenu ni shida katika kuchambua kilichosemwa na Rais ,wapi Rais kasema akimaliza muda wa kikatiba hatoondoka ? Msikubali kufinya uwezo wenu
 
Wewe ni mbumbumbu mmoja usiyejitambua, unateswa na laana ya waafrika, Rais wa hovyo kabisa ktk historia ya Tanzania eti unasema ni bora?
Tuwekee mkataba wa manunuzi ya ndege, Airport ya Chato na tuonyesh e zilipo Trilioni 2 zilizotoweka Kwenye Report ya CAG.
Tuambie alipo Azori Gwanda, Ben Saanane na Kanguye.
Laana yako tutolee hapa

awamu zingine ulikua wap: mbna hawakufanikiwa? we huoni kama we ndo akili huna
 
Pasco usijitoe fahamu, nchi zilizopinda ni Somalia, Sudan kusini, Syria, Afghanistan na nyinginezo Tanzania haijawahi kupinda.
Huyu mwizi mkubwa unamwita mzalendo?
Unaujua mkataba wa manunuzi ya ndege? Ni bunge lipi liliidhinisha International Airport ya Chato ambayo anaitumia peke yake tu, ziko wapi Trilioni 2 Kwenye Report ya CAG?
Uchumi unakufa Kila leo unasema huyu ni mzalemdo? kaua soko la korosho, kaua soko la mbaazi na choroko, nchi nzima inalia hali ngumu ya uchumi, kazi yake ni kutafuta wapi pamekaa vizuri ili apaharibu.
Ameikuta nchi imetulia anafanya kazi ya kuipasua na kuiharibu
kaikuta nchi imetulia? wakati nchi ilikuwa inanuka rushwa na hongo tena nje nje kila mwenye nacho alijiona na yeye ni rais anafanya anachotaka na hakuna wa kumgusa, leo unasema aliikuta nchi imetulia? au kutulia huko unakosema wewe ni kupi? sio kama nakubaliana na kila anachofanya hakuna mkamilifu kwenye utawala but dnt tell us kwamba hii nchi eti aliikuta vizuri now way
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom