Kina Faida gani sasa ilhali watu wanaumia kisawa sawaKipindi kigumu kweli kweli ila kina faida zake pia, watu wengi walilemaa sana! Tumwombe Mungu kisizidi miaka 10 ya kikatiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nikipika na yeye anakuwa na bajeti yake sasa bajeti Imani bana na stock imeisha, kesho na safari ya kwenda kwa morombo ntamletea mifupaMabaa huko vyakula vimejaa..
Kuna sehemu kaloleni hua tunachukua za buku bar. Nyingi mno anakula siku mbili.
Hapo sawa.Huwa nikipika na yeye anakuwa na bajeti yake sasa bajeti Imani bana na stock imeisha, kesho na safari ya kwenda kwa morombo ntamletea mifupa
Mimi mmbwa wangu namuonea hadi huruma jana na leo hajala, hadi akiniangalia naona aibu
TrueSaizi hata ukiomba deiwaka huwezi kupata.
Sahiv ni kweree mzeeπ€π€π€Aisee
Ngoja tukomae, saizi mtu unatamani uende hata uzamie majuu ukafanye kazi kwenye ice breaker,kuwa stevedores,meli za kubeba magogo ya mbao huko majuu.
Mkuu huku ni balaa,
Sasa tunafanyaje?Mkuu huku ni balaa,
Mi silalamikagi lakini safari hii ni noma tena zaidi ya noma
hamna namna tusubir Magu amalize muda woteSasa tunafanyaje?
Kama atatawala tena miaka 5 mpaka 2025 wafanya biashara wengi tutafilisika na kufa na preshahamna namna tusubir Magu amalize muda wote
Yan umenigusa mimi kabisaKama atatawala tena miaka 5 mpaka 2025 wafanya biashara wengi tutafilisika na kufa na presha
Mungu ndiye anajua tunayo yapitia wengine
Akimaliza anakuja Bashite.hamna namna tusubir Magu amalize muda wote
Haaaaa π π π, umeniua
Je kuna tofauti kati ya kukopa pesa sehemu nyingine na kununua ndege kwa cash na ile ya kwenda kununua ndege kwa mkopo?
Sent using Jamii Forums mobile app