Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nikiangalia yanayoendelea juu ya uchumi wa nchi yetu,democrasia ya nchi yetu,uhuru wa kujieleza ndani ya nchi yetu,kasi ya kunyanganya haki ya kuishi ya watanzania ilivyopewa kipaumbele awamu hii , naona aibu kwa degree waliyotoa UDOM kwa JPM unless kama mimi ni mgonjwa otherwise,watu tunajitafutia kudharauliwa wenyewe

Uhuru gani unazungumzia. Hapa una kunya. Demokrasia gani unazungumzia. Ya kutukana. Is that what we need as Tanzanians. Siasa. Are you that dumb.
 
Uhuru gani unazungumzia. Hapa una kunya. Demokrasia gani unazungumzia. Ya kutukana. Is that what we need as Tanzanians. Siasa. Are you that dumb.
yaani hata sijui nikujibuje,kwanza huyo anayetukanwa kutokana na kuwepo kwa democrasia nchini kwetu ni nani na why atukanwe?Kwa hiyo tunaminya demorasia kwa kuwa tunaogopa kutukanwa?sasa mbona sisi tunawatukana wengine?wewe unaogopa kutukanwa wakati huo huo unatukana wenzako? I do believe that is what Tanzanians need
 
Nikiangalia yanayoendelea juu ya uchumi wa nchi yetu,democrasia ya nchi yetu,uhuru wa kujieleza ndani ya nchi yetu,kasi ya kunyanganya haki ya kuishi ya watanzania ilivyopewa kipaumbele awamu hii , naona aibu kwa degree waliyotoa UDOM kwa JPM unless kama mimi ni mgonjwa otherwise,watu tunajitafutia kudharauliwa wenyewe
Unavijua vigezo au unaropoka tu? Pierre Buyoya hakuwahi kupata degree yoyote maishani mwake lakini alikuwa LECTURER wa vyuo mbalimbali huko Marekani baada ya kuacha urais wa Burundi. Unafikiri hivyo vyuo vilichemka?? Think big dogo!
 
Hahahahah
 
Hii awamu ya kusifiwa.
Kama unaitaka kazi yako, umsifie Mfalme.. Akiwa uchi sema kavaa nguo nzuri sana..

Au hutaki watoto wao waende chooni ?
 
When we’re lost in a sea of loneliness and depression, it’s all too easy to reflect on regrets of past life events. This does nothing but feed negativity and perpetuate the situation.
 
Mbona Kama kafanya uharibifu mwingi kuliko maendeleo
1.Ndege alizo nunua zinajiendesha kihasara
2. Purchasing power imekuwa ndogo
Hela hakuna mtaani
3. Wafanyakazi wauma hawajaongezewa mishahara Wala kupandishwa madaraja kuanzia aingie madarakani
4. Biashara zilizo fungwa ni nyingi kuliko zilizo funguliwa
5.amewanyonya Hadi wauza mchicha kwa kuwauzia vitambulisho feki vya ulipaji Jodi
6. Mauaji ya waziwazi watu kupotea kwa kila anayempinga na unyanganyi Kama wale walio kuwa na burea exchange na wanaopigwa penalty na Tra , watu kunyanganywa viwanja na kuvunjiwa nyumba bila fidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom