unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Nikiangalia yanayoendelea juu ya uchumi wa nchi yetu,democrasia ya nchi yetu,uhuru wa kujieleza ndani ya nchi yetu,kasi ya kunyanganya haki ya kuishi ya watanzania ilivyopewa kipaumbele awamu hii , naona aibu kwa degree waliyotoa UDOM kwa JPM unless kama mimi ni mgonjwa otherwise,watu tunajitafutia kudharauliwa wenyewe
Kata ipi na diwani wake ni nani?Chuo kikuu cha kata, hawakuwa na namna
yaani hata sijui nikujibuje,kwanza huyo anayetukanwa kutokana na kuwepo kwa democrasia nchini kwetu ni nani na why atukanwe?Kwa hiyo tunaminya demorasia kwa kuwa tunaogopa kutukanwa?sasa mbona sisi tunawatukana wengine?wewe unaogopa kutukanwa wakati huo huo unatukana wenzako? I do believe that is what Tanzanians needUhuru gani unazungumzia. Hapa una kunya. Demokrasia gani unazungumzia. Ya kutukana. Is that what we need as Tanzanians. Siasa. Are you that dumb.
Unavijua vigezo au unaropoka tu? Pierre Buyoya hakuwahi kupata degree yoyote maishani mwake lakini alikuwa LECTURER wa vyuo mbalimbali huko Marekani baada ya kuacha urais wa Burundi. Unafikiri hivyo vyuo vilichemka?? Think big dogo!Nikiangalia yanayoendelea juu ya uchumi wa nchi yetu,democrasia ya nchi yetu,uhuru wa kujieleza ndani ya nchi yetu,kasi ya kunyanganya haki ya kuishi ya watanzania ilivyopewa kipaumbele awamu hii , naona aibu kwa degree waliyotoa UDOM kwa JPM unless kama mimi ni mgonjwa otherwise,watu tunajitafutia kudharauliwa wenyewe
HahahahahUnavijua vigezo au unaropoka tu? Pierre Buyoya hakuwahi kupata degree yoyote maishani mwake lakini alikuwa LECTURER wa vyuo mbalimbali huko Marekani baada ya kuacha urais wa Burundi. Unafikiri hivyo vyuo vilichemka?? Think big dogo!
Kama kuzimu ni ahadi sawa