Wanaomsifia Magufuli ni wanafiki sana, mtu anayejimwambafy na kujiona yeye ni Bora kuliko wengine, mtu asiyeheshimu mihimili mingine, mtu anayejiona yeye ndiye mzalendo zaidi ya wengine, mtesaji na muuaji, unaanzaje kumsifia mtu huyu.Kweli ni heri kuwa mjinga, kuliko mpumbavu. Wewe unamsifia huyo muuaji kwa lipi? Uwizi wa T 2.4, kufanya serikali, bunge na mahakama viko chini yake au? Acheni kusifia huku mkijua ni uongo, hukumu yenu ni kifo.
Una point sana na kipaji,MATAGA aka CCM-MPYA ambao pia ndio UVCCM-POLICE wao wanasifia tu , hata wakijambiwa mdomoni wanasifia tu.Wanaomsifia Magufuli ni wanafiki sana, mtu anayejimwambafy na kujiona yeye ni Bora kuliko wengine, mtu asiyeheshimu mihimili mingine, mtu anayejiona yeye ndiye mzalendo zaidi ya wengine, mtesaji na muuaji, unaanzaje kumsifia mtu huyu.
Najua #UVCCM na wazee wao hawawezi kumkemea Magufuli maana hawa watu wananjaa na familia zao zinamtegemea mtesaji huyu, kwahiyo kitu pekee ambacho ningependa hawa watu wa CCM kutusaidia sie wananchi wengi ni kukaa kimya wakati tunashughulika naye!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwingine naye anaona wanaompinga Magufuli ndiyo wanafiki hasa ukizingatia wengi wao hushambulia zaidi haiba (personality) yake badala ya kujikita kwenye wajibu wa serikali yake vs vile inavyofanya.Wanaomsifia Magufuli ni wanafiki sana, mtu anayejimwambafy na kujiona yeye ni Bora kuliko wengine, mtu asiyeheshimu mihimili mingine, mtu anayejiona yeye ndiye mzalendo zaidi ya wengine, mtesaji na muuaji, unaanzaje kumsifia mtu huyu.
Najua #UVCCM na wazee wao hawawezi kumkemea Magufuli maana hawa watu wananjaa na familia zao zinamtegemea mtesaji huyu, kwahiyo kitu pekee ambacho ningependa hawa watu wa CCM kutusaidia sie wananchi wengi ni kukaa kimya wakati tunashughulika naye!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya UCHAGUZI 2015 tulimuongelea huyu mtu nyumbani nyumbani nakumbuka tulikuwa tunakula chakula Cha usiku . conclusion.hafai kuwa raisi .anafaa kuwa chini ya mtu , aambiwe hiki fanya hiki acha.hafai kuwa mtu wa kutoa maamuzi ya mwishoHuyu jamaa Bure kabisa!
Tunaelekea Zimbabwe kwasababu Mugabe alipita njia hii hii
Koote ulikua ulikua unazunguka,hapa ndio chanzo cha thread yakoJambo pekee analoweza kulifanya kwa haraka ni KUFUKUZA WATU KAZI isipokuwa Makonda pekee.
Hii ni hoja ya mwaka 2016, mpaka leo inaishi.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Mtu yeyeto ambae hakujiandae kujua anakwenda wapi atadandia kila Safari na hatofaulu.
upo msemo: kama hujui unapokwenda kila njia utakayoshika ni njia sahihi. if you dont know where you are goingi each way is the right way