Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tuvumilie kunakaribia kupambazuka
Kuna mtu wa jikoni aliniambia hakuna kipindi serikali inakuwa inaishiwa kama kipindi cha awamu hii. Nikauliza, kama serikali inajisifia kukusanya fedha kuliko vipindi vilivyopita, kwa nini serikali iwe inafilisika na kukosa fedha kuliko awamu zilizopita? Akaniambia mipango mibovu ya matumizi ya fedha za serikali inayoamuliwa na mtu mmoja. Sikutaka kuuliza tena.
 
No need to disclose his/her identity. But yuko right 100%.
 
Magu kavamia uongozi wa juu wa nchi ambapo uwezo wa kuongoza hana kabisa.
 
Ukienderea kuuliza unaweza kujikuta unaumwa corona.
 
Hiv inakuaje mtu mmoja tu ndio aamue mustakabali wa wat zaid ya mil 50.Yan akisema yy ndio bsi !! Huu mbona ni upumbavu wa hali ya juu sana tunaukalia kimya????
 
Kyela biashara ya mchele imekufa baada ya kukosekana wanunuzi , mavuno ya miaka 2 iliyopita yamejazana kwenye maghala yakiozeana , mwezi wa 6 tunavuna tena
Hivi sasa hata kama unauza kiwanja kupata mteja ni kazi ya ziada.
 
mimi nipo ipalamwa nalima njegere na ninasafirisha sokoni naingiza hela kama kawaida..., ukitaka mali utazipata shambani..sio mjini.
 
Ni kwa ajili ya kizazi kijacho, hata wachina na wamerikani wanaofurahia maendeleo ni sababu kuna kizazi kilijitolea.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…