Fanya kazi badala ya kushinda mitandaoni ndio utajua kuwa anatupeleka wapi . Asiyefanya kazi na asile chapa kazi ndugu.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
You made my day Chief. CongratsNaam wanajamvi!
Unaweza kusema sasa watanzania tumekuwa certified fools. Ukiwaangalia wale wote wanao sema apende asipende unaweza kuhitimisha kuwa they are fools of their own kind ! Hawana sababu ya msingi. Nilimsikiliza mmoja anasema kwa mambo haya aliyo fanya Magufuli aendelee mpaka mwisho wa nguvu zake!! Najiuliza kafanya yapi hayo? Maana mimi nikiorodhesha mambo aliyo fanya Nyerere Magufuli hata 10% hajafika na kamwe hatafikia...
Moderstors hamjafanya haki kuunganisha uzi wa "Tumekuwa Certified Fools" ulioanza na post hii niliyoinukuu, leo, kwenye uzi huu.Naam wanajamvi!
Unaweza kusema sasa watanzania tumekuwa certified fools. Ukiwaangalia wale wote wanao sema apende asipende unaweza kuhitimisha kuwa they are fools of their own kind ! Hawana sababu ya msingi. Nilimsikiliza mmoja anasema kwa mambo haya aliyo fanya Magufuli aendelee mpaka mwisho wa nguvu zake!! Najiuliza kafanya yapi hayo? Maana mimi nikiorodhesha mambo aliyo fanya Nyerere Magufuli hata 10% hajafika na kamwe hatafikia...
you are so ginuine bro. Keep that mind aliveNaam wanajamvi!
Unaweza kusema sasa watanzania tumekuwa certified fools. Ukiwaangalia wale wote wanao sema apende asipende unaweza kuhitimisha kuwa they are fools of their own kind ! Hawana sababu ya msingi. Nilimsikiliza mmoja anasema kwa mambo haya aliyo fanya Magufuli aendelee mpaka mwisho wa nguvu zake!! Najiuliza kafanya yapi hayo? Maana mimi nikiorodhesha mambo aliyo fanya Nyerere Magufuli hata 10% hajafika na kamwe hatafikia.
Orodhesha mambo aliyo fanya Rais Mwinyi ndio utajua kuwa kuna mtu anajipigia debe yeye kwa kuwatumia the least educated fools. Mwinyi aliingia madarakani akakuta serikali ina balance zero. Kwa kushirikiana na akina Dr Ngasongwa wakakope fedha kwa Rais Mugabe ili kufufua uchumi. Kweli President Mugabe aliisaidia Tanzania bure kabisa dollar million 500! Wakakubaliana fedha hizi wasizitumie kwenye recurrent expenditure bali wazipeleke Bank kuu ili wafanya biashara wenye uwezo waagize bidhaa kutoka nje ili baadae serikali ianze kuwatoza kodi. Mpaka kufikia 1994 uchumi ukawa umefufuka. Uchaguzi mkuu wa 1995 pamoja na juhudi alizo fanya hatukusema APENDE ASIPENDE LAZIMA AENDELEE! Kwanini? Tuliheshimu KATIBA.
Njoo kwa mkapa. Alifanya kazi kubwa sana.Barabara nyingi nzuri zilijengwa wakati wake. Daraja la Mkapa kule Kibiti limejengwa wakati wa utawala wake. Daraja la mto Malagalasi lilianza kujengwa utawala wa Ben! Wakati anaingia madarakani GDP ilikuwa US Dollar million 29 ameondoka GDP ikiwa US dollar mill 45. What a good work. Pamoja na yote hayo hatukusema APENDE ASIPENDE LAZIMA AENDELEE! Kwanini? Tuliheshimu KATIBA.
Rais Kikwete ameingia madarakani amekuta GDP ni US dollar million 45, ameondoka madarakani GDP ikiwa ni US dollar million 58! Aliajiri kila mwaka, alipandisha wafanyakazi kila mwaka, nyongeza za mishahara kila mwaka. Ndiye aliye leta uchumi wa kisasa na maendeleo ya watu na vitu. Aliimarisha Demokrasia ya vyama vingi. Vyuo vikuu vingi vimeanzishwa wakati wake. Alipendwa ndani ya Chama na nje ya Chama. Ni rafiki wa watanzania. Muda wake ulipo isha akaondoka zake.
Sasa huyu Mwana kwetu John Pombe Magufuli, ameingia madarakani amekuta deni la Taifa ni shs trillion 45 ndani ya miaka mitano deni limefikia trillion 53. Kwa miaka mitano hajatoa ajira kwa vijana wala kuongeza mishahara kwa watumishi Wa umma. Kati ya 2016 mpaka 2021 mabenki 10 yamefilisika na kufunga shughuli zao. Hotel kubwa zenye hadhi ya nyota tano zimefilisika, shule nyingi za binafsi zimegeuzwa hostel. JE NI WATU WANGAPI WAMEKOSA AJIRA AU KUACHISHWA KAZI KWA TAASISI ZAO KUFUNGWA?
Sawa amejenga fly over, unaweza kulinganisha na daraja la Mkapa? Anajenga SGR, sawa , unaweza kulinganisha na reli ya TAZARA ya NYERERE? Anajenga sijui nini huko, sawa lakini unaweza kulinganisha na Mashirika ya umma 457 aliyo anzisha Nyerere? Kwanini APENDE ASIPENDE? Naona slowly we are becoming certified fools. Tunashangilia nini hasa?
Hapakuwa na haja ya kuunganisha huu uzi. Ujumbe wake ni tofauti kabisa na una uzito wake. Huu ni mjadala unaojitegemea. Unahitaji majibu ya watetezi wa "aongezewe muda"Naam wanajamvi!

Anatupeleka mbinguni, yeye sio atakuwa kiongozi wa Malaika?Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Mkuu mbona unaongea kama hali halisi ya Tanzania huijui? Unapoongelea tuwekeze kwenye rasilimali watu; vijana kila mwaka wanamaliza vyuo na ajira hakuna.Tanzania needs to increase investments in infrastructure and human capital to further unlock its growth potential while enabling the private sector to create more jobs.
This will not only have a stronger impact on poverty reduction but it is also consistent with the new government’s priorities and its commitment to the achievement of the country’s Vision 2025 goals.
The needs are many but the resources are limited and a focused approach in which key development priorities are fully financed will be needed to achieve the desired results”.
Huu unapaswa kuwa uzi unaojitegemeaNaam wanajamvi!
Unaweza kusema sasa watanzania tumekuwa certified fools. Ukiwaangalia wale wote wanao sema apende asipende unaweza kuhitimisha kuwa they are fools of their own kind ! Hawana sababu ya msingi. Nilimsikiliza mmoja anasema kwa mambo haya aliyo fanya Magufuli aendelee mpaka mwisho wa nguvu zake!! Najiuliza kafanya yapi hayo? Maana mimi nikiorodhesha mambo aliyo fanya Nyerere Magufuli hata 10% hajafika na kamwe hatafikia.
Orodhesha mambo aliyo fanya Rais Mwinyi ndio utajua kuwa kuna mtu anajipigia debe yeye kwa kuwatumia the least educated fools. Mwinyi aliingia madarakani akakuta serikali ina balance zero. Kwa kushirikiana na akina Dr Ngasongwa wakakope fedha kwa Rais Mugabe ili kufufua uchumi. Kweli President Mugabe aliisaidia Tanzania bure kabisa dollar million 500! Wakakubaliana fedha hizi wasizitumie kwenye recurrent expenditure bali wazipeleke Bank kuu ili wafanya biashara wenye uwezo waagize bidhaa kutoka nje ili baadae serikali ianze kuwatoza kodi. Mpaka kufikia 1994 uchumi ukawa umefufuka. Uchaguzi mkuu wa 1995 pamoja na juhudi alizo fanya hatukusema APENDE ASIPENDE LAZIMA AENDELEE! Kwanini? Tuliheshimu KATIBA.
Njoo kwa mkapa. Alifanya kazi kubwa sana.Barabara nyingi nzuri zilijengwa wakati wake. Daraja la Mkapa kule Kibiti limejengwa wakati wa utawala wake. Daraja la mto Malagalasi lilianza kujengwa utawala wa Ben! Wakati anaingia madarakani GDP ilikuwa US Dollar million 29 ameondoka GDP ikiwa US dollar mill 45. What a good work. Pamoja na yote hayo hatukusema APENDE ASIPENDE LAZIMA AENDELEE! Kwanini? Tuliheshimu KATIBA.
Rais Kikwete ameingia madarakani amekuta GDP ni US dollar million 45, ameondoka madarakani GDP ikiwa ni US dollar million 58! Aliajiri kila mwaka, alipandisha wafanyakazi kila mwaka, nyongeza za mishahara kila mwaka. Ndiye aliye leta uchumi wa kisasa na maendeleo ya watu na vitu. Aliimarisha Demokrasia ya vyama vingi. Vyuo vikuu vingi vimeanzishwa wakati wake. Alipendwa ndani ya Chama na nje ya Chama. Ni rafiki wa watanzania. Muda wake ulipo isha akaondoka zake.
Sasa huyu Mwana kwetu John Pombe Magufuli, ameingia madarakani amekuta deni la Taifa ni shs trillion 45 ndani ya miaka mitano deni limefikia trillion 53. Kwa miaka mitano hajatoa ajira kwa vijana wala kuongeza mishahara kwa watumishi Wa umma. Kati ya 2016 mpaka 2021 mabenki 10 yamefilisika na kufunga shughuli zao. Hotel kubwa zenye hadhi ya nyota tano zimefilisika, shule nyingi za binafsi zimegeuzwa hostel. JE NI WATU WANGAPI WAMEKOSA AJIRA AU KUACHISHWA KAZI KWA TAASISI ZAO KUFUNGWA?
Sawa amejenga fly over, unaweza kulinganisha na daraja la Mkapa? Anajenga SGR, sawa , unaweza kulinganisha na reli ya TAZARA ya NYERERE? Anajenga sijui nini huko, sawa lakini unaweza kulinganisha na Mashirika ya umma 457 aliyo anzisha Nyerere? Kwanini APENDE ASIPENDE? Naona slowly we are becoming certified fools. Tunashangilia nini hasa?
Kwa bahati mbaya ilani ya CCM na anavyovifanya haviakisi ilani hiyo. Vingi hutegemea ameamkaje. Kwa mfano, ununuzi wa ndege, ujenzi wa miundo mbinu Chato n.k.Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome > Tukumbushane ahadi za Magufuli
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia > [URL='https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=306026&d=1447665705']PDF: Ilani ya chama cha mapinduzi 2015-2020[/URL]
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..