Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.

Kwenda kujazana kwenye msiba ndio dalili kuwa watu walikuwa wanamtaka? Kwa watanzania kuhudhuria mazishi ni fashion na sio dalili ya wao kukuhitaji. Na tena ukizingatia mazishi yenyewe yana msosi wa kumwaga, unategemea nini? Hamna nabii jizi la kura.
 
Wanaomkubali wengi si masikini bali hawana elimu ya kung'amua mambo,wote tunajua udhaifu wa eimu yetu ya msingi,na huu ni mtaji wa chama tawala hilo suala lipo wazi.
Kutokana na majority kushindwa kung'amua mambo ni wajibu wa wachache wanaojielewa kupambana kwa niaba yao.
Point yako ni kama kumpa mimba mwanafunzi kisha useme alitaka mwenyewe muulizeni,utakwenda jela tu.
 
Angalia TV
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana...
Naomba Uzi huu ambao umejizolea umaarufu wa aina yake UFUNGWE rasmi!
 
Mambo ya kupoteza muda katika mitandao na hadithi za kufikirika zimempoteza kamanda huko mbeya! Usiposituka haraka nawe tutakupoteza ingawa bado unahitajika! Chapa kazi achana na JPM maana yupo sana hadi 2025.
"ENYI WATU NIMEWAUMBA KATIKA DUNIA HII ILI MNIABUDU MIMI(MUNGU)"

"BILA MIMI NINYI HAMUWEZI LOLOTE,HATA KUONGEZA UREFU WA MAISHA YENU KWA SIKU MOJA"

"USIMTUMAINIE MWANADAMU,AMBAYE HUFA NA KUSAHAULIKA,WAWATUMAINIO WAKUU WA DUNIA WATAFEDHEHESHWA"

"MIMI (MUNGU) NI ALFA NA OMEGA,MWANZO NA MWISHO,NILIYEKUWAKO,NILIYEPO NA NITAKAYEKOWEPO (DAIMA)"

"NINAMRUDISHA MAVUMBINI NIMTAKAYE,KWA KUSEMA TU,RUDINI ENYI WANADAMU,WAKATII"

Namuona mheshimiwa anachapa kazi hadi 2025[emoji1751]

Hakika yapo mazingatio kwa wenye kufikiri.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…