Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
nasikitika sana aisee mpaka chozi linataka kunitoka....Ewe Mtukufu Mheshimiwa Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli tuonee huruma baba..maisha yamekuwa magumu sana!!
 
This country needs major surgery, i hate what is current happening in my country.
 
Hiki ndio Choo maridadi cha walimu kwenye zama hizi za mwendo kasi...
 
Katika uchaguzi kule marekani yupo MTU anaitwa Trump yeye ni mbaguzi,mbinafsi,mbabe lakin anagombea kwakua demokrasia imemsaidia kupita.
what he stand for is not democracy at all
sasa wananchi wengi wa America wameamua kuchukua sheria mkononi na kuzifikisha mbele yake ili azione.
katika mikutano yake watu wamepaza sauti hatutaki ubaguzi either wa chama au kikanda.
katika mikutano yake wamejitokeza kumwekea mabango kumkumbusha haki za watu wengine
kupiga misafara yake kwa nyanya na mayai viza kuonyesha namna wasivyokubali mwenendo wake wa kisiasa.
Tanzania ya sasa tunahitaji street politics kwani official politics haifanyi tena kazi.
Jana rais kavaa jezi ya kijani anahutubia halaf upande wa pili wanaambiwa wasifanye na wasijaribu halafu msajili anajitekenya na kucheka mwenyewe na hawezi kutoa tamko kukemea kilichotokea Lumumba kwa kuwa mienendo yake inasshiria ukibaraka zaidi kuliko weledi
tuanze siasa za mtaani wataelewa tu km afanyiwavo Donald triumph kule USA.
 
Yed
 
Amani iwe nanyi!

Dunia haiishiwi vioja! Juzi nimemsikiliza Magufuli nikashangaa kuona kuwa kichwani kwake Ni kama ana ndoto za kutawala milele.Amesahau kuwa muda wake Wa uongozi Ni miaka mitano tu au akiwa na bahati sana sijui kama anayo atakaa madarakani miaka kumi.

Anahiza watanzania wazae watoto bila kuangalia uzazi Wa mpango! Alas! Mtoto akizaliwa leo, mpaka atomize umri Wa kwenda shule ili a some bure, yeye atakuwa atakuwa amepigwa chini 2020 wakati Mtoto huyo anatakiwa aanze shule 2023!

Uwezekano Wa Rais Magufuli kupata kipindi cha pili Ni Mdogo sana kwasababu watu wamemchoka ndani na nje ya chama chake! Sababu za kuchokwa mapema Ni nyingi kuliko ilivyo wahi kutokea kwa Rais yeyote .

Kwa fedha anazo peleka Rais Magufuli shuleni kwa wastani kila mwanafunzi anatengewa shs 18,000|=kwa Mwaka! Hapo anajihesabu ana wasomesha!
 
Kuna kila dalili kuwa huyu jamaa anaweza akafanya 'attempt' ya kuliconvince Bunge ili liweze kuondoa kile kipengele kinachoweka ukomo wa vipindi vya kutawala.......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…