Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uchochezi ukowapi mkuuHapa utaambiwa mchochezi na hata huu uzi utafutwa tu.
YedAkupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Kwani nani anakupenda wewe?Magufuli simpendi na siwezi jipendekeza ata akinipa kazi.
Kibaraka anapopanic kwa ndoto ya kupata ajira.. Haa Haa haaKwani nani anakupenda wewe?
Kuna kila dalili kuwa huyu jamaa anaweza akafanya 'attempt' ya kuliconvince Bunge ili liweze kuondoa kile kipengele kinachoweka ukomo wa vipindi vya kutawala.......Amani iwe nanyi!
Dunia haiishiwi vioja! Juzi nimemsikiliza Magufuli nikashangaa kuona kuwa kichwani kwake Ni kama ana ndoto za kutawala milele.Amesahau kuwa muda wake Wa uongozi Ni miaka mitano tu au akiwa na bahati sana sijui kama anayo atakaa madarakani miaka kumi.
Anahiza watanzania wazae watoto bila kuangalia uzazi Wa mpango! Alas! Mtoto akizaliwa leo, mpaka atomize umri Wa kwenda shule ili a some bure, yeye atakuwa atakuwa amepigwa chini 2020 wakati Mtoto huyo anatakiwa aanze shule 2023!
Uwezekano Wa Rais Magufuli kupata kipindi cha pili Ni Mdogo sana kwasababu watu wamemchoka ndani na nje ya chama chake! Sababu za kuchokwa mapema Ni nyingi kuliko ilivyo wahi kutokea kwa Rais yeyote .
Kwa fedha anazo peleka Rais Magufuli shuleni kwa wastani kila mwanafunzi anatengewa shs 18,000|=kwa Mwaka! Hapo anajihesabu ana wasomesha!