Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Uko Sahihi,Magufuli afanye mambo endelevu yatakayo ishi hata baada ya yeye kuondoka!
 
Pengine kura hazikutosha kwa hiyo lazima awaogope, pia pengine kisha ona aliyo haidi wananchi hawezi kutekeleza kwa hiyo njia rahisi ni kushughulikia na kunyamazisha wapinzani sababu hao ndio watamshitaki kwa wananchi. Lakini kama haangalii anapoteza direction na pia hajua watanzania wanategemea nini kutoka kwake. Mchango wa wapinzani wanatanzania wanaujua sababu wamesha amka kwa hiyo asiwaambie lolote kuhusu wapinzani.
 
hahaha
ebu=hebu
hachana = achana
wara= wala
irani= ilani
rabishi=rubbish
risu= lissu
iriyokupereka= iliyokupeleka
tunaitaji= tunahitaji
hachana
achana
uakiki= uhakiki
mabwenyeye= mabwanyeye





shkamoo kiswahiriiiii
 
hahaha
ebu=hebu
hachana = achana
wara= wala
irani= ilani
rabishi=rubbish
risu= lissu
iriyokupereka= iliyokupeleka
tunaitaji= tunahitaji
hachana
achana
uakiki= uhakiki
mabwenyeye= mabwanyeye





shkamoo kiswahiriiiii
haaaaaaaaaaaaa, umelizika, LUMUMBA kinyago?
 
haaaaaaaaaaaaa, umelizika, LUMUMBA kinyago?



umelizika= umeridhika
!!!!!!
unasemaje?
hapa jf sio pa matusi sasa mtu akikosea
asirekebishwe? ..............

kisha, si kila mtu ni wa lumumba,
acha viroba jogoo ni hatari kwa afya ya akili yako na uzazi pia........
 
Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....

Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.

Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..
Hayo yameandikwa au ameandikiwa lakini je, anajua jinsi ya kuyatekeleza? Inaonekana maarifa hana.
 
Ndugu zangu kuna methali inayosema "Nyota njema uonekana asubuhi". Tumemuona Mheshimiwa Rais Magufuli akifanya mengi mazuri tangu amechagulia na mwenyewe anatangaza kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini baada ya kufanya hayo yote bado maisha ya mtanzania yanazidi kuwa magumu na kama vile hayana mwelekeo. Je hii ni nyota njema kwa mtanzania wakati huu wa asubuhi. Walio na mwanga kwenye mambo ya kisiasa watusaidie kutuelewesha.
 
Mambo yakifanywa nje ya bajeti ilopangwa huwezi kupata unafuu wa maisha.

Mwaka unaisha hakuna mkakati wa kuzalisha malighafi zitakazotumiwa na viwanda wala sioni dalili ya viwanda vyenyewe
 
Maisha ya kishetani hayawezi kuwa nyota njema ... sijui ni kwa nini operation kimbunga haikufanikiwa ..
 
kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Mama Samia anayo hiyo tabia? auni wanawake wa namna gani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…