Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Aise plz, plz plz president Magufuli wa Tanzania ebu hachana na wapinzni hukupata uraisi ili ushugulike na wapinzani, wara ndani ya irani ya chama chako haimo were tayad, na hizi rabishi za kusikia leo kakamatwa risu, kubenea na ,mbowe na wegine plz fanya kazi iliyokupereka ikulu, tunaitaji ajira, wewe ulisema baada ya mwezi mmoja au miwli ya uakiki dheni utaanza kutoa ajira, plz tekeleza irani ya chama chako hachana na kufanyia kazi isiasa! hachana na kuiga utawala wa mkapa , dunia ya leo imebadilika sana mkuu, ukipuuza wapinzani wenye mabwenyenye nje ya nchi nchi itavurugika hii!
Pengine kura hazikutosha kwa hiyo lazima awaogope, pia pengine kisha ona aliyo haidi wananchi hawezi kutekeleza kwa hiyo njia rahisi ni kushughulikia na kunyamazisha wapinzani sababu hao ndio watamshitaki kwa wananchi. Lakini kama haangalii anapoteza direction na pia hajua watanzania wanategemea nini kutoka kwake. Mchango wa wapinzani wanatanzania wanaujua sababu wamesha amka kwa hiyo asiwaambie lolote kuhusu wapinzani.
 
Aise plz, plz plz president Magufuli wa Tanzania ebu hachana na wapinzni hukupata uraisi ili ushugulike na wapinzani, wara ndani ya irani ya chama chako haimo were tayad, na hizi rabishi za kusikia leo kakamatwa risu, kubenea na ,mbowe na wegine plz fanya kazi iliyokupereka ikulu, tunaitaji ajira, wewe ulisema baada ya mwezi mmoja au miwli ya uakiki dheni utaanza kutoa ajira, plz tekeleza irani ya chama chako hachana na kufanyia kazi isiasa! hachana na kuiga utawala wa mkapa , dunia ya leo imebadilika sana mkuu, ukipuuza wapinzani wenye mabwenyenye nje ya nchi nchi itavurugika hii!
hahaha
ebu=hebu
hachana = achana
wara= wala
irani= ilani
rabishi=rubbish
risu= lissu
iriyokupereka= iliyokupeleka
tunaitaji= tunahitaji
hachana
achana
uakiki= uhakiki
mabwenyeye= mabwanyeye

shkamoo kiswahiriiiii
 
hahaha
ebu=hebu
hachana = achana
wara= wala
irani= ilani
rabishi=rubbish
risu= lissu
iriyokupereka= iliyokupeleka
tunaitaji= tunahitaji
hachana
achana
uakiki= uhakiki
mabwenyeye= mabwanyeye

shkamoo kiswahiriiiii
haaaaaaaaaaaaa, umelizika, LUMUMBA kinyago?
 
haaaaaaaaaaaaa, umelizika, LUMUMBA kinyago?

umelizika= umeridhika
!!!!!!
unasemaje?
hapa jf sio pa matusi sasa mtu akikosea
asirekebishwe? ..............

kisha, si kila mtu ni wa lumumba,
acha viroba jogoo ni hatari kwa afya ya akili yako na uzazi pia........
 
Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....

Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.

Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..
Hayo yameandikwa au ameandikiwa lakini je, anajua jinsi ya kuyatekeleza? Inaonekana maarifa hana.
 
Ndugu zangu kuna methali inayosema "Nyota njema uonekana asubuhi". Tumemuona Mheshimiwa Rais Magufuli akifanya mengi mazuri tangu amechagulia na mwenyewe anatangaza kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini baada ya kufanya hayo yote bado maisha ya mtanzania yanazidi kuwa magumu na kama vile hayana mwelekeo. Je hii ni nyota njema kwa mtanzania wakati huu wa asubuhi. Walio na mwanga kwenye mambo ya kisiasa watusaidie kutuelewesha.
 
Mambo yakifanywa nje ya bajeti ilopangwa huwezi kupata unafuu wa maisha.

Mwaka unaisha hakuna mkakati wa kuzalisha malighafi zitakazotumiwa na viwanda wala sioni dalili ya viwanda vyenyewe
 
Ndugu zangu kuna methali inayosema "Nyota njema uonekana asubuhi". Tumemuona Mheshimiwa Rais Magufuli akifanya mengi mazuri tangu amechagulia na mwenyewe anatangaza kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini baada ya kufanya hayo yote bado maisha ya mtanzania yanazidi kuwa magumu na kama vile hayana mwelekeo. Je hii ni nyota njema kwa mtanzania wakati huu wa asubuhi. Walio na mwanga kwenye mambo ya kisiasa watusaidie kutuelewesha.
Maisha ya kishetani hayawezi kuwa nyota njema ... sijui ni kwa nini operation kimbunga haikufanikiwa ..
 
Muda mwingine unaweza kuonyesha uwerevu lakini kupitia uwerevu wako ujinga wako pia ukaonekana, hivi Dkt Magufuli tangu aingie madarakani alikua anaenda na bajeti aliyoiandaa au aloandaa Kikwete? Tabia za namna hii haitusaidii sisi kama watanzania, hata kama aumpendi jitahidi kupima kwa haki, nafikiri unafuatilia bunge la bajeti na kilichomo unakiona hapo ndo tuanzie, nchi haiendeshwi wewe unavyotaka bali Rais anavyoona inafaa muda wa kupima anafanikiwa au la bado aujafika kupitia bajeti hii tutaweza kupima ni kwa kiasi gani Rais anafanikiwa lakini hii tabia ya kumkatisha tamaa Rais haifai ni tabia za watu wenye husuda na zaidi wamejaliwa wanawake kuwa nazo nchi ikiyumba sio yeye Rais atakayeteseka bali ni sisi wananchi, ni jukumu letu kukosoa pale palikosewa na kuonyesha njia sahihi ya kupita lakini kukosoa tu bila kuonyesha nini kilitakiwa kifanyike hiyo ni tabia ya kike
kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Mama Samia anayo hiyo tabia? auni wanawake wa namna gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom