TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
karibu mkuuMmmmmmhhh
Nakumbuka watu tulikuwa na imani na kikwete na kumshangilia kwa miaka miwili, lakini huyu hata mwezi tayari tushamchokaaMbona honeymoon yake imeisha so fast?
Usicheze na 'maaskofu'Mbona honeymoon yake imeisha so fast?
Mbona honeymoon yake imeisha so fast?