TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Wewe unashauri atupeleke wapi unapopajua? Nakuuliza Wewe mwanzisha mada!!! Kwa taarifa yako wewe nakuona huna nia Nzuri na watanzania. Unataka kuwachanganya tu ili wapoteze mwelekeo mpya wa Tanzania inayojitegemea kiuchumi na kijamii. Naeleza hivyo kwa sababu kwa ukosoaji wako huo ulitakiwa uje pia na mapendekezo yako ya namna unavyoona inafaa, hukufanya hivyo bali malalamiko tu!