Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wewe unashauri atupeleke wapi unapopajua? Nakuuliza Wewe mwanzisha mada!!! Kwa taarifa yako wewe nakuona huna nia Nzuri na watanzania. Unataka kuwachanganya tu ili wapoteze mwelekeo mpya wa Tanzania inayojitegemea kiuchumi na kijamii. Naeleza hivyo kwa sababu kwa ukosoaji wako huo ulitakiwa uje pia na mapendekezo yako ya namna unavyoona inafaa, hukufanya hivyo bali malalamiko tu!
 
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!

bro magu anahusika kwa kuwa kumtoa mtu mmoja mmoja hapo alipo inahitajika kuwawezesha...mfano bei ya mbaazi ilikuwa 1700 lkn imeshuka mpk sh 500. choroko hivyo hivyo na korosho wemesema 1300...huoni kama mambo yakiwa hivi ni ngumu kwa mtu kuchangia maendeleo ya Taifa kwaharaka? presidar anahusika mkuu
 
1.huko tuendako hakutakuwa na watumishi hewa serikalini. Au wakiwapo watakuwa wa chache sana
2.hapo baadae wakuu Wa ofisi za serikali ambao watapatikanA na Wafanyakazi hewa watatumbuliwa
3.matumizi mabovu ya serikali hayatakuwepo
4.watu watafanya kazi kwa bidii maana hela za njia za mkato zitadhibitiwa
5.serikali itaokoa fedha nyingi kupitia kukataza safari za nje zisizo za lazima
6.bei za baadhi ya vitu kama ardhi zitashuka
7.watu wataanza kuthamini zaidi kazi
8.upinzani utadhoofu maana hoja zao za ufisadi hazina mashiko

Na nk
 
Ninashuhudia zaidi ukiifadhili dini fulani baada ya dini yako kutokuunga mkono katika mambo yako
Ninashuhudia Wafanyabiashara wengi kuto kukuunga mkono katika serikali yako

Ninashuhudia ukikiosa ushirikiano katika taasisi mbalimbali za jamii
Ninashuhudia mataifa tajiri na wafadhili wakuu wa nchi hii kutokupa ushirikiano

Ninashuhudia nchi ya jirani Kenya kuiteketeza EAC
Ninashuhudia uteuzi wa kikabila
Ninashuhudia kanda ya kaskazini, kusini na nyanda za juu kusini kutokuwa na imani na wewee

Ninashuhudia wahadhiri vyuoni kukuacha ufanye unavyotaka
Ninashuhudia viongozi wakubwa wastaafuu kukuacha ufanye unavyojuaa
Ninashuhudia vijana kukosa imani na wewe
Ninashuhudia hata chama chako kinamashaka na wewe

Ninashuhudia mengi sana katika awamu hii
Ninashuhudia unazidi kutengeneza maadui.
Mimi ndiyo ninayoshuhudia, sijui ninyiii waungwanaa.....
 
Yani awamu hii wewe ukiwa one side or the other even remaining neutral.... "afadhali ya jana" itakuwa wimbo wako
 
Mkuu hizi litania za mtakatifu Mtukufu ulizoshusha hapa, 'wadiri' mwenye dhamana hajafika hapo kwako kulaani hiki kitendo cha uchochezi?...Mimi nashuhudia kila kosa likiwa la uchochezi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom