Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kama Kikwete angekuwa amekulipa utangaze na kueneza mafanikio ya utawala wake. Hakika angedai urudishe pesa zake. Ulichokiita kuwa ni mafanikio actually ndio failures zake. Hujui kuwa Kikwete anajuta kwa wajanja kuchomeka 'madokezo' ya 'upigaji' wao katika hatuba zake za kila mwezi. Na hilo ni moja tu.
 
Kwani wewe unalipwa na Nani kumtetea?
 
Kwani wewe unalipwa na Nani kumtetea?
Hivi wewe hujui kuwa Rais wa nchi ni alama ya taifa? Rais wa nchi siyo mtu binafsi kama wewe au mimi tunaohangaikia maisha kwa ajili yetu wenyewe. Rais wa nchi anahangaikia watu wote wa taifa hili. Wananchi wanawajibika kumtetea dhidi ya wasiomtakia mema na/au mawaa yoyote.
 
Jaman kama kichwa kinavyojieleza, naichukia Sanaa hii sereukwala hata inachofanya sikioni. Naijutia kura yangu kama zingekuwa zinadaiwa ningeenda kuidai yangu. Ni hayo tu asanten
"Acha Uisome Namba Eenhe,C.C.M Ni Mbele kwa mbelee,Acha Uandamane Enheee C.C.M Mbele kwa Mbeleee"
🙂 🙂 🙂 🙂
 
Jaman kama kichwa kinavyojieleza, naichukia Sanaa hii sereukwala hata inachofanya sikioni. Naijutia kura yangu kama zingekuwa zinadaiwa ningeenda kuidai yangu. Ni hayo tu asanten

Lakini haujachelewa unaweza kuibadilisha 2020 au kama ukishindwa kusubiri unaweza kunywa Sumu pia ni suluhisho!
 
Jaman kama kichwa kinavyojieleza, naichukia Sanaa hii sereukwala hata inachofanya sikioni. Naijutia kura yangu kama zingekuwa zinadaiwa ningeenda kuidai yangu. Ni hayo tu asanten
Binadamu yeyote mwenye ufahamu huwa anapenda ktu au kuchukia kitu kwa sababu lakini ww ujatoa hata sababu moja why unachukia serikali hii so tukueleweje???
 
Tatizo lako ni nini? Kuwa na amani mambo yanakwenda kuwa mazuri huko mbele,sasa hivi Rais anajipanga katika maeneo yote.Fanya kazi zaidi utafanikiwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…