Majuto ni mjukuu, tatizo waTanzania wengi wanashindwa kufanya maamuzi sahihikwa wakati sahihi!!
Ukiambiwa anajuta Kumchagua Magufuli haimaanishi anajuta kutomchagua Lowassa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majuto ni mjukuu, tatizo waTanzania wengi wanashindwa kufanya maamuzi sahihikwa wakati sahihi!!
mimi ni mkulima wa nyanya,nimefisadi nini?mpaka leo niuze plastiki moja ya nyanya kwa tsh1000?
Unachanganya vitu, sema umeanza kufuatilia siasa kipindi hiki, kwa lugha nyingine wewe ni dogo eidha wa kiumri au kiakili.Jaman kama kichwa kinavyojieleza, naichukia Sanaa hii sereukwala hata inachofanya sikioni. Naijutia kura yangu kama zingekuwa zinadaiwa ningeenda kuidai yangu. Ni hayo tu asanten
Unajiita nani? Baby K? Ebwana we kalale hakuna uliloongeaJaman kama kichwa kinavyojieleza, naichukia Sanaa hii sereukwala hata inachofanya sikioni. Naijutia kura yangu kama zingekuwa zinadaiwa ningeenda kuidai yangu. Ni hayo tu asanten
una miaka mingapi?Jaman kama kichwa kinavyojieleza, naichukia Sanaa hii sereukwala hata inachofanya sikioni. Naijutia kura yangu kama zingekuwa zinadaiwa ningeenda kuidai yangu. Ni hayo tu asanten
Kafie mbali,mropokaji mkubwa we.mimi ni mkulima wa nyanya,nimefisadi nini?mpaka leo niuze plastiki moja ya nyanya kwa tsh1000?
Wewe kama c teja,bac shoga.mimi ni mkulima wa nyanya,nimefisadi nini?mpaka leo niuze plastiki moja ya nyanya kwa tsh1000?
Weeee kuandamana?? Unataka wenzio waanze mazoezi ya 'kawaida' mitaani...!!!"Acha Uisome Namba Eenhe,C.C.M Ni Mbele kwa mbelee,Acha Uandamane Enheee C.C.M Mbele kwa Mbeleee"
🙂 🙂 🙂 🙂
Jaman kama kichwa kinavyojieleza, naichukia Sanaa hii sereukwala hata inachofanya sikioni. Naijutia kura yangu kama zingekuwa zinadaiwa ningeenda kuidai yangu. Ni hayo tu asanten
Asinywe sumu, kura yake ni muhimu sana kwa 2020!Lakini haujachelewa unaweza kuibadilisha 2020 au kama ukishindwa kusubiri unaweza kunywa Sumu pia ni suluhisho!