Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Bado tunaendelea na tutaendelea kuwaona wapuuzi kwa kudeki barabara kwa MTU ambaye mlitutangazia kwamba ni fisadi na baadaye kutangazia ni Malaika! Mikopo itatolewa lakini Mara hii tuko makini kuhakiki wanufaika na kuepuka mikopo hewa!Leo kelele kibao mara ooh mikopo ya Chuo hakuna!Mara bank zimesitisha kutoa mikopo kwa watumishi wa umma, mara sukar imefichwa, mara yamebakia makopo mawili ya paracetamol,.....Hadi namba zote zitasomeka kuanzia real number,natural number,complex number, .....Si mlituona wajinga, tuone push-up zitafika wapi
Leo kelele kibao mara ooh mikopo ya Chuo hakuna!Mara bank zimesitisha kutoa mikopo kwa watumishi wa umma, mara sukar imefichwa, mara yamebakia makopo mawili ya paracetamol,.....Hadi namba zote zitasomeka kuanzia real number,natural number,complex number, .....Si mlituona wajinga, tuone push-up zitafika wapi