Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Bado tunaendelea na tutaendelea kuwaona wapuuzi kwa kudeki barabara kwa MTU ambaye mlitutangazia kwamba ni fisadi na baadaye kutangazia ni Malaika! Mikopo itatolewa lakini Mara hii tuko makini kuhakiki wanufaika na kuepuka mikopo hewa!
 
Hahaaa... Japo elimu yangu ya darasa la saba, ila nimejua ku draw a number line... Nimejua kuhusu intergers na complex number... Sasa najifunza kuhusu zile namba zenye nukta katikati sijui zinaitwa desimali na zile za sehemu pia nazisoma kwa masomo ya jioni...
 
Walitegemea yule fisadi wao aje awagawie hela bila kufanya kazi kwa sababu ni wavivu ndiyo maana hawaoni kazi anazozifanya JPM walizoea kila kitu ni dili tu
 
Hatunywi sumu[emoji441] [emoji441]
Hatujinyoooongi[emoji441] [emoji441]
 
Hii kweli bro na bado
 
Hili swali la hii mada sijalielewa kabisa..Jamaa anauliza, " Si mlituona wajinga kwa kudeki barabara.......". Sasa kimebadilika nini!
Haelewi kwamba bado tunawaona wajinga!!
 
Msimalize maneno! Naona unatukana mamba kabla hujavuka MTO...ukiamka asubuhi ukiona siku haiendi vizuri usikimbilie kuiba kwani huwezi jua siku itaishaje!
 
Naomba kipigo kiendelee ili siku nyingine mijitu ituelewe.Toka lini ccm ikalets jambo zuri?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…