Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hata kama Serikali ilikuwa ya CCM lakini kwa kumchagua bwana yule aende Ikulu! That was ridiculous!!
Hata kama lakini siyo kwa kumchagua Bwana yule! Lingekuwa kosa kubwa sana! Mungu ni mwema sana. Katuepusha!
Hivi uhalisia ni kuwa na MIHEWA kila mahali. Wanafunzi hewa, mikopo hewa, wafanyakazi hewa, biashara za madili na ukwepaji kodi.
 

Wasubiri tu. wanaostahili watapata mikopo, watapandishwa madaraja na wataajiriwa. Ajira zitapatikana tu baada ya wale waliokuwa wameajiriwa kimagumashi kutimka au kutimuliwa, baada ya wanafunzi wenye vyeti feki au visivyokidhi viwango kunyimwa mikopo na kutimuliwa vyuoni. Hivi hukusikia UDOM? zaidi ya 50% ya wanafunzi waliokuwa wamedahiliwa hawakuwa na sifa. Inaonekana ndio ninyi mnaopiga mayowe humu ndani. Mtu una division 4 unalalamika MAGUFULI kakunyima mkopo wa kusoma Chuo kikuu?
Lakini pia maamuzi makubwa ya kurekebisha uozo mkubwa waliotuachia akina JK ni lazima kunaweza kutokea collateral damages. Hiyo haiwezi kuwa issue ikiwa tunachotaka kukifanya ni kurudisha heshima ya Nchi na serikali yake. Asante Mungu kwa kutupa MAGUFULI.
 
Walidahaliwa na nani?
 
Hivi kwa akili zako elimu bure mpaka chuo kikuu ingewezekana??
Mtaendelea kuwa wajinga kama mnadhani ingewezekana. Pigeni deki na hewa sasa. Lowassa tulimkataa na tutaendelea kumkataa, na chadema hii tutaendelea kuipiga chini.
 

Watu wanatamani Slope bado ;no more free rides....hiki ndo kipindi wale wanaofanya Kazi kweli watafanikiwa.
 
Tumechoka na matumaini hewA, wafaidika ni civil servants
Civil servants wanafaidika vipi? Husikii kelele zao za madaja, uhamisho, increments, kurudishwa kazini, mikopo imesitishwa.... Wanafaidikaje?
Hata nguvu za kupiga push ups hamna tena
 
Yaani nchi ingeongozwa na mtuhumiwa wa ufisadi si ingekuwa baraa kubwa, ni wewe tu mtoto wa bibi ndiye unaona maisha magumu.
 
Waliita Magufulika,hadi wazee walipiga push ups wakitegemea baada ya hapo watakutaanza kula mema ya nchi..lakin sasa nikusoma 123456789.....
Kwan huyo masai angeleta mpya gani zaidi ya upigaji tu, bora tuisome namba tu kuliko kuwapa nchi majambaz
 
Nchi inakwenda sawa wewe.unadhani kila kitu kinatimia kwa wakati m1 kukufarahisheni watu kama ninyi?wewe tu hapo unaweza kuta familia yako tu inakutoa jasho afu unalalamikia serikali,panapokwama itatokea pataenda tu,ndo maisha.
 
Push up zinatesa wanyonge.tulichagua push up badala ya kuchagua busara na hekima.
Mazinga ubwe ya kupanda daladala za Chanika??

Kama angeshinda una uhakika maisha yangekuwa tofauti??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…