Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Hata kama lakini siyo kwa kumchagua Bwana yule! Lingekuwa kosa kubwa sana! Mungu ni mwema sana. Katuepusha!Hata kama Serikali ilikuwa ya CCM lakini kwa kumchagua bwana yule aende Ikulu! That was ridiculous!!
Hivi uhalisia ni kuwa na MIHEWA kila mahali. Wanafunzi hewa, mikopo hewa, wafanyakazi hewa, biashara za madili na ukwepaji kodi.