Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mkuu mleta mada ameongea hoja moja nzito na ya kuzingatia. AJIRA ni muhimu hii ikipuuziwa itakuja kuisumbua serikali ya awamu ya tano. Nashauri serikali watafute namna ya kuhakiki wakati huohuo waendelee kutoa ajira vinginevyo hali itakuwa mbaya sana miezi michache ijayo. Akitokea kichaa jasiri akahamsisha maandamano ya kupinga ukosefu wa ajira anaweza kupata waunga mkono ambao ni vijana wengi mno kwa sasa. Tatizo ni kuwa wengi hawana familia(mke/mume na watoto) hivyo hawana cha kupoteza watajitoa muhanga. Mimi natumaini Seriali yetu sikivu watalifanyia kazi hili swala maana hili ni bomu linalosubiri kulipuka.
 
HUJITAMBUI au Bila shaka ushapotea.
 
Mimi nikisikiaga vijana Tz napata ppicha ya UVsisiem...
Hivi kuna vijana wengine? Mwenyewe sijui niko kundi lipii
 
Elimu bure fyatueni watoto watasoma bure!
Unataka ajira ?

Inji hii ina mapori mengi kalime nyanya
 
Ni wewe na mchumbako tu mliokuwa mnadeki barabara ndio hamna imani na JPM. Hivi mlilipwa vile kwa kazi ile?
 


Mbona sasa hawakujitokeza kwenye ukuta?
 
Habari mnazo lakini? Serikali inalipa madeni asilimia 90% ya mapato yote akiwaajiri itawalipa nini? Japokuwa hatujui ni madeni ya nini sana sana. Kwenye bunge lililopita nchemba alisema ati mzigo wa deni la taifa hautaathiri raia wa kawaida ila hapa naona vijana wanasomeshwa namba tuu, waajiriwa wenyewe matumbo moto hawajui kesho yao, vijana wakulima ni janga balaa mwaka huu sijui tuendako..
 
sio kweli ni upotoshaji
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…