Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tatizo hapa ni kwateua wasimamizi wasioelewa majukumu yao,ameteua wanasiasa ambao kwa kiasi kikubwa wanawaza kutafuta sifa kwa wananchi ili 2020 wagombee Ubunge. Hawana uzalendo kabisa na wala hawajamwelewa Rais anataka nini.


Kuna uwezekano mkubwa kabisa kufikia 2020 serikali ikashindwa hata kutimiza ahadi zake hata 60%. Sijajua wananchi waliokua wamejiandaa kupokea mabadiliko makubwa kabisa wataambiwa nini?

ikwame Mara mbili
 
Atakayepinga anapinga tu kwa sababu ya ujinga au unazi maandazi, mara nyingine najiuliza magu alichaguliwa na nani? Maana kati ya vijana 10 ni wawili ndo wanamkumbali au hakuna kabisa
 
type ya kina Gambo imewekwa makusudi na ndicho walichotumwa kufganya,aibu aibu aibu,makorokocho kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom