G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Mimi ni kijana,na nina IMANI na rais wangu.najua siku za usoni kama si mimi basi watoto wangu watafaidi matunda yake hapa nchini,so labda vijana wa wapi sijui unaowasema!Ni mwaka mmoja sasa umetimia tangu rais Magufuli aingie Ikulu, katika kipindi hiki yapo mazuri kadhaa amefanya na vijana wanaunga mkono lakini kila kukicha vijana wamepoteza imani na rais Magufuli kwani tangu aingie madarakani hali kwa vijana imezidi kuwa mbaya kwani ndani ya mwaka huu mmoja wa kukaa kwake Ikulu amesimamisha ajira mpya jambo linalo wagusa vijana wengi, na mpaka sasa vijana wengi hawajui kesho yake ikoje.