Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nitoe hongera kwa wale ambao waliweza kutathimini kwa akili yao ya kuzaliwa kuwa Magufuli hakutakiwa kuchaguliwa na kukabidhiwa kijiti cha urais, kwa watu Wa aina hiyo waliona mbali na naweza kusema kuwa hawa watu ni mageniazi

Mwenye ufahamu na afahamu
Wakazi wa Tanapa wanapongezana
 
Nitoe hongera kwa wale ambao waliweza kutathimini kwa akili yao ya kuzaliwa kuwa Magufuli hakutakiwa kuchaguliwa na kukabidhiwa kijiti cha urais, kwa watu Wa aina hiyo waliona mbali na naweza kusema kuwa hawa watu ni mageniazi

Mwenye ufahamu na afahamu
[emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Hata ingebidi kulipigia kura jiwe ningelipigia kuliko kumpigia Yohana!
 
Wanyonge wa taifa ili au jingine?
ngoja akujibu
elephant.png
 
Wasalam
Sina mengi zaid ya kuwapongeza wazalendo watanzania wenzangu waliomkataa huyu mtu kipindi cha kupiga kura na kumchagua mtu mwingine japo kura zao hazikujaa.

Nakili kwamba nlimpigia kura bila kujua au kutokuwa na maono sawa na wale wazalendo waliomkataa.
Lakin sasa najuta na najutia kuwasalit wazalendo wenzangu wasema ukweli na wenye kuona mambo ya mbele kwani hivi sasa maisha yamekuwa magumu mtaani na nmewasababishia maisha magumu wazalendo wengine kwa usaliti wangu.
Naomba mnisamehe wazalendo na napenda niwaahidi yakuwa 2020 cto wasaliti tena na nchi yangu.
Walimu na vijana wa jkt napenda mnisamehe kwani hivi sasa msingekuwa mtaani hii yote kwasababu yangu kuwasalti wazalendo.

Vijna ambao mpo mtaani hamna ajira na mnasikiliza ngonjera za huyu mtu anayehakiki naomba mnisamehe kwa usaliti na tukutane 2020 sitofanya makosa tena.

Wagonjwa ambao mnakosa dawa katika awamu hii ya 5 mnisamehe
Wanafunzi mliokosa mikopo naomba mnisamehe.

Sina mengi zaid ya kuwaambia namba nmeshaisoma ndani ya mwaka mmoja na sitorudia tena makosa ya kuwasalit wazalendo.
 
Samahani kuna mmoja wenu anaweza kunitengenezea T-shirts na kuzipiga chapa la Tembo mkuubwa kwa nyuma? Halafu pawe na maandishi: "uongozi unapofananishwa na tembo". Nataka km mia hivi! Au nitaitwa mchochezi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom