Wakazi wa Tanapa wanapongezanaNitoe hongera kwa wale ambao waliweza kutathimini kwa akili yao ya kuzaliwa kuwa Magufuli hakutakiwa kuchaguliwa na kukabidhiwa kijiti cha urais, kwa watu Wa aina hiyo waliona mbali na naweza kusema kuwa hawa watu ni mageniazi
Mwenye ufahamu na afahamu
Hahahaaah kaja kukuomba msamaha kama nani?juzi tu rafiki yangu kaja nyumbani na mkewe kuniomba msamaha kwa kosa lake la kumpigia kura Magufuli.
kama mzee wa boma.Hahahaaah kaja kukuomba msamaha kama nani?
kama mzee wa boma.Hahaha kakuomba km nani kk?
[emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Nitoe hongera kwa wale ambao waliweza kutathimini kwa akili yao ya kuzaliwa kuwa Magufuli hakutakiwa kuchaguliwa na kukabidhiwa kijiti cha urais, kwa watu Wa aina hiyo waliona mbali na naweza kusema kuwa hawa watu ni mageniazi
Mwenye ufahamu na afahamu
Kumbe......hongerakama mzee wa boma.
EXACTLY!!
EXACTLY!!
MBONA JINA LAKO NA LIZABONI NI KINYUME CHAKE
Mkubwa aache kubagua watu kisa itikadi za vyama
Wanyonge wa taifa ili au jingine?Kiongozi wa wanyonge
Wenye akili ni wale waliodeki barabara na kuzungusha mikono!
cmaanishi wewe mkuu namaanisha mtukufu[emoji146]Sins lengo LA kubagua watu mkuu
ngoja akujibuWanyonge wa taifa ili au jingine?