Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
ilikuaje sasa. akaaminiwa chadema hadi kupata nafasi ya kugombea uspika??chadema hawana intelijensia?? au chadema walikurupuka?
Muulize Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ilikuaje sasa. akaaminiwa chadema hadi kupata nafasi ya kugombea uspika??chadema hawana intelijensia?? au chadema walikurupuka?
okay! zidumu fikra za mwenyekiti mboyeMuulize Mbowe
ilikuaje sasa akaaminiwa chadema hadi kupata nafasi ya kugombea uspika??chadema hawana intelijensia?? au chadema walikurupuka?
Duh! Vipi kuhusu Lowasa? Ina maana ninyi CHADEMA mnawaacha tu watu wasio wana CHADEMA wanakuja kuchukua vyeo kwa mgongo wenu? Kweli ninyi ni mazoba
kwahiyo anasafiri bila kujua anaenda wapi?Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
kwahiyo tinga tinga limejigeuza kuwa trekta mkuu?Serikali iliyofeli kabisa ndani ya miezi sita tu! Huyu dereva wetu ana mori ya kufanya mazuri tatizo hana dira.
Ni sawa na catapila liache kulima barabara livamie mashamba
Nchi ya ahadi?? Acha kumfananisha nabii wa Mungu na Magufuli. Safari yenye walevi bungeni safari gani hiyo?? Safari ya kukurupuka bila kujiandaa safari gani hiyo.
Acha kabisa kumsingizia Mwl. Nyerere! Kama Mwalimu Nyerere angelikuwa hai angeunga mkono juhudi za Rais Magufuli za kuhangaikia maendeleo ya wananchi. Labda angeweza kumshauri ktk mambo kadha wa kadha kwa manufaa ya wanyonge na si vinginevyo.Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
utajenga nchi bila hela? watu ratiba ya kula imebadilika alf hio nchi itajengwa vpMi nawashangaa sana mnaolia lia...subirini mpaka mwakani ndo tutajua tunaelekea wapi..ndo kwanza anafanya service ya gari mnalia..akianza safari je ?<br /><br />Wekeni siasa pembeni tuijenge nchi yetu.
Unaniuliza ili nikurudishe shule au...utajenga nchi bila hela? watu ratiba ya kula imebadilika alf hio nchi itajengwa vp
This is explicit content [emoji106]Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Acha UNAZI thread inajieleza fact za ukweliAkupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Waache watauona ukweli muda si mrefuAcha UNAZI thread inajieleza fact za ukweli
Tatizo ULUMUMBA ndo unakuponza [emoji83]
Kweli kabisa mkuuNchi haiendeshwi kwa matakea ya rais ndiyo maana kuna miongozo kama ilani, mipango ya muda mrefu na mfupi, katiba, sheria, miongozo na nyaraka mbali mbali. Wananchi ni haki yetu kuhoji, kukosoa, kushauri na kulalamika kama mambo hayaendi vizuri. Tatizo linakuja pale anayehoji au kukosoa anapoonekana adui. Tabia hii siyo nzuri na haiwezi kutupeleka popote kama taifa