emmadeclassic
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 304
- 131
serikali hii mgao wa umeme hauonekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe naona unaishi somalia wakati mapato bandarini yameshuka kwa kukimbiwa na wateja bado unaota?Serikali hii imeibua watumishi hewa, imewachukulia hatua wezi wa mali za umma pamoja na kuanzisha mahakama ya mafisadi, imethibiti mapata bandarini, imeleta nidhamu kwa watumishi wa umma, inasimamia ukusanyaji wa kodi n.k, haya yote yameokoa mabilioni ya fedha.Hahaha! Katika Serikali hii ikiwa inaendelea kutumbua majipu Wale wa upande ule wakaanza kuwatetea wale wezi na waliowanyonya wanyonge kwa muda mrefu. Katika serikali hii upinzani unaendelea kupotea kwakuwa mpaka sasa wanatapatapa kwa kukosa hoja zenye mashiko. Ila si haba kwani tumeshuhudia wakifanya maigizo bungeni kitendo ambacho kilichekesha wengi na kuona wamepotoka. Hawa watu ni wa kupuuzwa.
Serikali ya wanyonge sasa imewafanya wanywe uji wa chumvi badala ya kuona sukari inawafaa wakubwa tuView attachment 361720
UKAWA TETEA WANYONGE TUKO NYUMA YENU KWA LOLOTE MUNGU KAWALETA KUJA KUTETEA WANYONGE NA KILA MTANZANIA KULA MATUNDA NA MAZIWA KWENYE NCHI YAKE.
View attachment 361721
IN GOD WE TRUST YOU MR LOWASSA.
swissme
Ccm ni ileilee ooooh ni ileileeInabidi watanzania wajitambue hapa hakuna mnyonge anafaidi Bali in hii serikali hii ya ccm inaendelea kujitia kipato kwa sababu ni walewale
Serikali ya wanyonge sasa mlo kwa mnyonge ni mmoja tu baada ya kuongeza bei ya sukari na gharama za maisha kupanda tu nakula ugali saa 10 jioni tu imetokaserikali hii mgao wa umeme hauonekani
Serikali ya wanyonge kina lugumi imejahidi kuwasafisha kina lugumi sasa ni weupe kama malaikaSerikali ya Wanyonge imeweza kumsaidia mnyonge Lugumi na maswahiba wake wanyonge wenzie kwa kuchakachua ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali iliyoonyesha kwamba baada ya kulipwa shilingi bilioni 36, mnyonge Lugumi na maswahiba wake wanyonge walifunga mashine 14 tu katika vituo 108 walivyotakiwa wafunge mashine hizo. Serikali ya wanyonge haikuona umuhimu wa kufuatilia kwanini mkataba huo haukutangazwa ili wanyonge wengine nao waweze kutuma maombi yao kuomba mkataba. Hivyo mnyonge lugumi na maswahiba wanyonge wenzie wameshasafishwa rasmi na hawana kesi ya kujibu.
Mkuu huu mchezo hauhitaji hasira, mambo yote hayo yatachukuliwa hatua thabiti. Ndiyo kwanza serikali ya Rais mwenye weledi katika utendaji na uzalendo wa hali ya juu hajafikisha hata mwaka na kufanya mabadiliko makubwa ambayo yamewafanya ukawa kushikwa na butwaa! Kimsingi hofu ondoeni Jemedali Magufuli atatekeleza malalamiko yenu yote ila kwa awamu. Nasema mchezo huu hauhitaji hasira!!!Serikali ya Wanyonge imeweza kumsaidia mnyonge Lugumi na maswahiba wake wanyonge wenzie kwa kuchakachua ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali iliyoonyesha kwamba baada ya kulipwa shilingi bilioni 36, mnyonge Lugumi na maswahiba wake wanyonge walifunga mashine 14 tu katika vituo 108 walivyotakiwa wafunge mashine hizo. Serikali ya wanyonge haikuona umuhimu wa kufuatilia kwanini mkataba huo haukutangazwa ili wanyonge wengine nao waweze kutuma maombi yao kuomba mkataba. Hivyo mnyonge lugumi na maswahiba wanyonge wenzie wameshasafishwa rasmi na hawana kesi ya kujibu.
Swala hili halihitaji akili kubwa, walioikimbia bandari ni wateja wakwepa kodi. Ila kwa hao wachache wanaolipa kodi stahiki, hufanya makusanyo yawe sawa au kuzidi yale yakipindi kile watu wa bandari walipokuwa wanachumia matumbo! Hivi nyie ukawa leo hii nyie ndiyo mnatetea maovu!!Wewe naona unaishi somalia wakati mapato bandarini yameshuka kwa kukimbiwa na wateja bado unaota?
Bandarini sasa hivi watu wanacheza bao tu maana kazi hakuna na kenyatta ashasema nyinyi jengeni bomba la mafuta yeye anacheza na bandari tuSwala hili halihitaji akili kubwa, walioikimbia bandari ni wateja wakwepa kodi. Ila kwa hao wachache wanaolipa kodi stahiki, hufanya makusanyo yawe sawa au kuzidi yale yakipindi kile watu wa bandari walipokuwa wanachumia matumbo! Hivi nyie ukawa leo hii nyie ndiyo mnatetea maovu!!
Na bili watakuja kukulipiakuendelea kukaa hapa kubishana na watu wasiojua nini wanafanya bora nichukue jembe nikalime,kwanza nishukuru tu nipo kijijini huko naona umeme umeingia tayari,asante serikali japo ni wajibu wenu lakini asante kwa kutimiza huo wajibu.....