kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Kauli za kujifariji tu hizi wkt hali ni teteBila tanuru la moto utapataje chuma? Tuwe na subira na tusisahau kuwa mazuri tunayotaka tunawajibika nayo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli za kujifariji tu hizi wkt hali ni teteBila tanuru la moto utapataje chuma? Tuwe na subira na tusisahau kuwa mazuri tunayotaka tunawajibika nayo!
Kila siku mimi nasema,watu kama ninyi mnaokosoa utawala wa Magufuli muwe mnakuja na ushauri pia kuwa atawaleje. Tena kwa kutolea mfano kuwa "ningekuwa mimi rais ningefanya 1,2,3", tukaona mawazo yako.Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Hebu tusaidie naww maana umelaumu wenzio kisha umepita mlemle...VAT kwenye miamala ya PESA anatakiwa alipe nani..Kampuni inayotoa huduma awwKila siku mimi nasema,watu kama ninyi mnaokosoa utawala wa Magufuli muwe mnakuja na ushauri pia kuwa atawaleje. Tena kwa kutolea mfano kuwa "ningekuwa mimi rais ningefanya 1,2,3", tukaona mawazo yako.
Maana nchi inajengwa na wenye nchi na kila raia ana uhuru wa kutoa nchango wa mawazo yake.
Lakini hii tabia iliyojitokeza sasaiv jf ya kukosoa bila kutoa mchango wa mawazo mbadala, mtakuwa wale mliokaririshwa kitu,kama walivyokaririshwa kitu wajumbe wa bunge la katiba.
Wasomi ngazi ya maprofesa walijifyetua akili kwa ajili ya manufaa ya matumbo yao, na si kwa manufaa ya umma mpana.
Toa mchango wako wa mawazo binafsi tukupime.
Raia tusiofungamana na upande wowote,tunaona utawala huu umeanza vizuri na ndiyo tuliokuwa tunautska sisi. Nyota njema huonekana asubuhi.
Tena mliotumbuliwa ama kuguswa na fyagio la Magufuli ndomnatokaje povu!
Mwacheni rais wetu atawale mbona anatawala vzuri tu? na kwa taarifa yako sisi raia wapenda maendeleo tupo nyuma yake na tunamuunga mkono kwakuwa hadhulumu mali za wanyonge.
Ni Kampuni inayotoa huduma ndiyo jibu. Lkn kwa kuwa limejitokeza kundi linalo kwenda "against" na yeye, kama vile shetani afanyavyo kwa M/Mungu. Tunachoshukuru, kila anayeonekana anahujumu harakati zake anamuweka pembeni sawia na wembe wake wa kutumbulia haupotezi makaliHebu tusaidie naww maana umelaumu wenzio kisha umepita mlemle...VAT kwenye miamala ya PESA anatakiwa alipe nani..Kampuni inayotoa huduma aww
Unauhakika naulichoandika kuwa maKAMPUNI ndio yanalipa au umekariri...Hadith za Dr MAPANGO!!,,,Mara ya mwisho lini kufanya muamala aidha wa Bank au simu....Ni Kampuni inayotoa huduma ndiyo jibu. Lkn kwa kuwa limejitokeza kundi linalo kwenda "against" na yeye, kama vile shetani afanyavyo kwa M/Mungu. Tunachoshukuru, kila anayeonekana anahujumu harakati zake anamuweka pembeni sawia na wembe wake wa kutumbulia haupotezi makali
Atafanikiwa kwa sababu anataka haki itendeke,watumishi wawajibike nk nk. Watu washazoea sana "kupiga" bila kuwajibika,ndovilio unavosikia. Ivi kama wewe ni mwizi ushazoea kukwapua,kwanini mwenye mali anapostuka akaweka geti kali kuzuia mali zake zisiibwe zibaki salama,wewe mwizi unahakigani ya kulaumu mwenye mali pale na kuanza vijembe? Kisa eti umewekewa getikali! Ndo nikasema? Sisi wapenda haki na maendeleo tunamuunga mkono. Na mara zote mwanzo huwa mgumu, tutavumilia kwa sababu serikali ipo kwenye mstari.
Ww haujanisoma vzuri. Bora ukafuatilia kwa makini niachoandika, itafikia sehemu twende sambamba. Nimesema hivii? Wanaotakiwa kutoa hiyo kodi ni makampuni. Ila kwakuwa kila jema analolifanya kwaajili ya wananchi,kunakikundi kinachompinga na kufanya maagizo yake hayatekelezeki. Haiwezekani Waziri aseme kodi zutalipwa na makampuni,af'asimame cjui director kukanusha! "Contridiction" hii ndoupinzani wa chinichini niliouleza na ndiyo majipu menyewe hayo anayohangaika nayo.Unauhakika naulichoandika kuwa maKAMPUNI ndio yanalipa au umekariri...Hadith za Dr MAPANGO!!,,,Mara ya mwisho lini kufanya muamala aidha wa Bank au simu....
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Nchi hii inaendeshwa kwa Taratibu na Sheria haindeshwi kwa Matamko....Bungeni ilipitishwa Sheria kwamba VAT ilipwe inavyojulikana VAT anailipa mlaji wa Mwisho nivipi leo useme maKAMPUNI ndio yalipe..huoni kama kuna blah blah ukiona watu hawatekelezi manake wanafata Sheria sio amri ya MTU sikiliza ndugu Serikali hii imeamua kuumiza watu wadogo ingawa yenyewe inajinasibu kwamba inasaidia wanyonge...Umesikia CRDB kuhusu Mikopo?Ww haujanisoma vzuri. Bora ukafuatilia kwa makini niachoandika, itafikia sehemu twende sambamba. Nimesema hivii? Wanaotakiwa kutoa hiyo kodi ni makampuni. Ila kwakuwa kila jema analolifanya kwaajili ya wananchi,kunakikundi kinachompinga na kufanya maagizo yake hayatekelezeki. Haiwezekani Waziri aseme kodi zutalipwa na makampuni,af'asimame cjui director kukanusha! "Contridiction" hii ndoupinzani wa chinichini niliouleza na ndiyo majipu menyewe hayo anayohangaika nayo.
Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Kaaazi kweli kweli nchi ya maagizo hii na kwa walimu na wakuu wa shule ndio zaid but all in all time will tellUkisema Watumishi WA umma unakosea, sema WALIMU ndio kutwa wanapigwa mikwara, Leo WAZIRI mkuu ameagiza Wakuu WOTE WA SHULE wasio NA shahada wakasome o.s watatumbuliwa. Pia waratibu Elimu Kata wakapige book wapate degree Sasa huku sio kudharirishana? Mbunge ajue kusoma na kuandika, Mkuu WA SHULE awe na sifa kama mgombea urais? IMBOMBO NGAFU NKAMU
Hapana mkuu.. Ukweli ni kuwa wanasiasa wanalindana sana. Mifano hii hapakama ufisadi umetokea mahali watu wa kwanza kushughuliwa ni waliosaini makubaliano au mikataba husika. wanasiasa huwa hawasaini wenyewe huwa wanakaa pembeni wanashinikiza wapozwe au watapiga kelele.
hapo ni ngumu kumtia hatiani mwanasiasa maana hakuna ushahidi wa yeye kuhusika moja kwa moja