Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Jamani mi niko serious, ninyi mnaleta siasa. Hii ni mada inayoweza kutusaidia na kumsaidia rais tukiondoa ushabiki
Kwa mfano umepewa kiwanja kule kwenye mapori ya Vikindu,utawezaje kujenga na ni pori tupu,lazima uwanze na kufyeka vichaka vyote ili kiwanja na mipaka yake ionekane,embu fikiri kwanza zaidi ya watu 16,000/= wajalikuwa kwenye payroll ya Serikali lakini hawapo,wanakula mshahara bure,wamechukua na mikopo bank,mhe rais ameanzia hapo mnasema amumuelewi mlitaka ajenge viwanda na wafanyakazi hewa,vyuoni hivyo hivyo wanafunzi hawapo lakini mikopo inakwenda,kwahiyo mlitaka aendelee hivyo hivyo ili wanafunzi wanaostahili mikopo wapewe 20%wakati kumbe angezibiti vizuri wa 20% angeweza kupata 90% mwacheni Rais arekebishe vichaka vyote kwanza
 
Wadau wa JamiiForums mimi ni kada wa CCM wa mda mrefu ila kuanzia leo naachana na CCM na sitajihusisha na chama chochote cha siasa nimeona siasa ni mchezo mchafu sana kwa sababu zifatazo.

01.Wanasiasa kusema waongo kwa sababu ya ahadi wanazozitoa kwa wananchi bila kutekeleza mfano.zoezi la uhakiki wa watumishi hewa halitazidi miezi miwili huu tayari ni mwezi wa tatu

02. Wanasiasa kutojari wananchi wao kwa kutoa kauli tata mfano.wanaolalamika hakuna hela ni wapiga dili
Hongera kwa kujitambua mapema, utakua umepatwa ndomana umejitambua, na hao wengine wanaoendelea kumsifia watapatwa tu.
 
Inaelekea mleta uzi alikwishapotea kitambo. Hajui mbele wala nyuma;kushoto wala kulia, mwelekeo sahihi ni upi. Sasa amesikia sauti ya JPM inamuelekeza amfuate. Kwa kuwa alikwishapotea haamini iwapo huko anakoelekezwa aelekee ni dira sahihi. Ninamshauri amfuate JPM. Kwa kuwa awali alipotea peke yake, sasa akipotea atakuwa na company ya JPM. Ondoa na shaka.
[emoji106] [emoji106]
 
Niweke wazi kwamba mimi nilikuwa na imani kubwa sana na kiongozi wangu ila ghafla nimepoteza imani naye mpaka sasa sijanufaika chochote biashara hakuna wateja, wanafunzi vyuoni hawajapewa pesa zao za field, wafanyakazi hawajapewa Increments zao, ajira hatoi vijana wamepigika sasa Dr Magufuli nijivunie nini kwa uongozi wako bora baba riz mkopo ulipatikana kwa wakati biashara zilikuwa zinatoka mzeee fanya hima mambo yanyoke.....
Ukiangalia mada zako za nyuma itagundua ilivyo kigeugeu
 
Hyo kodi tunayokusanya ndo inakabarati mansion ya waziri mkuu dodoma sasa hvi,bdo makamu wa raisi bdo na mkulu,;ukitoka hapo bdo kuna familia 128,000 za wafanyakazi wa serkali ambazo zitahamia dodoma,,,na kwa kua mkulu kashasema lazma itekelezwe,hzo triliioni trilioni kla mwezi tutazisikia kwenye bomba la tanga ..hvo viwanda vya nyama na mazima tutavisikia kenya rwanda huko ,, 2020 inafika hamna hata kilichobadilika zaidi ya service charge za luku,,Hapa kaxi tu
 
Magufuli akishusha dola ikafika 1usd =1000tsh hakika nitampa kura
Bei ya dola kushuka si alama ya uchumi kuimarika.

Wachina wanapigania kila siku Dola iwe bei ya juu kwa hela yao ya Yuan.

Uchumi unapimwa kwa uzalishaji, sio kwa bei ya dola. Tena mwenye uzalishaji zaidi kama China anaweza kutaka dola iwe bei ya juu kwa makusudi, ili exports zake ziwe rahisi kwa kuangalia dola ya Kimarekani.

Ushaelewa somo?

Kama hujaelewa soma waziri wa fedha wa Marekani alivyokuwa analalamika Wachina wanafanya hela yao isiwe na thamani sana kwa makusudi.

Geithner Says China Must Boost ‘Undervalued’ Yuan
 
Magufuli akishusha dola ikafika 1usd =1000tsh hakika nitampa kura
Ni vigumu kaka, sio kwa miaka mi5

1966-1972) 1 USD = 5 TZS,
1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976,,1 USD=12 TZS
1977, 1 USD =12 TZS
1978-82-1USD-20TZS
1983- 1USD:22 TZS
1984-1 USD: 23TZS
1985- 1USD: 102 TZS
1986- 1USD: 205 TZS
1987- 1USD: 207 TZS
1988- 1USD :220 TZS
1989- 1 USD: 226 TZS
1990- 1 USD: 265 TZS
1991- 1USD: 300 TZS
1992 - 1 USD: 385 TZS
1993- 1USD: 434 TZS
1994-1USD: 465 TZS
1995 - 1USD: 500 TZS
1996- 1USD: 580 TZS
1997- 1USD : 665 TZS
1998- 1USD: 720 TZS
1999-1USD : 800 TZS
2000- 1USD: 820 TZS
2001- 1USD : 880 TZS
2002- 1USD : 900 TZS
2003- 1 USD: 900 TZS
2004- 1 USD: 910 TZS
2005-1USD : 1050 TZS
2006- 1 USD: 1100 TZS
2007-1 USD: 1150 TZS
2008- 1USD : 1200 TZS
2009 - 1USD: 1250 TZS
2010- 1 USD: 1260 TZS
2011- 1USD: 1300 TZS
2012- 1USD =1450 TZS
2013- 1USD=1620 TZS
2014- 1USD= 1650 TZS
2015- 1USD = 2210TZS
2016- 1 USD= 2200TZS
 
Ni vigumu kaka, sio kwa miaka mi5

1966-1972) 1 USD = 5 TZS,
1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976,,1 USD=12 TZS
1977, 1 USD =12 TZS
1978-82-1USD-20TZS
1983- 1USD:22 TZS
1984-1 USD: 23TZS
1985- 1USD: 102 TZS
1986- 1USD: 205 TZS
1987- 1USD: 207 TZS
1988- 1USD :220 TZS
1989- 1 USD: 226 TZS
1990- 1 USD: 265 TZS
1991- 1USD: 300 TZS
1992 - 1 USD: 385 TZS
1993- 1USD: 434 TZS
1994-1USD: 465 TZS
1995 - 1USD: 500 TZS
1996- 1USD: 580 TZS
1997- 1USD : 665 TZS
1998- 1USD: 720 TZS
1999-1USD : 800 TZS
2000- 1USD: 820 TZS
2001- 1USD : 880 TZS
2002- 1USD : 900 TZS
2003- 1 USD: 900 TZS
2004- 1 USD: 910 TZS
2005-1USD : 1050 TZS
2006- 1 USD: 1100 TZS
2007-1 USD: 1150 TZS
2008- 1USD : 1200 TZS
2009 - 1USD: 1250 TZS
2010- 1 USD: 1260 TZS
2011- 1USD: 1300 TZS
2012- 1USD =1450 TZS
2013- 1USD=1620 TZS
2014- 1USD= 1650 TZS
2015- 1USD = 2210TZS
2016- 1 USD= 2200TZS

Hizi data umezipata wapi?
 
Habari wana JF..
Je kwa jinsi unavyoomuona huyu Raisi wetu mpya na mwenendo wake unahisi nini kitatokea baada ya miaka mitano hapa Tanzania ..kitakachowashangaza mpaka wananchi wake[emoji780]
Baada ya miaka 5 Tz bilashaka ni uchaguzi ma raisi au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom