Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hivi ni kweli watu hawana pesa mitaani? Mbona watu naona wanaendelea kununua magati, kujenga nyumba, kuchangia harusi hadi 300,000 kwa mtu nk. ???
Hata huku vijijini wakulima kila familia unakuta wamepaki pikipiki TOYO wanaving'amuzi vya azam tv.yaaani ni vigelegele.
 
Hivi ni kweli watu hawana pesa mitaani? Mbona watu naona wanaendelea kununua magati, kujenga nyumba, kuchangia harusi hadi 300,000 kwa mtu nk. ???
Kwani uliposikia Ugiriki imefilisika unadhani kulikuwa hakuna watu wanaojenga au kununua nyumba, au magari? Ukisikia hakuna hela jifunze jinsi watu walivyoshangilia serikali ilivyofuta ada ya shilingi 20,000 au 70,000 kwenye shule za Umma. Jiulize hiyo ni hela kweli ya mtu kuikosa?
 
Huku vijijini kila familia ina pikipiki, powertiller, ving'amuzi watu wanakula bata tu.
 
Mh, raisi tumemwajiri sisi bila hiyana yeyote kisha chamani wakamwajiri bila hiyana pia lakini yy kaishia kuajiri wanasiasa wenzake tu. Kuna watu mtaani maisha magumu walijua baada ya kumaliza vyuo watapata ajira on time kama alivyokuwa anajinasibu kwenye kampeini Mh, Rais iliwaweze kusaidia familia zao lakini kilicho fuata ni hadithi zisizo halisi kila siku tutaajiri mwezi huu mwezi ujao shame on this government.
 
Nimeapa kamwe sitajiendeleza kielimu. Mimekatishwa tamaa namaphd holder uchwara. Watu wanadhan uchumi ni weledi wa kukariri vitu na namba.
 
Yaan tangu alete kampen yake ya kudis pooltable kanilaza njaa huyu mzee sitamsahau maisha nlikua per day nafunga hadi 18k saiz haizidi 3k dah nimeisoma namba
 
Walimu waliokuwa wameajiriwa Udom kuendesha program ya walimu 8000

Watu wa clearing and forwarding pale bandarini waliokuwawakishusha sukari na watu wa malori waliokuwa wakisafirisha sukari kwenda mikoani!!

Ajira za kutembeza watalii hazipo tena baada ya watalii kupunguza na madereva wa malori ya tour and travel zimepungua!!

Wafanyakazi wa vitengo vya VIP vya serikali ndani ya ndege za kwenda nje wamepunguzwa kazi maana hakuna wateja tena waziri anayesafiri ni mmoja tu waziri wa mambo ya nje!!

Ajira za machinga Mwanza na Dar zipo mashakani baada ya kutimuliwa town!!

Wakati huo yeye ajatengeneza ajira hata moja zaidi ya Mawaziri,wakuu wa mikoa,wilaya,Makatibu tawala wa mikoa na wilaya!!
Kwani waliajiriwa watu wapya au ni wale wale waliopo UDOM waliongeweza mzigo wa kazi hadi wakagoma?
 
kutoa ajira za kikwete je serikali hii imebuni ajira zipi mpya au bado mpaka viwanda
 
Yaan tangu alete kampen yake ya kudis pooltable kanilaza njaa huyu mzee sitamsahau maisha nlikua per day nafunga hadi 18k saiz haizidi 3k dah nimeisoma namba
1472713653532.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom