Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
hii ni hoja dhaifu sn. na inapendwa na watetezi wanaopingana na uhalisia.
Hivi uhalisia ni kuwa na MIHEWA kila mahali. Wanafunzi hewa, mikopo hewa, wafanyakazi hewa, biashara za madili na ukwepaji kodi.
 
Leo kelele kibao mara ooh mikopo ya Chuo hakuna!Mara bank zimesitisha kutoa mikopo kwa watumishi wa umma, mara sukar imefichwa, mara yamebakia makopo mawili ya paracetamol,.....Hadi namba zote zitasomeka kuanzia real number,natural number,complex number, .....Si mlituona wajinga, tuone push-up zitafika wapi
HAKUNA nchi ya hivyo mkuu ya kukupatia hivyo vyote.......Yaani LOWASSA ANGEKUWA ni RAISI wa NCHI HII ndio yangekuwa ni majanga kabsa.....Maana uo mtandao wake ingekuwa balaa afu bado akutane na CHADEMA aSili na WALE chadema WAAMIAJi NA SO CALLED ukawa unafikiri nchi i getawalika bhasi....bORA HATA YA HUYU aliyepo anaonyesha dhamira ya DHATI ya KUIVUSHA nchii hii....JAPO na yeye ni BINADAMU na HAWEZI akawa mtimilifu wa kumridhisha kila MTU
 
Kila zama na methali yake.
Ya kwanza: "umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu"
Ya pili:"Bandua gogo uonje utamu wa asali"
Ya tatu:"Raha ya ngoma uingie ucheze"
Ya nne:"Baada ya dhiki faraja"
Ya tano:"Hasira Hasara"
 
Hivi uhalisia ni kuwa na MIHEWA kila mahali. Wanafunzi hewa, mikopo hewa, wafanyakazi hewa, biashara za madili na ukwepaji kodi.
kwa hiyo ni hayo tu kwa tanzania yetu yanayosababisha maisha magumu,na vilio kila kona?!!
ndio hayo yanayosababisha waajiriwa waliopandishwa madaraja wasimamishiwe madaraja yao?!!
ndio hayo yanayosababisha serikali isiajiri na ikiajiri isiwalipe?!!
ndio hayohayo yanayosababishwa wanafunzi wasipate mikopo?!! yapo mengine mengi hata ww unayajua.

tuache utani hili duara hupaswi kufundishwa kua katikati kuna tundu.
 
huu ni uongozi,usitegemee unachotaka wewe ndo kifanyike,kazi kazi,wametaifisha mali zako nini?
 
1476649917043.jpg
1476650027714.jpg

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli tunaisoma namba, na siyo hizo tu wengine tunazisoma 'counting numbers' ni ukosefu wa busara kutokukiri kuwa nyie mulio deki barabara mlituzidi mtazamo na fikira. Kama hali ni hii 2020 nitaungana na nyie kudeki barabara zote Tz ambayo Mhe. Edward Ngoyai Lowassa atapita yaani badala ya kuongezewa mishahara tunapunguziwa tena. Aseee ! au kwenye kampeni mkuu alisema yeye ataifyeka mishahara na kufuta ajira na kupunguza watakaopata mkopo wa elimu ya juu.
Kikwete sitakusahau mkopo tulikuwa tana apply wekundu moja(1) tu na tunapata bila kwere yoyote na tunasoma bila kwere yoyote , tunaiva tukiwa vyuoni kama vile tuko kwenye ofisi za mishara minono. Asee , ubarikiwe sana wee mzee na amini sasa unafaidi uzee wako mzuri. Watanzania wengi wenye hali ya chini na vipato vya chini naamini kila mmoja anakusema vizuri aliko maana sasa wana vilio kwenye miioyo yao.
 
Hahahahhaaaa
What Are Counting Numbers?
Counting numbers are the set of numbers that we use to learn how to count. 1, 2, 3, 4, 5, and so on. They are also called natural numbers—maybe since they feel natural to us because they are naturally the first numbers we learn. Sometimes they are also referred to as positive integers. In this lesson, we will learn what counting numbers are and what they are not and also look at some examples for clarification. Copied from study.com
 
Sasa kwani hiyo serikali iliyopita si ilikuwa ya ccm ¿ Kama madudu ya vyeti feki, madili, rushwa, kujuwana hivyo ndivyo ccm inavyo someka Tokea uhuru hadi leo ni kubadili misamiati tuu, ccm ni ileile na Sera yao ni ubaya ubaya tuu na shida kuongezeka.
Hata kama Serikali ilikuwa ya CCM lakini kwa kumchagua bwana yule aende Ikulu! That was ridiculous!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom