Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hivyo wala sio Viroba, wenye viroba mara kadhaa tumekua nao humu na tunajua wanavyoandika. Huyu jamaa atakuwa.amekunywa JIBAPA
 
JK nilikuwa namkubali sana, akiona humu ndani kila siku majanga; mara ukame, mara tetemeko, mara mikopo hakuna, mara panya road, masikio yake yanachoka then huyoooo, anakwea pipa anaenda kuondoa stress New York au London. Akirudi agenda nyingine na anarudi na kapu la ahadi ya manoti. Huyu sijui anamalizaje stress
 
Ni bombadiar

NI

2000px-Bombardier_Logo.svg.png
 
Akikaa kimya hampati cha kuongea endeleeni kusubiri ataongea tu
 
Mabadiliko ya mfumo yana changamoto kubwa.Nimeamini Bus Tanzania sasa lipo garage linakula hela.Mh Tunaomba ulitoe huko mapema familia huku tunalia njaa.Baba maisha ni magumu sana hasa kwetu sisi wanyonge.Asikudanganye mtu.
 
Manchester jana kaokota Dodo.
Aisee kocha wa Man U anatisha,kwa kukamata majambazi pale Ubungo kwa Kidosho,na alikuwa anaelekea Arusha kwenye Mkutano wa Wabunge wa Africa Mashariki.
Unajua hali ya hewa ilikuwa ngum saana,mabati yote yalikuwa hayatoshi kabisaa,na akaamua kuweka hard disc mpya kabisaa,ila haikuweza kufika Mpaka Ubungo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom