Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Serikali ya sasa haina watu ambao wanajua utekelezaji imekuwa serikali ya matukio tu na ushabiki. Hakuna plan nzuri ya elimu zaidi ya elimu ya bure!, plan nzuri ya makazi na nyumba, plan nzuri ya afya, plan nzuri kwa wafanyabiashara . Plan za umeme ni zilezile ndiyo pekee zipo. Tatizo kubwa ni kwa uongozi wa juu kutaka ku control kila kitu wakati hawana ujuzi na kama tulivyosema hakuna watu wabaya kama wasomi ambao hawana uzoefu na proven record .. hawa ma professor watatuletea umasikini tu wakati mwingine muuza duka anaweza kufanya kazi zaidi ya professor maana anajua results
Ma pfrofessor na ma doctor tukitaka kuwafundisha huwa tuna waandalia seminar Mada 'Experience sharing workshop' ukiwambia unakuja kuwafundisha hawaji. wakija tunapendekeza mwenyekiti prof kwenye majumuisho we! ana dodosa karibu kila kitu kilicho ongelewa 'because they like treating every body like their student'
 
Wakati mwingine huwa nikipitia kauli na amri za Amri Jeshi wangu Mkuu,huwa najichekea peke yangu!

Hapa nina kauli zake tata km tatu hivi;

-SWEKA LOCK UP WAKAIMBIE HUMO HUMO MAPAMBIO YAO!

-HATA NA HILO GARI KM LINAWEZA KUSWEKWA LOCK UP,SWEKA!

-I WISH I COULD BE...!

Da!Mh bwana.

Binafsi,namfahamu sana bwana mkubwa huyu.Kuna wakati nilipata kufanya project na waChina pahali Fulani
Kipindi akiwa Waziri wa ujenzi alikuwa ktk ziara ya ki-ukaguzi.Basi kuna mChina (FOREMAN) wa eneo husika alilolifikia akambishia jambo fulani-weee!

Pamoja na yote,JPM ni kiongozi aliyesubiriwa na nchi hii iliyokuwa inakaribia kibla! Km binadamu,anayo mapungufu.Tuendelee kumwombea na kumkumbusha bila kukoma.

Ktk baadhi ya mambo aliyofanya vyema,NAKUPONGEZA mh Rais.Dumu ktk kusimamia mema na mabaya yaache mkuu wangu.

Ninatambua ww ni Rais hadi 2020 hata km wapo watu hawataki.

Ila nina kaombi kwake;KALE kanyongeza basi kwenye mambo yetu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG

kilitokea nini sasa alipombishia manake hujafafanua
 
  • Thanks
Reactions: SDG
trafiki polisi wakidai hela wapeni kwa ajili ya kuburashia viatu.....

mweee!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nimetoka kuzunguka Madukani Mjini Sa Hivi toka Nifanye Shopping zamani mwezi wa Kwanza.. Nimerudi Leo Kidogo Nihairishe Kununua Vitu

[emoji666]Mchele Kilo Moja Tsh 1900

[emoji666]Mafuta Ya Kupikia Ndo Usiseme yamepanda Kutoka Fanta Moja Sh 1000 mpk 1200

[emoji666]Nyanya Nne sh 1000
 
Una undugu na Kaoge ?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama wahenga walivyosema Ngoma ikivuma sana hupasuka. Hiki ndicho tunachokishuhudia.

Pogba ni wewe ulikuwa unatoa kauli za kibabe na utumbuaji usiofuata sheria.

Ulifikia hatua ya kuzima mikutano ya kisiasa na uhuru wa bunge.
Umenyanyasa sana viongozi wa vyama vya upinzani.

Pogba tulikuacha ufanye yako, kwa jeuri ya Vyombo vyako vya dola ukatumia kunyanyasa watu.

Pogba ni wewe uliyekuwa ukitoa tamko na kutikisa nchi nzima. Chama chako kilikuonya hukusikia.

Pogba ile jeuri ya kuwakebehi waathirika wa tetemeko la ardhi kule Kagera na kutafuna pesa zao sasa inakutokea puani.

Hii ngoma mliyoicheza juzi wewe na kijana wako mwenye ushawishi kuliko Wadhili Mkuu sasa inakutokea puani.

Baraza zima la mawaziri limeshakuchoka, huna ushawishi tena.

Nchi imesha kuchoka, kila ukiongeacho hakipewi uzito, unaonekana una bwabwaja tu.

Umefikia hatua za kudharau bunge, kuiendesha mahakama unavyotaka wewe, sasa basi, mwisho umefika.

Zile amri zako na jeuri zako zimefikia mwisho, NGONA INAKARIBIA KUPASUKA, IKIPASUKA NI SHANGWE KWA TAIFA.

Pole sana Pogba, tambua kuwa "Action and reaction are equal, have the same frequency and rate.

Haramu ya uchaguzi Mkuu ndio inakutafuna.

Karma!!!
 
Ni M DINI M. CHUKI M MKABILA simpendi kwa ujumla na kujichoma vidole puani kisha kuwashika mikono wananchi.

Swissme
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kiongozi yeyote anayedai kunisaidia na huku sioni matokeo katika uchumi wangu, Hanifai.
Nakuomba usinitie moyo hata kwa neno moja, huwezi kujigamba kwa vyovyote huku hunipi matokeo chanya kwenye uchumi wangu.
Nisikupambe kwa mgongo wa chupa, hunifai. Tena hunifai kabisa.
Urahisi sio rahisi kwa rahisi tuliofikiria Rahisi angefanya rahisi. Samahani kwa uwingi wa H na I
 
Hata mimi naungana na wewe, hanifai kabisa tena kiongozi mwenye wingi wa visa, hanifai na hapaswi kuitwa kiongozi, anafaa kuitwa kama Tind Losso alivyopendekeza aitwe.
Eti mtu unatembelea watu waliofikwa na majanga unaanza kuwatukana? Wa nini huyo! Hanifai kabisa !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom