Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Read this proverb:If you do not know where you are going any road will take you therekama hujui unapokwenda... basi huwezi kupotea.
Ma pfrofessor na ma doctor tukitaka kuwafundisha huwa tuna waandalia seminar Mada 'Experience sharing workshop' ukiwambia unakuja kuwafundisha hawaji. wakija tunapendekeza mwenyekiti prof kwenye majumuisho we! ana dodosa karibu kila kitu kilicho ongelewa 'because they like treating every body like their student'Serikali ya sasa haina watu ambao wanajua utekelezaji imekuwa serikali ya matukio tu na ushabiki. Hakuna plan nzuri ya elimu zaidi ya elimu ya bure!, plan nzuri ya makazi na nyumba, plan nzuri ya afya, plan nzuri kwa wafanyabiashara . Plan za umeme ni zilezile ndiyo pekee zipo. Tatizo kubwa ni kwa uongozi wa juu kutaka ku control kila kitu wakati hawana ujuzi na kama tulivyosema hakuna watu wabaya kama wasomi ambao hawana uzoefu na proven record .. hawa ma professor watatuletea umasikini tu wakati mwingine muuza duka anaweza kufanya kazi zaidi ya professor maana anajua results
Hahahaha!Ukikamata gari kwenye barabara ya Mwendo kas fungua taili
Wakati mwingine huwa nikipitia kauli na amri za Amri Jeshi wangu Mkuu,huwa najichekea peke yangu!
Hapa nina kauli zake tata km tatu hivi;
-SWEKA LOCK UP WAKAIMBIE HUMO HUMO MAPAMBIO YAO!
-HATA NA HILO GARI KM LINAWEZA KUSWEKWA LOCK UP,SWEKA!
-I WISH I COULD BE...!
Da!Mh bwana.
Binafsi,namfahamu sana bwana mkubwa huyu.Kuna wakati nilipata kufanya project na waChina pahali Fulani
Kipindi akiwa Waziri wa ujenzi alikuwa ktk ziara ya ki-ukaguzi.Basi kuna mChina (FOREMAN) wa eneo husika alilolifikia akambishia jambo fulani-weee!
Pamoja na yote,JPM ni kiongozi aliyesubiriwa na nchi hii iliyokuwa inakaribia kibla! Km binadamu,anayo mapungufu.Tuendelee kumwombea na kumkumbusha bila kukoma.
Ktk baadhi ya mambo aliyofanya vyema,NAKUPONGEZA mh Rais.Dumu ktk kusimamia mema na mabaya yaache mkuu wangu.
Ninatambua ww ni Rais hadi 2020 hata km wapo watu hawataki.
Ila nina kaombi kwake;KALE kanyongeza basi kwenye mambo yetu.
Ndg,mambo mengine mezea tu,ni zaidi ya kichekesho!kilitokea nini sasa alipombishia manake hujafafanua
Du!trafiki polisi wakidai hela wapeni kwa ajili ya kuburashia viatu.....
mweee!
Una undugu na Kaoge ?Nimetoka kuzunguka Madukani Mjini Sa Hivi toka Nifanye Shopping zamani mwezi wa Kwanza.. Nimerudi Leo Kidogo Nihairishe Kununua Vitu
[emoji666]Mchele Kilo Moja Tsh 1900
[emoji666]Mafuta Ya Kupikia Ndo Usiseme yamepanda Kutoka Fanta Moja Sh 1000 mpk 1200
[emoji666]Nyanya Nne sh 1000
Hata mimi naungana na wewe, hanifai kabisa tena kiongozi mwenye wingi wa visa, hanifai na hapaswi kuitwa kiongozi, anafaa kuitwa kama Tind Losso alivyopendekeza aitwe.Kiongozi yeyote anayedai kunisaidia na huku sioni matokeo katika uchumi wangu, Hanifai.
Nakuomba usinitie moyo hata kwa neno moja, huwezi kujigamba kwa vyovyote huku hunipi matokeo chanya kwenye uchumi wangu.
Nisikupambe kwa mgongo wa chupa, hunifai. Tena hunifai kabisa.
Urahisi sio rahisi kwa rahisi tuliofikiria Rahisi angefanya rahisi. Samahani kwa uwingi wa H na I