Kila jambo huwa na matokeo yake... Tumekuwa chini ya usimamizi wa serikali ya ccm mpk sasa ni awamu ya tano,takribani miaka 50+ sasa na ktk hiyo miaka kuna matarajio yaliyokuwepo ambayo ndio huleta matokeo ya sasa.. Je,mpaka sasa hivi tulivyo ndio yalikuwa mategemeo yetu/mategemeo ya serikali..? Kama jibu ni ndio basi hakuna shaka na serikali lkn kama jibu ni hapana shaka lzm iwepo..lkn jibu utalipata kutokana na kuchagizwa na mazingira yaliyopo kwa kuangalia mambo yalivyo sasa maana ndio matokeo ya kile kilichopandwa zamani.
Kama mambo yakienda koro ktk familia wazazi ndio walaumiwa na ndio wanaotakiwa waweke ushwari ili mambo yawe sawa..yanayoibuka sasa yamelelewa zamani! na hapa ndipo ninapouona ubaya tena wa mtu kujitekenya na kucheka yeye mwenyewe!
nchi sio dini kuhubiri neno moja miaka nenda rudi!,sifa kubwa ya kiongozi ni kuongoza watu wafikie malengo yao sasa kama mahubiri ni yaleyale it means Loading...
Tatizo sio kuugundua ugonjwa tatizo ni kuutibu ugonjwa tubadilike.
NI
WATAMPIGIA KURA 2020
HAWAJAWAHI KUWA NA MAISHA BORA SO THEY HAVE NOTHING TO LOOSE
TA FANYA HIKI NA KILE
NIMEAMUA KUFANYA HIVI NA VILE
MIMI NIKIAMUA NIMEAMUA
NITAINYOSHA NCHI HII
NITAHAKIKISHA NATEKELEZA ILANI YANGU
NILIAMUA MWENYEWE KUCHUKUA FOMU
SIKUSHAURIWA NA MTU KUCHUKUA FOMU
MIMI NDO NILIZUNGUKA KUOMBA KURA NA SIO NYIE
TUTA vs NITA
SASA WEWE UNAYO YATAKA SI ANAYOYATAKA YEYE
WEWE UNAYO YATAKA HUTAYAPATA HADI AAMUE YEYE
NA HUNA CHA KUFANYA KWANI WATU WA VIJIJINI WANAKUELEWA SANA
KWAMBA MALALAMIKO YAKO NI UCHOCHEZI TU .WATU HAWA WANAMUELEWA SANA NA HAWANA
TIME NA MTANDAO YA KIJAMII NA HAWASOMI MAGAZETI,HAWATIZAMI TV,JAMII FORUM WALA
HAWANA WHATSAP
NA HAUKO HURU TO ZAT EXTENT KULALAMIKA
KAFANZE KAZI NA USITEGEME SERIKALI ITAKUSAIDI
SERIKALI HAINA MUDA WA KUSAIDIA WEWE KWANI INA MAMBO YA MUHIMU SANA YA KUFANYA
BE VERI KEAFU.