kubingwwa
Member
- May 23, 2015
- 76
- 16
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasikitisha sana, ikiwa kijana mdogo una mawazo kama mchawi ukiwa mtu mzima sijui itakuwaje?Juzi nikitoka nyumbani kwangu nilikutana na katoto ka jirani umri wa miaka miliwi kamevaa kandambili za Baba yake!!
Kwanza nilivyokaona tu nikachekea tumboni maana haikua rahisi kuvumilia, sasa nikasema ngoja nione kanatembeaje, bahati mbaya kakaniona lo! .....Nikawa nimefanya kosa maana kalitaka kukimbia kumbe Kanda mbili Ni kubwa kuliko mkuu Kaka anguka kalilia sana. Hapo nikapata maswali yafuatayo;
1. Watanzania wengi wanalalamika kuwa, tangu Magufuli amekua raisi hali imekua mbaya sana na ukiangalia kuna ukweli ndani yake...aliyekua maskini amezidi kuwa maskini..... je Uraisi umempwaya hana uwezo wa kuleta mabadiliko kisiasa, kiuchumi na hata kijamii???
2. Magufuli kama kale katoto amejua kabisa watu wana wasiwasi na uwezo wake wa kiuongozi hasa level ya Uraisi, sasa anajaribu kutumia nguvu nyingi kuwaonyesha kwamba anaweza, ndo maana katika kukikimbia kile kinachoitwa hawezi, anatumia vitisho kwa wale wanaomkosoa ...je...ataanguka kama kale katoto????
3. Swali Kwa wana JF,, hivi na ninyi mnaona Mh Kavaa kandambili za baba yake????
Unasikitisha sana, ikiwa kijana mdogo una mawazo kama mchawi ukiwa mtu mzima sijui itakuwaje?
Kwa kifupi rais JPM ni moja ya marais bora waliowai kutokea duniani na hatokaa atokee rais kama JPM tena kwa kizazi hiki kilichojaa uchu wa mali

Huo utafiti umeufanyia wapi? Ficha ujinga wako kwa kukaa kimya.Unasikitisha sana, ikiwa kijana mdogo una mawazo kama mchawi ukiwa mtu mzima sijui itakuwaje?
Kwa kifupi rais JPM ni moja ya marais bora waliowai kutokea duniani na hatokaa atokee rais kama JPM tena kwa kizazi hiki kilichojaa uchu wa mali
Ubora kwa kipi ,kung'ang'ania makinikia na kuleta nidhamu ya woga maofisi ya umma ndo mnamwona rais bora,acheni kumpamba huyo mwenyekiti wenu,labda bora kwenye kupiga tumba[emoji41] [emoji41] [emoji41]Unasikitisha sana, ikiwa kijana mdogo una mawazo kama mchawi ukiwa mtu mzima sijui itakuwaje?
Kwa kifupi rais JPM ni moja ya marais bora waliowai kutokea duniani na hatokaa atokee rais kama JPM tena kwa kizazi hiki kilichojaa uchu wa mali
Ok[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]