Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Umeandika meeengi! Ila yote hayo yanatoa tafsiri ya kile ulicho kusudia kusema.

Nadhan ullikusdia kusema hivi, jamaa ni mnafiki, ,jinga, shamba, pumbavu moja hivi.

Which is true.
Do not underestimate your enemy.
 
Daaa
Nimefatilia kwa muda mrefu takribani miezi mitatu mfululizo jamani Rais wangu kipenzi anapingwa sana! Sielewi tatizo ni nini maana hata mazuri yaani watu hawataki!

Nimeshindwa kuwaelewa watz kwasababu ukirudi nyuma yaani kuanzia mwaka 2015 kushuka chini thread zote zinazomexpect rais ajaye majority walionekana kumuunga mkono sana JPM! Sasa wamemgeuka!

Sielewi watanzania wanataka nini! Siwapingi kumkosoa lkn nimepima upepo wa kisiasa kwa wakati huu, maoni ya watu mtaani wengi wapo wanaompenda lakini wanasema akigombea JK anapata kura zote asbh tuu mechi inaisha! Sijapenda kwasababu natamani nikuone miaka nane mingine hadi unatoka nikupime tumefikia wapi.

Linalonitia shaka zaidi ni uchaguzi huu uliopita kwenye chama cha ccm ngazi za wilaya! Nimeona rushwa kwa kiwango cha ajabu! Na matokeo yake wanaoingia kwa staili hii watakuja kuwa mwiba kwako hasa uchaguzi wa 2020! Sijui nikushaurije but wamo wengi tuu wa utawala uleee!

Mwisho niseme kama kuna watu unatakiwa uwajengee heshima ni waziri mkuu mstaafu Ed lowassa! Wafuasi wake wengi walikupa kura wewe baada ya mtu wao kukatwa na wakamkomoa JK Leo hii Ed lowassa kawakimbia wanatafuta wakumuunga mkono ndani ya chama au hata nje!

Lakini tuu tathmini yangu niliyoiona rais ana kazi kubwa sana ya kurudisha upendo,umoja na mshikamano kwa watz vinginevyo 2020 akijitokeza mtu na nyota yake JPM atapata wakati mgumu sana!
 
Chukua kadi ya chadema hata wewe mkuu; uchukue nchi asubuhi ya saa nne
 
Anatupeleka kwenye nchi ya ahadi. Sema tu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo ndio maana huoni
 
Iwapo unasimamia ukweli daima utasimama peke yako (Lucky Dube if you stand for the truth you will always stand alone).

Katika jamii ambayo ukisimamia ukweli unahatarisha maisha yako na pengine kuyapoteza basi tusiendelee kuwa waoga tuseme ukweli lakini tukiweka ukweli huo Katika kumbukumbuku za maandishi, sauti, video nk ili kesho ukipotezwa vizazi vijavyo vikuone katika maandiko yako yaliyojaa ukweli tena ukweli wa ukombozi wa kifikra

Tutaogopa nini tena kama shule hazijengwi wala hospitali vinavyojengwa ni magereza ya kuweka wasemaji wa ukweli.

Tuogope nini tena Kama walimu na madaktari hawaajiriwi tena wanaoajiriwa ni washika bunduki.

Tutaogopa nini zaidi kama dawa hazinunuliwi kwenye hospitali zetu kinachonunuliwa ni risasi na bunduki.

Tuogope nini zaidi ya mateso tuliyonayo ya watu kufukuzwa kazi bila utaratibu, watu kutekwa, watu kupigwa risasi hadharani. Tuogope nini zaidi

Tuogope nini zaidi katika mazingira ambayo sheria na katiba haziheshimiwi anaye heshimiwa ni mtu mtu mmoja.

SIMAMIA UKWELI SIMAMA PEKE YAKO USHINDI WETU UPO KARIBU

Mwanahabari Huru

Swali la Kizushi: " WATU WASIOJULIKANA NI WATU KUTOKEA NCHI JIRANI?"
Nukuu ya Marando "Eti wasiojulikana, ukitaka kumjua mwenye mbwa UA mbwa"
 
Huu uzi ni wa mwaka jana ila uko hai zaid leo, mleta mada uko sawa sawia
 
Yani kama ni meli inaenda kuzama. Kama ni Gari inatoka nje ya njia. Kama ni ndege imepoteza muelekeo.
 
Mmh ungeandika vizuri sema una stress
Hata hivyo ujumbe umefika, maana hii kitu haikawii kufika
tapatalk_1507481669507.jpeg
 
Mimi kila nikisikia anayofanya huyu jamaa,kwa kweli moyo unaniuma sana

Huyu anaharibu uchumi

Anaharibu demokrasia

Anaharibu kila kitu,huyu mtu ni kama kiwavi jeshi ndani ya shamba Tanzania
Wenziyo jana waliandamana kule Pretoria!Vipi,ulijumuika nao,au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom