Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Jaribu kumuuliza makonda atakwambia ...............................
 
Duh, haya teua wewe na tengua wewe kama hutaki magufuli afanye hivyo.
Wewe shoga nimekwambia onesha nilipopinga bado hujaonesha sasa unataka kufirwa au unataka nn mbwa weee
 
Hivi zinapotolewa pesa zote za mashirika ya umma kwenye mabenki zinapelekwa BTO tu zibaki kutumika tu badala ya kuwepo kwenye mzunguko zizalishane ndio Uchumi huo?

Yaani akija mchina apewe tenda ya kujenga barabara ndio inakua kama dirisha la pesa hizo kutoka BOT? Zingebaki kwenye mabenki ya kawaida watanzania wakakopa wazifanyie biashara kuna tatizo gani?

Hivi ukianzisha biashara dukani kwako ukakosa uaminifu kwa wafanyakazi wako wote,yaani kila mwezi ukawa unafukuza wafanyakazi wako tu unafikiri biashara yako itafika mahali? Yaani ukikaa mwenyewe ndio unahisi biashara yako inakwenda? Je,siku ukisafiri hao uliokosa nao imani hawatakuibia?

Tanzania yangu mpya hahaaa!!!
 
Hata wastaafu hawapewi viinua Mgongo vyao.

Hizi ni tabia za kishamba sana

Sasa MTU keshatumika tayari haki yake pia kupewa ni mbinde.

Hivi huyu Mzee mbona anakuwa hivi aiseh!!!!
 
Mbona mnapenda kuongea uwongo tu kila siku inawasaidia nini huo uwongo wenu?

Umeenda kukopa Benk ukanyimwa,hao wastaafu wananyimwa ni wakina nani?
 
Mbona mnapenda kuongea uwongo tu kila siku inawasaidia nini huo uwongo wenu?

Umeenda kukopa Benk ukanyimwa,hao wastaafu wananyimwa ni wakina nani?
Benki niliyokuwa naenda kukopa kila mara sasa hibi hawawezi tena kunipatia mkopo huo... Na biashara yangu sasa hivi haijatengemaa kama ya kipindi kilichopita, i believe it has something to do with this regime
 
Mbona mnapenda kuongea uwongo tu kila siku inawasaidia nini huo uwongo wenu?

Umeenda kukopa Benk ukanyimwa,hao wastaafu wananyimwa ni wakina nani?
Wewe ni mstaafu???kwaakili hii hata ukiambiwa tangia huyu jamaa aingie madarakani hakujawahi kuwa na increment utakuja hapa kusema hao wafanyakazi ambao hawajawahi kuwa na increment ni kina nani
 
Thread INA bahati kweli....tangu nianze kuiona......ni miezi mingi sana.

Na aliye ianzishe labada ni mchawi.....aliona ya mbele ,,,,,,na kila siku thread. Inaonekana Mpya.. Hongera sana.
 
Wewe ni mstaafu???kwaakili hii hata ukiambiwa tangia huyu jamaa aingie madarakani hakujawahi kuwa na increment utakuja hapa kusema hao wafanyakazi ambao hawajawahi kuwa na increment ni kina nani
Tuambie hao wastaafu ambao hawalipwi ni wakina nani? Tuache uwongo kila kukicha.
 
Benki niliyokuwa naenda kukopa kila mara sasa hibi hawawezi tena kunipatia mkopo huo... Na biashara yangu sasa hivi haijatengemaa kama ya kipindi kilichopita, i believe it has something to do with this regime
Siyo kweli na hata maandishi yako tu yanaonyesha.Mikopo neno ipo kama kawaida wewe timiza masharti yao tu na siyo kama zamani mnaowapa 10% kwa sasa unaanzia wapi?

Biashara yako usipoendesha kibiashara utaifunga tu hilo liko wazi hakuna pesa ya kuchezea awamu hii kama mlivyomchezea JK
 
Thread INA bahati kweli....tangu nianze kuiona......ni miezi mingi sana.

Na aliye ianzishe labada ni mchawi.....aliona ya mbele ,,,,,,na kila siku thread. Inaonekana Mpya.. Hongera sana.
Na hukumu ya aliyeanzisha uzi huu ipo mezani kwa magu! alijua huyu mtu anaendeshaje nchi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom