Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Formula ya Mafanikio ya kiuchumi nchi hii ni:

TZ Economic Success = JK Economic Policies + JPM Management

Rudisha Kilimo kwanza.
Kilimo ndo uti wa mgongo wa uchumi wetu na ni njia ya uhakika ya Kulift mamilion kutoka katika umasikini. Tukihimiza viwanda kabla ya kuinua pato la mwananchi, Viwanda vingi viyakuwa vya investors na wananchi wataishia kuwa vibarua viwandani badala ya kuwa na capacity ya kuvimiliki.

Rudisha BRN
BRN ni vision, ni namna ya kuanzisha, kusimamia na kuendesha miradi kisomi na kitaalam zaidi. BRN chini ya Presidential Delivery Bureau ilisaidia katika miradi ambayo ni Landmark katika utawala wa JK, miradi kama ya umeme ilikuwa inasimamiwa chini ya BRN na ilikuwa inakwenda vizuri ( I hope bado inaenda vizuri). Kuondoa BRN ni kurudi ktk utaratibu wa zamani wa kufanya business ambao tumeshaona toka enzi za JKN, AHM, BWM kuwa siyo Optimal. Ofcourse matatizo ya BRN lazima yalikuwepo ilipaswa kuyatatua

Peleka Pesa za Serikali kwenye Mabenki ya biashara

Mabenki ni wadau wa maendeleo, wakiyumba na watu wanayumba, Serikali inao wajibu wa kuyasaidia mabenki yawe stable, kwa wenzetu wamarekani wao walikuwa wanayabail out, Sisi kwa kuwa hatuna pesa za kuyapa njia ya kuyabail out ni serikali kuweka pesa zake huko, ila inachoweza kufanya ni kukaa nayo mezani na kunegotiate nayo ili iwepo win-win, kwa mfano mathalan serikali ikitaka kukopa itakopa kwa riba ndogo sana, na pia kwa kuwa serikali imeweka mahela yake mengi huko then pindi Mabenki hayo yakikopesha hizo pesa kwa wadau wengine then serikali ipate percentage fulani nzuri ya faida. Namna hii ni nipe nikupe!. Bila serikali kufanya hivi naamini mabenki yatadorora zaidi.

Wekeza zaidi kwenye Diplomasia ya Kiuchumi.
Pambana kuleta wawekezaji, nenda duniani huko ongea na wawekezaji, tafuta miradi, tafuta masoko ya mazao ya kilimo, tangaza fursa zilizomo nchini, balozi zetu zipimwe kwa investments zinazoletwa nchini

Conclusion
Naamini, sera za kiuchumi za JK na Usimamizi madhubuti wa JPM wa kubana mianya ya rushwa, ufisadi na uzembe vinaweza kutusogeza
Well said
 
Tatizo lililopo ni kwamba sasa hivi Tz tumepata kiongozi mwenye kuishi neno la maendeleo kivitendo na kuwaadhibu wala rushwa. Kama watu wa NCU , shirecu, western cooperative society , aliyekuwa Mkurugenzi ya Benki ya rasilali nk nk , sasa sijui hawa watu ni wa Kanda ''kaskazini'' nk na hao wengine wenye kulala lama kama walikuwa mafisadi ni lazima watafute visingizio vya ukunda badala ya kusema ukweli .
 
Story zingine ata kuzisoma zinachosha. Upendi uwendelee kusoma japo kichwa cha habari kinakuvutia
 
Kama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.

Wapo watu fulani wakubwa tu wenye makampuni yao ambao walikuwa wamekaa kama kamati fulani kujadili namna ya kukabiliana na kile walichokiita changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara. Watu hawa ni wa kabila moja maarufu sana Tanzania linalotoka kanda ya kaskazini. Kiukweli ni maneno ambayo nimeyasikia wakiyaongea tena wanayapa mkazo kwelikweli na mbinu ili kujikwamua.

Jamaa mmoja akasema yeye ni mtu anayeomba tenda mbalimbali za kusambaza vifaa kwenye taasisi za serikali ila amekuwa akipata changamoto ya kunyimwa tenda lakini akakiri wazi kuwa kabla ya utawala wa awamu ya tano mambo hayakuwa hivi! Huyo akadiriki kusema kuwa aliamua kuanza mchakato wa kubadili jina lake la ukoo kwenye documents anazoombea tenda ili tu asikatwe kwa kigezo hicho. Anakiri wazi kuwa walau hilo limeanza kumpa uhai. Naomba ninukuu baadhi ya maneno aliyosema "Siwezi kutumia tena jina la TARIMO kwenye kuomba zabuni. Limekuwa likiwa kikwazo kwangu! Hata wanangu wote nimewaambia wabadili jina lao la ukoo kwenye mambo yao ya shule! Wasitumie kabisaa jina hilo" Mzee huyo kweli akawa anasisitiza hivyo.

Katika maongezi yao kumbe kuna mama mmoja mfanya biashara ambaye alishauriwa asiweke jina lake la asili kwenye makabrasha yake ya kuomba tenda ya mabilioni ya fedha kwenye moja ya mashirika ya serikali. Nadhani aliyemshauri ni mmoja kati ya wazee waliokuwa wakijadiliana katika mjadala huu. Mara lile jina lake likaanza kujadiliwa. Nadhani hili jina linaweza kuwa linatokea Maeneo ya Wilaya ya Moshi. Lakini katika mjadala wao wakagundua kuwa jina hili halifahamiki sana kama jina la kikabila. Mara nikaona mzee mmoja akinyanyua simu na kumpigia yule mama na katika maongezi yake akamuambia "Kwenye documents usiweke jina la ukoo la mume wako! Hilo linajulikana, tumia jina la upande wa baba yako ambalo linaonekana siyo maarufu kulitambua" Kwakweli nimeacha mjadala ukiwa hot sana na inaonekana hili kabila limeanza kukutana na adha kubwakubwa za hapa na pale katika miangaiko yao ya kutafuta riziki.

Pamoja na hayo nalisifu kwa kung'amua hilo na kuanza kutafuta mbinu za kukabiliana na hili jambo.

Hayo ndiyo niliyokutana nayo kijiweni moja ya maficho maalum ya wazee maalum ambapo nilibahatika kuingia hapo baada ya kuwa nimempeleka boss fulani kumkutanisha na mtu ila huu mjadala umechukua muda mrefu nawanajadili kwa umakini na wanaweka uthibitisho! Wengine wanasema kuwa wanapigiwa simu kutoka huko juu na watu wanaowapenda na wamekuwa wakiwapa huo ushauri wa kuondoa kabisa majina ya koo zao au kuyaandika kwa herufi moja tu pale wanapotaka kuomba zabuni mbalimbali.

Hapa ni kazi kwa kazi.Tafuta mbinu ya kupata kazi!
Unajua kweli kutunga hadithi. Ni vema ukahamie kwenye sector ya utunzi wa vitabu.
 
Inawezekana anachosema jamaa ni kweli...coz nimeyasikia hayo malalamiko kwa watu kadhaa hivi
 
Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
Hilo ndiyo lilikuwa jibu la wakati ule. "Sisi tumesoma zamani! " Kwetu elimu iliingia zamani sana! nk. Tukavumiliana kwamba huenda ni kweli. Lakini awamu hìi imeonekana kumbe kuna Prof. Mpanduji, Prof. Mwalwisi nk. Kama tulivumiliana wakati ule tuendelee na moyo huo huo hadi ukamilifu wa dahari.
 
Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
Usidhani kwa kuongea hivyo wewe umepona la hasha. Akiwamaliza hao atakuja kwenu!! Ni suala la wananchi kuamua kushikana, ni bora watu elfu 10 wafe, ili milioni 50 wapone!!
 
Sasa unadhani mimi naweza kupoteza muda kutunga story? Nilitamani kujua wanawezaje kufanya hivyo kirahisi kwani naelewa ni vigumu kujificha na hata kubadili jina la kampuni ambalo umelitengeneza. Ila nikagundua pia kuwa kama wanapigiwa hadi simu na wasaidizi wa mkuu, huenda yeye ndiyo hasa mkuu anaangalia jina la mkurugenzi linafananaje! Labda hiyo ya kubadili majina au kuweka initials haijalishi kama kampuni inajulikana au vipi ila ni vigumu mkuu kuzielewa kampuni zote ila akishaona tu mkurugenzi wake ni fulani kutokana na jina basi palepale anakata! Lazima tukiri kuwa mkuu ameasisi hilo la kuangalia kazi kikabila na data zipo! Kina Lissu walilisemea! Sasa unaweza kupunguza makali kwa kutokutumia hilo jina. Unafanya hivyo ili kujiweka walau kwenye eneo ambalo hutakatwa mwanzoni kutokana na jina! Hilo walau utaliepuka ingawa huna uhakika.

Kuhusu mambo ya zabuni kwa kufuata taratibu siku hizi hayapo tena!

Umesema kama yatahitajika, je unaweza kusubiri na njaa kali leo ili ujipe matumaini pengine ya kushiba kesho wakati hujui hiyo kesho itakuwaje? Epuka hilo kama njia zipo.

Nimekutana na huu mjadala na watu walikuwa wanaongea wakimaanisha!
Tarimo....ficha ujinga wako.
 
Kuna vijana wengi wanataka kuwa ‘masiya wa kisiasa’ wa Tanzania. Yaani wanataka kuikwamua Tanzania kutoka kwenye matatizo yake ya muda mrefu.

Ili vijana hawa wasifanye makosa, ni vizuri wakajua kwamba, utawala wa ‘masiya wa kisiasa’ wa Tanzania utakua na tabia zifuatazo:


1) Haki itashamiri. Watu wote wa makabila yote na dini zote watashamiri.


2) Cylinder zote za engine ya kiuchumi zitafanya kazi vizuri. Kilimo, misitu, mazingira, uvuvi, utalii, mifugo, biashara, viwanda, madini, nishati, gesi na mafuta etc.


3) Watanzania wengi sana watakua na elimu nzuri ya msingi, zaidi ya nusu ya watanzania watakua na elimu nzuri ya form six na atalirudisha darasa la nane.


4) Mikoa yote na makundi yote yatapiga hatua nzuri za kimaendeleo na kimaisha. Hatachukia jamii yoyote, mkoa wowote au dini yoyote.


5) Atajenga miundo mbinu yenye tija na isio na gharama kubwa sana. Runways za viwanja vya kimataifa vya ndege zitakua between 4 kms and 5 kms. Atajenga barabara ya kiwango cha lami itakayo unganisha Karatu na Mwadui moja kwa moja kupitia kaskazini mwa ziwa Eyasi. Atajenga barabara ya kiwango cha lami itakayo unganisha Lindi na Morogoro moja kwa moja kupitia Mbuga ya Selous. Atajenga kiwanja cha ndege karibia na Songosongo ili kikuze utalii wa Selous na uwekezaji kwenye gesi. Atajenga bandari Rukwa kwenye mwambao wa ziwa Tanganyika. Atarefusha runway ya airport ya Arusha.


6) Atatetea ustawi wa Tanzania kwenye nyanja za kimataifa na atakua na mahusiano mazuri na majirani wema wa Tanzania.


7) Ataiondoa Tanzania kutoka kwenye mahusiano tegemezi ya kisiasa na kiuchumi. Atatetea national sovereignty and self-determination na ataiondoa Tanzania kutoka kwenye makucha ya madeni ya nje hususan madeni ya kibiashara yenye riba kubwa.


8) Atachukia na kupiga vita corruption na ata promote good governance, human rights na ataheshimu legitimate private property rights. Ataheshimu pia tax payers’ and community property rights (matumizi mazuri ya kodi na rasilimali za jamii).


Ataweka katiba ambayo Rais hatakua na uwezo wa kulivunja bunge kabla ya uhai wa miaka mitano ya bunge kuisha. Bunge nalo halitakua na uwezo wa kumfukuza Rais. Ikitokea mvutano kati ya hao wawili basi popular referendum ya wananchi itaamua yupi aachie ngazi. Na atakae baki atatawala mpaka hio miaka yake mitano iishe. Ataheshimu uhuru wa mahakama. Ataheshimu na kuimarisha na kuboresha decentralisation na serikali za mitaa.


9) Atambue kuna mizunguko mikuu na mabadiliko makuu ya majira na nyakati ambayo huwa yanatokea kwenye universe, hapa duniani na Tanzania. Utawala wa Mjerumani pamoja na Muingereza ulikua miaka 70 (pale Tanganyika ilipokua official colony la mjerumani, pale serikali ya ujerumani ilipo take over from German East African company hadi Tanganyika ilipopata uhuru kutoka kwa muingereza).


Concept ya miaka 70 utaiona kwenye kitabu cha Jeremia ambapo mataifa ya wakati ule yalitakiwa kutumikia ufalme wa Babeli wa wakati ule kwa miaka 70. Miaka ya late 1950s na early 1960s winds of change zilivuma zilizopelekea kupatikana kwa uhuru wanchi nyingi za afrika. Vile vile miaka sabini baada ya uhuru inaishia 2031. Sasa sijui waafrika watarudishwa kwenye ukoloni na utumwa au watapungua sana au sijui labda watastawi zaidi na kuwa na uhuru zaidi. Au labda kundi jipya la utawala ambalo halijawahi kutawala litaingia madarakani nchini Tanzania kutoka ndani au nje ya existing political power structure.


Miaka 2000 baada ya Stephen kupigwa mawe inaishia around 2035, hii itatimiza miaka 2000 ya injili kwenda kwa mataifa na kanisa kuwa mtunzaji mkuu wa injili. From Adam hadi Abraham (around 2000 years) patriachs ndio walikua watunzaji wa tumaini la injili. From Abraham hadi Yesu (around 2000 years) Abraham, Isaac, Jacob na uzao wao (Taifa la Israel la wakati ule) ndio walikua custodian wa tumaini la injili. So huenda kuna mabadiliko ya majira na nyakati (a change in times and seasons) yatatokea mitaa ya miaka ya 2030-2040. Wakati huo dunia itakua na miaka around 6034-6044. Dunia itakua iko extra time kwa miaka 34-44 baada ya kumaliza miaka 6000 ya uwepo wake. Uwezekano upo wa extra time kuendelea mpaka 6666.


Asante
 
Umuhimu wa Tanzania strategically:

1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan ya kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto Nile yanategemea ziwa hilo. Pia Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania.

2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya kiislamu kwasababu ni nchi yenye waislamu wengi kuliko nchi yeyote Africa kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni waislamu.

3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.

4) Ni nchi muhimu kwa walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya kiprotestanti TZ.

5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.

6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, China, India, UK, Japan, Germany.

7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.

8) TZ ni muhimu kwa wa TZ wenyewe since ni nyumbani kwao.

9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.

10) Since TZ kuna wanadamu, huenda TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu wa Israel. So huenda TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kisiri siri ya kiroho baina ya Bwana Yesu na shetani.
 
Siri ya mafanikio ya Wachagga ni neema na rehema ya Bwana Yesu Kristo. Bwana Yesu ndie amekua akiwasaidia kwa muda mrefu. Hata ule uamuzi wa mababu zao kusettle kwenye mlima Kilimanjaro ilikua ni msaada wa Bwana Yesu. Bwana Yesu ndie aliwalinda wasiwe katikati ya njia kuu za misafara ya utumwa. Aliwasaidia wawakubali wamissionari wakikristo. Aliwalinda wasinyang'anywe ardhi yao kipindi cha ukoloni. Aliwalinda na anawalinda dhidi ya fitina za kisiasa baada ya uhuru.
Ni muhimu sana kwa Wachagga kuijua injili ya kweli kabisa (bila kujali madhehebu yao) hata kama kwenye maisha yao halisi watakua hawaifuati kikamilifu.

1) Yesu Kristo kwa kiebrania ni Yahushua Mashiah. Yahushua maana yake ni YAHWEH is Salvation. YAHWEH ni Mungu wa Abraham, Isaac na Jacob.

2) Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.

3) Siku takatifu ya kikweli kweli kabisa inaanza Ijumaa jioni (jua linapozama) na inaisha Jumamosi jioni (jua linapozama) (Seventh day Sabbath). Avoid kufanya dhambi muda huu (of course tunatakiwa tu avoid kufanya dhambi muda wote).

4) Waafrika weusi (including Wachagga) ni watoto wa Noah kupitia Ham kupitia Mizraim, Cush and Phut.

5) Ni vizuri watu wote (including Wachagga) wa avoid pride, arrogance, malice, hatred and envy.

Mafanikio ya kidunia yatatokana na:

1) Ku successfully participate in the major means of production, distribution and exchange in the economy in an atmosphere of low inequality.

2) Ku successfully participate in the neo-liberal global economy.

3) Kushirikiana vizuri na watu wengine, na kuavoid mahusiano yanayoleta hasara.

4) Majority ya Wachagga wajitahidi kupata elimu ya form 6 na kuendelea.

5) Kuishi a healthy lifestyle (including exercising), itakayowawezesha kuishi kwa muda mrefu huku wakiwa na afya njema kabisa.

Bwana Yesu Kristo anapenda mataifa yote yawe na nuru ya injili ya kweli. Anapenda kuwa na wafuasi kwenye mahema yote ya Shem, Ham na Japheth.

Ni vizuri watanzania waishi vizuri na kushirikiana vizuri na Wachagga (hususan Wachagga waadilifu) katika nyanja mbali mbali kama ambavyo wamekua wakifanya kwa muda mrefu. Ukiona Mchagga muadilifu ana mafanikio ujue sio kwa msuli au akili yake bali kwa neema ya Bwana Yesu Kristo. Kwa hiyo njia bora ya watanzania kufanikiwa ni neema ya Bwana Yesu Kristo.

Asante
 
Hata ajira za mwez december mbona zligonga kanda flan haswaaa, kina sie tulichomekwa kwa kuziba nyufa.. Refer majina
 
Wachagga ni wachapa kazi kabla hata ya wazungu na waarabu kuja.
Ni kweli hali ya kiuchumi ya wachagga kwa sasa sio nzuri. Hali hii mbaya ilianza baada ya vita vya Uganda, ilizidishwa na economic crisis ya miaka ya mwanzo ya 1980s. Wimbi la privatisation na kurekebisha mashirika ya umma liliwaumiza pia, kwani wafanyakazi wengi wachagga walipunguzwa kazini. Kuporomoka kwa bei ya kahawa miaka ya 1980s. Gonjwa la ukimwi liliwaumiza sana wachagga pia. Muamko wa kimaisha wa mikoa mingi ya Tanzania vile vile imetoa ushindani wa kiuchumi kwa wachagga. kumbuka ni haki, kwa mikoa yote kuamka kimaisha.

Baada ya uchaguzi mkuu wa 1995 wachagga wengi waliondolewa kwenye system ya ndani, ingawa civil servants wachagga bado walikuweko.

Matatizo ya kiuchumi ya sasa ya nchi yalianza baada 2010. Baada ya 2010 serikali ndio once again ikaanza kukopa madeni ya nje kwa riba za kibiashara, hususan baada ya wafadhili kupunguza misaada kwasababu ya scandals zilizotokea wakati huo.

Kwa sasa familia nyingi za wachagga zimeyumba kiuchumi, ingawa wachagga wengi bado wanaweza kuafford vitu vya msingi. Bottom 1/3 wameyumba sana, 1/3 inayofuata wameyumba wastani. 1/3 ya juu wameyumba kidogo. Theluthi ya hiyo 1/3 ya juu, yaani 1/9 top economic group ya wachagga ndio bado wako vizuri. Wachagga vijana wasio na ajira, wachagga wenye ajira zenye mishahara midogo, wachagga wenye ardhi kidogo ya kilimo, wachagga wenye biashara ambazo hazipati faida, pamoja na wachagga wazee wengi wao wameyumba pia. Wachagga ambao wako vizuri ni wale wenye ajira nzuri zenye mishahara mizuri, wenye biashara ambazo bado zinapata faida, wenye ardhi kubwa ya kilimo, na shughuli nyingine ambazo zinaenda vizuri. Familia zilizoyumba kiuchumi mara nyingi huwa zinakuwa na mivutano ya ndani kwa ndani.

Uzi huu unawatia moyo wachagga wakumbuke nguvu yao ya mafanikio inatoka wapi. Na huenda original plan ya Mungu wa Israel ilikua Tanzania iongozwe na wachagga waadilifu tokea uhuru. Ila aliruhusu mambo yawe yalivyokuwa ili wachagga watakapo ongoza nchi makabila mengine yasinung'unike. Na vile vile watakapo ongoza nchi (au wasipo ongoza nchi) waishi kwa kumtegemea Mungu. Kwahiyo ni vizuri watu wakajua kwamba kuwasambaratisha wachagga waadilifu kunaweza kusimfurahishe Mungu wa Israel. Wachagga wawe na subira kwani kipindi cha miaka 70 baada ya uhuru kikija (mwaka 2031) basi hali ya wachagga inaweza ikaanza kua nzuri sana kwa kipindi kirefu. Kuna uwezekano pia hali hiyo isi improve. Pia kuna uwezekano baada ya 2031 akaja Rais mprotestanti atakaependa wachagga, kuna uwezekano hili lisitokee pia.

Pamoja na maelezo hayo marefu kuna wachagga wengi ambao Bwana Yesu anawapigania na kuwasaidia wafanikiwe kimaisha hata kwenye vipindi vigumu. Bwana Yesu pia anagusa mioyo ya watu wa makabila mengine na kuwafanya washirikiane vizuri na wachagga waadilifu. Also indeed ukiweza kuangalia mioyo ya watanzania waadilifu utaona wengi wao kisiri siri wana amini akipatikana Rais mchagga muadilifu, mchapa kazi, mwenye exposure, mwenye akili na ubunifu, nchi itapiga hatua kubwa sana kimaisha na kimaendeleo.

NB: Matatizo mengi yaliyo tajwa hapo juu yamewapata pia watanzania wengine. Also Bwana Yesu anawapenda watu wote.
 
Alternative story ya kukatwa kwa Edo.

30/12/2005 – JK alimteua Edo (mlutheri) kuwa waziri mkuu. This was nothing new as Fredrick (mlutheri) alishakuwa PM for 10 years. JK alitaka Edo (mprotestanti) awe mrithi wake wa urais. JK alidhamiria hivyo huku akijua kwamba system ya TZ huwa haipendi kua na rais mprotestanti.
26/6/2006 - JK aliteua secretariat mpya ya CCM ikiwa na waislamu watupu na waprotestanti wawili au mmoja (kuna uwezekano hakuwepo mkatoliki kabisa).

Ingawa JK alikua amesoma seminari ya kikatoliliki inaelekea kisirisiri alikua ameamua kuwa independent na kanisa hilo. System ya kikatoliki ikaanza kumtikisa JK kwa kuvujisha siri (za ufisadi) Chadema.

16/1/2007 – Jakaya alimtembelea Tony UK. Baadhi ya Waingereza huwa wanaogopa TZ kuwa na rais mlutheri, as wanadhani rais mlutheri atakua karibu na wajerumani kuliko waingereza. Rais huyo anaweza kuwapa Wajerumani sehemu ya Gesi na dhahabu ya TZ. Kumbuka kwamba anglo-saxons wa UK, USA, Canada na Australia ndio wanao enjoy sehemu kubwa ya rasilimali za TZ.

19/10/2007 - Jakaya alimtembelea Benedict Vatican.

Baada ya hii ziara JK akasalimu amri kwa kanisa katoliki. Akaamua kwamba akirudi atamtosa Edo na baada yake atakabidhi kiti kwa rais mkatoliki. Candidate wake alikua Bernard. Ila majesuit wa TZ hawakumtaka Bernard kwasababu ya udhaifu aliouonyesha kwenye issue ya OIC.

13/11/2007 – Kamati teule ya Bunge ya Richmond ikaundwa.

7/2/2008 – Edo akajiuzulu. Mizengo (mkatoliki) akateuliwa. Mizengo alikua kabila mmoja na Polycarp.

July 2015 jina la Edo likakatwa CCM. This was just a formality maamuzi yalishachukuliwa zamani na wakuu wa dunia.

Majesuit wa Julius na Laurian (kupitia mwana wao mpotevu Ben) wakawazidi hoja majesuit wa Polycarp na Mizengo. John akachaguliwa kupeperusha bendera ya CCM. Majesuit wa Polycarp na Laurian wakaona waungane na kuliweka kanisa mbele so kwa pamoja wakamsupport John. Wilbrod nae akaona asipingane na marafiki zake majesuits, so akaikimbia chadema.

Edo akaenda chadema pamoja na Frederick. Wajerumani wakaona waendelee kumsapoti rafiki yao Edo huko chadema. Waingereza hawa kumwamini Edo, so mafreemason wakawa neutral. Baadhi ya maaskofu wachache wakikatoliki waliendelea ku msupport Edo kwenye uchaguzi mkuu. Maaskofu wengi wa kiprotestanti walimsupport Edo. Mashehe walikua wamegawanyika katikati.

So shughuli ile ya uchaguzi wa 2015 ilikua ngumu.
 
I dont think so....tunaandika mambo kwa nia zetu mbalimbali. Kubadili jina ndio utapata tender hata kama huna uwezo nayo? Taasisi za serikali toka lini wanagawa tender kwa kuangalia majina?
 
Hii naweza kukiri kwa kiasi fulani, ndugu yangu yupo serikalini nafasi kubwa tu, juzi apa alinipigia simu na kuniuliza kama natumia jina la ukoo kwenye vyeti vyangu, nikamwambia hapana, akasema nijitaid nisilitumie kabisa ilo jina kwa njia yoyote ile, na pia niwakumbushe na wenzangu, ata kwenye uteuzi, na nafasi nyingine zozote za serikali kanda ya kaskazini tunabaguliwa sana
 
Kama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.

Wapo watu fulani wakubwa tu wenye makampuni yao ambao walikuwa wamekaa kama kamati fulani kujadili namna ya kukabiliana na kile walichokiita changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara. Watu hawa ni wa kabila moja maarufu sana Tanzania linalotoka kanda ya kaskazini. Kiukweli ni maneno ambayo nimeyasikia wakiyaongea tena wanayapa mkazo kwelikweli na mbinu ili kujikwamua.

Jamaa mmoja akasema yeye ni mtu anayeomba tenda mbalimbali za kusambaza vifaa kwenye taasisi za serikali ila amekuwa akipata changamoto ya kunyimwa tenda lakini akakiri wazi kuwa kabla ya utawala wa awamu ya tano mambo hayakuwa hivi! Huyo akadiriki kusema kuwa aliamua kuanza mchakato wa kubadili jina lake la ukoo kwenye documents anazoombea tenda ili tu asikatwe kwa kigezo hicho. Anakiri wazi kuwa walau hilo limeanza kumpa uhai. Naomba ninukuu baadhi ya maneno aliyosema "Siwezi kutumia tena jina la TARIMO kwenye kuomba zabuni. Limekuwa likiwa kikwazo kwangu! Hata wanangu wote nimewaambia wabadili jina lao la ukoo kwenye mambo yao ya shule! Wasitumie kabisaa jina hilo" Mzee huyo kweli akawa anasisitiza hivyo.

Katika maongezi yao kumbe kuna mama mmoja mfanya biashara ambaye alishauriwa asiweke jina lake la asili kwenye makabrasha yake ya kuomba tenda ya mabilioni ya fedha kwenye moja ya mashirika ya serikali. Nadhani aliyemshauri ni mmoja kati ya wazee waliokuwa wakijadiliana katika mjadala huu. Mara lile jina lake likaanza kujadiliwa. Nadhani hili jina linaweza kuwa linatokea Maeneo ya Wilaya ya Moshi. Lakini katika mjadala wao wakagundua kuwa jina hili halifahamiki sana kama jina la kikabila. Mara nikaona mzee mmoja akinyanyua simu na kumpigia yule mama na katika maongezi yake akamuambia "Kwenye documents usiweke jina la ukoo la mume wako! Hilo linajulikana, tumia jina la upande wa baba yako ambalo linaonekana siyo maarufu kulitambua" Kwakweli nimeacha mjadala ukiwa hot sana na inaonekana hili kabila limeanza kukutana na adha kubwakubwa za hapa na pale katika miangaiko yao ya kutafuta riziki.

Pamoja na hayo nalisifu kwa kung'amua hilo na kuanza kutafuta mbinu za kukabiliana na hili jambo.

Hayo ndiyo niliyokutana nayo kijiweni moja ya maficho maalum ya wazee maalum ambapo nilibahatika kuingia hapo baada ya kuwa nimempeleka boss fulani kumkutanisha na mtu ila huu mjadala umechukua muda mrefu nawanajadili kwa umakini na wanaweka uthibitisho! Wengine wanasema kuwa wanapigiwa simu kutoka huko juu na watu wanaowapenda na wamekuwa wakiwapa huo ushauri wa kuondoa kabisa majina ya koo zao au kuyaandika kwa herufi moja tu pale wanapotaka kuomba zabuni mbalimbali.

Hapa ni kazi kwa kazi.Tafuta mbinu ya kupata kazi!
Nilihitaji chumba cha biashara hapo Moshi Mjini lakini tatizo ni jina nililotumia kuombea hicho chumba cha biashara siyo la Kaskazini nikakosa hicho chumba,sasa nimeamua kubumba jina naitwa Urio ili niweze kupata chumba cha biashara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom