Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.

Wapo watu fulani wakubwa tu wenye makampuni yao ambao walikuwa wamekaa kama kamati fulani kujadili namna ya kukabiliana na kile walichokiita changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara. Watu hawa ni wa kabila moja maarufu sana Tanzania linalotoka kanda ya kaskazini. Kiukweli ni maneno ambayo nimeyasikia wakiyaongea tena wanayapa mkazo kwelikweli na mbinu ili kujikwamua.

Jamaa mmoja akasema yeye ni mtu anayeomba tenda mbalimbali za kusambaza vifaa kwenye taasisi za serikali ila amekuwa akipata changamoto ya kunyimwa tenda lakini akakiri wazi kuwa kabla ya utawala wa awamu ya tano mambo hayakuwa hivi! Huyo akadiriki kusema kuwa aliamua kuanza mchakato wa kubadili jina lake la ukoo kwenye documents anazoombea tenda ili tu asikatwe kwa kigezo hicho. Anakiri wazi kuwa walau hilo limeanza kumpa uhai. Naomba ninukuu baadhi ya maneno aliyosema "Siwezi kutumia tena jina la TARIMO kwenye kuomba zabuni. Limekuwa likiwa kikwazo kwangu! Hata wanangu wote nimewaambia wabadili jina lao la ukoo kwenye mambo yao ya shule! Wasitumie kabisaa jina hilo" Mzee huyo kweli akawa anasisitiza hivyo.

Katika maongezi yao kumbe kuna mama mmoja mfanya biashara ambaye alishauriwa asiweke jina lake la asili kwenye makabrasha yake ya kuomba tenda ya mabilioni ya fedha kwenye moja ya mashirika ya serikali. Nadhani aliyemshauri ni mmoja kati ya wazee waliokuwa wakijadiliana katika mjadala huu. Mara lile jina lake likaanza kujadiliwa. Nadhani hili jina linaweza kuwa linatokea Maeneo ya Wilaya ya Moshi. Lakini katika mjadala wao wakagundua kuwa jina hili halifahamiki sana kama jina la kikabila. Mara nikaona mzee mmoja akinyanyua simu na kumpigia yule mama na katika maongezi yake akamuambia "Kwenye documents usiweke jina la ukoo la mume wako! Hilo linajulikana, tumia jina la upande wa baba yako ambalo linaonekana siyo maarufu kulitambua" Kwakweli nimeacha mjadala ukiwa hot sana na inaonekana hili kabila limeanza kukutana na adha kubwakubwa za hapa na pale katika miangaiko yao ya kutafuta riziki.

Pamoja na hayo nalisifu kwa kung'amua hilo na kuanza kutafuta mbinu za kukabiliana na hili jambo.

Hayo ndiyo niliyokutana nayo kijiweni moja ya maficho maalum ya wazee maalum ambapo nilibahatika kuingia hapo baada ya kuwa nimempeleka boss fulani kumkutanisha na mtu ila huu mjadala umechukua muda mrefu nawanajadili kwa umakini na wanaweka uthibitisho! Wengine wanasema kuwa wanapigiwa simu kutoka huko juu na watu wanaowapenda na wamekuwa wakiwapa huo ushauri wa kuondoa kabisa majina ya koo zao au kuyaandika kwa herufi moja tu pale wanapotaka kuomba zabuni mbalimbali.

Hapa ni kazi kwa kazi.Tafuta mbinu ya kupata kazi!
Kaombeni tenda CRDB bank ya kabila lenu.
 
Lengo la kuweka haya kwenye uzi huu ni kutoa perspective nzuri. Wachagga hawajawahi kuwa in power, in Tanzania. Kwahiyo hawaja wahi kuwa na zamu yao ya 'kutesa'. Na wala wakiingia in power hawana mpango wa 'kutesa'. Tawala zote za TZ zimewafungia spidi gavana maendeleo yao kwa hoja kwamba wakati wa uhuru walikuwa wameendelea sana. Ukweli ni kwamba walikua na maendeleo ya kawaida, ila kwasababu nchi ilikua maskini basi wakaonekana wameendelea.

Wachagga hawawezi kudominate Tanzania kwasababu sio wengi. Tuwa support wachagga waadilifu. Ni vizuri tuka kumbuka kuwa Tanzania (na Dunia yote) ni mali ya Mungu wa Israel, so tujitahidi kufanya mambo kama anavyotaka yeye. Kila mamlaka duniani zinakua na majira na nyakati zake. So kila mamlaka ijitahidi kutenda haki.

Hizi stori za huu uzi zinasikika kwenye mazungumzo. Despite ya hizi stori bado kuna wachagga wachache ambao wana mahusiano mazuri na utawala wa sasa.
 
Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
sikio haliwez zidi kichwa
 
NILICHOGUNDUA, WANAOLALAMIKA SUALA LA UKABILA WENG WAO NI WACHAGA, NA HII INATOKANA NA HULKA YA UKABILA WALIYONAYO WACHAGA. SASA MMEKUTANA NA MPINGI UNAWADHIBITI KIDOGO MNALIALIA.

ZAMANI ILIKUWA BILA MAJINA YA MUSHI, TARIMO, TEMBA, MBOYA, MBOWE, N.K ILIKUWA NGUMU KUPEWA FURSA. TENA UKIENDA KWENYE INTERVIEW WANAANGALIA SURNAME, PANEL NZIMA IMEJAA WENYE MENO YALIYOOZA. WAKIONA HUJATUMIA SURNAME WANAKUULIZA UNATOKEA WAPI.. UKISEMA MTWARA HUKO, BS HIYO KAZI HUPATI.

WASUKUMA SYO WAKABILA KIHVYO.

TANZANIA MAKABILA YENYE TABIA YA UKABILA NA UBAGUZ WA KABILA YANAJULIKANA MIAKA NENDA RUDI

1. WACHAGA
2. WAHAYA
3. WANYAKYUSA

OFISI IKIWA NA BOSS WA MOJA KATI YA MAKABILA HAYO MATATU, BAS NDANI MUDA MFUPI TU HYO OFIS ITATAMALAKI KABILA MOJA NA LUGHA YA KIKABILA ITATAWALA HUKU WALE WASIO WA KABILA HLO WATATENGWA.

JPM, AWANYOOSHE NA KUWAVURUGA TU ILI KUFUTA UPUUZ WA UKABILA.
Hata wasukuma wana ukabila sana
 
Eros BASI WALA NYAMA MNAJUANA, NDIYO MANA ILISHAURIWA MEMBE AWE MGOMBEA URAIS. KUSINI HAKUNA UKABILA, SERE YA UTAIFA YA NYERERE WALIIELEWA VIZURI.
 
Usidhani kwa kuongea hivyo wewe umepona la hasha. Akiwamaliza hao atakuja kwenu!! Ni suala la wananchi kuamua kushikana, ni bora watu elfu 10 wafe, ili milioni 50 wapone!!
Kwetu tulikua wa kwanza kupondwa pondwa,tulipolalamika tukaambiwa hatuna ilmu,tulichofanya
Hilo ndiyo lilikuwa jibu la wakati ule. "Sisi tumesoma zamani! " Kwetu elimu iliingia zamani sana! nk. Tukavumiliana kwamba huenda ni kweli. Lakini awamu hìi imeonekana kumbe kuna Prof. Mpanduji, Prof. Mwalwisi nk. Kama tulivumiliana wakati ule tuendelee na moyo huo huo hadi ukamilifu wa dahari.
Kibaya zaidi wakifumuliwa wezi 10 TRA au TPA,8 ni wao
 
Boss mkubwa hana imani na wachaga ,si yy tu hata mm sina imani na wachaga wengi ni selfish na wafujaji wa Mali na watu wa magendo
 
Kama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.

Wapo watu fulani wakubwa tu wenye makampuni yao ambao walikuwa wamekaa kama kamati fulani kujadili namna ya kukabiliana na kile walichokiita changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara. Watu hawa ni wa kabila moja maarufu sana Tanzania linalotoka kanda ya kaskazini. Kiukweli ni maneno ambayo nimeyasikia wakiyaongea tena wanayapa mkazo kwelikweli na mbinu ili kujikwamua.

Jamaa mmoja akasema yeye ni mtu anayeomba tenda mbalimbali za kusambaza vifaa kwenye taasisi za serikali ila amekuwa akipata changamoto ya kunyimwa tenda lakini akakiri wazi kuwa kabla ya utawala wa awamu ya tano mambo hayakuwa hivi! Huyo akadiriki kusema kuwa aliamua kuanza mchakato wa kubadili jina lake la ukoo kwenye documents anazoombea tenda ili tu asikatwe kwa kigezo hicho. Anakiri wazi kuwa walau hilo limeanza kumpa uhai. Naomba ninukuu baadhi ya maneno aliyosema "Siwezi kutumia tena jina la TARIMO kwenye kuomba zabuni. Limekuwa likiwa kikwazo kwangu! Hata wanangu wote nimewaambia wabadili jina lao la ukoo kwenye mambo yao ya shule! Wasitumie kabisaa jina hilo" Mzee huyo kweli akawa anasisitiza hivyo.

Katika maongezi yao kumbe kuna mama mmoja mfanya biashara ambaye alishauriwa asiweke jina lake la asili kwenye makabrasha yake ya kuomba tenda ya mabilioni ya fedha kwenye moja ya mashirika ya serikali. Nadhani aliyemshauri ni mmoja kati ya wazee waliokuwa wakijadiliana katika mjadala huu. Mara lile jina lake likaanza kujadiliwa. Nadhani hili jina linaweza kuwa linatokea Maeneo ya Wilaya ya Moshi. Lakini katika mjadala wao wakagundua kuwa jina hili halifahamiki sana kama jina la kikabila. Mara nikaona mzee mmoja akinyanyua simu na kumpigia yule mama na katika maongezi yake akamuambia "Kwenye documents usiweke jina la ukoo la mume wako! Hilo linajulikana, tumia jina la upande wa baba yako ambalo linaonekana siyo maarufu kulitambua" Kwakweli nimeacha mjadala ukiwa hot sana na inaonekana hili kabila limeanza kukutana na adha kubwakubwa za hapa na pale katika miangaiko yao ya kutafuta riziki.

Pamoja na hayo nalisifu kwa kung'amua hilo na kuanza kutafuta mbinu za kukabiliana na hili jambo.

Hayo ndiyo niliyokutana nayo kijiweni moja ya maficho maalum ya wazee maalum ambapo nilibahatika kuingia hapo baada ya kuwa nimempeleka boss fulani kumkutanisha na mtu ila huu mjadala umechukua muda mrefu nawanajadili kwa umakini na wanaweka uthibitisho! Wengine wanasema kuwa wanapigiwa simu kutoka huko juu na watu wanaowapenda na wamekuwa wakiwapa huo ushauri wa kuondoa kabisa majina ya koo zao au kuyaandika kwa herufi moja tu pale wanapotaka kuomba zabuni mbalimbali.

Hapa ni kazi kwa kazi.Tafuta mbinu ya kupata kazi!
Janja janja hamna lazima kelele ziwepo hama namna
 
Walipokuwa peponi hawakuyaona majina yao mabaya. Kuna watu vile vile walilalamika humu kuwa wanabaguliwa kwa majina wakapuuzwa na kutukanwa.

Kama walikuwa wakinufaika kipindi hicho kwa kupata tenda nyingi lakini nchi IPO hapa ilivyo kama mnavyoiona basi hao pia ni sehemu ya uhusika wa ubadhirifu, rushwa na upendeleo tunaoupigia kelele umetuumiza.

Kama kili mmoja wetu alikuwa na kiu ya mabadiliko basi mabadiliko ndio haya yanakuja, mbona sasa mwapiga kelele mwatamani ile hali ya udhaifu iendelee?
 
Ila kiukweli kuna watu waliila sana hii nchi enzi zile za mzee mpole

Haya yanayotokea ni collateral damage maana hata waliokua waadilifu wameguswa
 
Boss mkubwa hana imani na wachaga ,si yy tu hata mm sina imani na wachaga wengi ni selfish na wafujaji wa Mali na watu wa magendo
Taifa hili lina makabila zaidi ya 120 na huwezi kuwasikia wakilialia, ila wachagga ni kama walemavu fulani wa akili, wanahisi nchi hii ni yao kila kitu. Kila siku wao, kudhulumu, wizi, ukabila, ubaguzi, misifa nk. Ukilala wachagga ukiamaka wachagga yaani wamekuwa kero kubwa. Na kwa tabia yao hiyo ipo siku watashindwa kuishi na watu. Hawapendi kukaa kwao Moshi wanazurula sana mikoa ya watu na siku watu wakiwachoka na basi.
- Ngoma ikivuma sana, mwishowe hupasuka
 
Mkuu huu mjadala nimekutana nao na wanatoa shuhuda mbalimbali. Yupo mmoja amesema kuwa aliomba mkopo ila alitakiwa kuthibitishwa na hazina ili benki imkopeshe. Jamaa kasema alinyimwa mkopo kutokana tu na kabila lake. Hii ni baada ya msajili wa hazina kumkataa. Tena ni huyu msajili wa sasa.Alipopeleleza akaambiwa kuwa kabila lake limemponza. Wanajiapiza kwa majina yao ya asili wanayaacha.

Hasemi kweli tu. Siku hizi mikopo ina utaratibu uliounganishwa kila taasisi kubwa za fedha.

Watu wenye credit history chafu au defaulters wote wanajulikana kirahisi. Hawezi kukuambia alikosa mkopo kwa kuwa history inaonesha alikimbia kulipa sehemu Fulani na hilo deni likafutwa. Mtu kama huyo lazima jina lake limponze kwa sababu limeonekana katika orodha ya wakimbia na mikopo na kwa utatatibu huu hatakaa apewe mkopo na taasisi nyingine yeyote, jina lake litamponza kila mara kutokana na kutokuwa muaminifu.

Akifanya forgery kubadili jina mwambie awe makini, abadili jina la mke wake, watoto wake, simu zake, anwani ya anapoishi, na vitu vyote vinavyohusiana na utambulisho wake wa awali pamoja na alama za finger print alizoweka katika riving license yake. Vinginevyo akigundulika kughushi adhabu yake katika penal code ni moja tu, jela miaka saba. Hapo jina lake litakuwa limemponza kweli kweli.

Umetoa tuhuma nzito kwa msajili was hazina kwa maneno ya kusikia kijiweni. Hizi tuhuma umezitoa wewe kwa vile hakuna ushahidi wowote wa were kusikia.

Muda mwingine uwe unafikiri unchoambiwa.Sio tu kwa vile ulichoambiwavkimegusa kionjo cha hisia zako huyoooo unakibeba Jf. Wewe akili zako ziko wapi? Unazitumiaje?
 
¶ Viwanda vyetu mlibinafsisha.
¶ Mashirika yetu mliyaua ninyi.
¶ Nyumba za serikali mliuza wenyewe.
¶ Migodi yetu mmewapa makaburu.
¶ Mafisadi mnawapa hadi uenyekiti wa bunge.

Leo mnakuja na wimbo wa "UZALENDO". Siwaelewi, kama sigara ya nyota. Mbele unavuta, nyuma unavuta.
 
Now a days haki za raia hazifuatwi kivile au ni kama zinaelekea kufutwa. Haki hizo ni pamoja na:uhuru wa kuongea,uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa mikutano ya hadhara. Sasa je tunakoelekea ni wapi kama hatutasema mabaya yanayofanywa na serikali? Je nini maana ya maendeleo? Au ni kwasababu tu watu wameshika dola kwahiyo wao ndio kila kitu?
 
Yule mama anaitwa bi helen kijo, nadhani ndio anajua zaidi, fanya kumsikiliza video zake zimejaa youtube, hawa wengine watakupa blaa blaa..
 
Kila zama na kitabu chake, hayo yalifanyika kipindi cha marais wenye tamaa zao kwasasa kuna mzalendo anayeyashughulikia maswala yote hayo na anapambana kweli kweli hebu tumuungeni mkono
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom