Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Kwani dereva ametoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That makes two of us.....hata akiwa ndugu yangu namchukia!Binafsi mtu akishakua CCM automatically tu nikimwona napata kichefu chefu.
Siwapendi CCM kutoka moyoni.
Binti huu muda wa kumpikia mmeo ujue!Nakushauri ujiue au unye boga kabisa maana Magufuli alishasema haihitaji kupendwa na mtu zaidi ya mke wake....
Chuki humuumiza anayechukia.....nakushauri uanze mapema clinic ya msongo wa mawazo maana utaugua sana kwaajili ya kujibebesha mizigo ya chuki....
Pole sana....
Kwani dereva ametoka wapi?
Mkuu nawe unajua kuchunguza? Kale kaugonjwa kako ka vitu kama hivyo nilidhani kalipona kumbe kalitulia tuu baada ya yule aliyekuwa anakuacha hoi kupewa NW! Au ulifanikiwa ndio maana ukawa kimya?Kama hiyo picha kwenye avatar yako ni wewe, then usimchukie hivyo ndugu yako!.
Damu nzito kuliko maji!.
P
Unajuwa huwa najiuliza sana, hivi nchi hii ikiingia vitani sasa hivi kama ile vita ya Kagera itakuwaje maana uzalendo umepotea umebaki huu wa kina Steve nyerere na kina Kajala.Mkuu pascal, kwanza kabisa na mimi niweke wazi sifurahishwi jinsi huyu mtu anavyo chezea nchi yetu!!
Lakini je, hizi chuki unadhani zimetokea wapi? maana sio tu mleta mada ana chuki nae...kuna watu kibao mtaani wamejeruhiwa na sera zake mbovu!!
Je hii chuki haiwezi tumiwa na nchi maadui kuwatumia hawa watu kudhuru nchi yetu?
Je mtu kama huyu akiambiwa tunaweza mtoa magu kama ukifanya a,b,c unadhan atashindwa shawishika?
Au mtu kama huyu akiambiwa tupe data za kitengo fulani alafu tukulipe unadhani atashindwa shawishika??
Je unadhani hizi chuki zilizopandikizwa mioyoni mwa watanzania hasa vijana chanzo chake ni nini?
Je unadhan wale ndugu ambao binti yao alipigwa risasi watakua hawana chuki na jeshi la polisi na serikali kwa ujumla?
Ni kweli mkuu!! Kazi ipo!!Unajuwa huwa najiuliza sana, hivi nchi hii ikiingia vitani sasa hivi kama ile vita ya Kagera itakuwaje maana uzalendo umepotea umebaki huu wa kina Steve nyerere na kina Kajala.
Wale waliokuwepo miaka ile wataelewa namaanisha nini kwa uzalendo wa kila MTU wakati wa vita ile ulionekana.
Na kilichomfanya Amin apigwe ni watu wake kuwa kama hawa waliopo sasa hivi hapa kwetu, kuichukia serikali na utawala
I’m not saying I hate them that much, but I would unplug one's life support to charge my phone.That makes two of us.....hata akiwa ndugu yangu namchukia!
Hivi unawezaje mkubali JPM huku umevaa hirizi kiunoni??Utawala huu wa awamu ya 5 chini ya Magufuli umekua na matukio mengi ya kinyama watu wanauliwa wengine kwa mapanga kama nyama ya ng'ombe bucha
Magufuli wewe ulikua mbunge tu wa Chato na ukachaguliwa kwa bahati mbaya kuwa rais wa Nchi hii ndo maana ukasema utamlinda Kikwete na Benja wasiguswe
Unafanya mambo ya ovyo ,Nchi hii sio Mali yako tangu umeingia wewe kila kitu cha Nchi hii kimekwenda shanghalabaghala
Watu wanauliwa ovyo
Ajira umesitisha kwa vijana hasa walimu wa arts
Watu wanapigwa risasi ovyo
Nchi imekua haieleweki hadi tunahisi tupo Rwanda au Burundi
Magufuli achia Nchi uongozi huuwezi mzee acha kumuiga huyu jamaa yako Kagame usituharibie Nchi yetu kwa upuuzi wa katiba inayokupa mamlaka ya kufanya mambo ya ovyo
Wapenden maadui zenuSiku nikisikia Bendera nusu mlingoti,sitalia nitamtupa kagera nae awechakula cha mamba.
[emoji1][emoji1]Siku nikisikia Bendera nusu mlingoti,sitalia nitamtupa kagera nae awechakula cha mamba.
Wakati mauaji ya kikatili kwa walemavu wenye albinism na wengine kukatwa mikono tena watoto wadogo malaika wale wewe ulikuwa kuzimu sio..uongozi wakati huo ulikuwa poa!Utawala huu wa awamu ya 5 chini ya Magufuli umekua na matukio mengi ya kinyama watu wanauliwa wengine kwa mapanga kama nyama ya ng'ombe bucha
Magufuli wewe ulikua mbunge tu wa Chato na ukachaguliwa kwa bahati mbaya kuwa rais wa Nchi hii ndo maana ukasema utamlinda Kikwete na Benja wasiguswe
Unafanya mambo ya ovyo ,Nchi hii sio Mali yako tangu umeingia wewe kila kitu cha Nchi hii kimekwenda shanghalabaghala
Watu wanauliwa ovyo
Ajira umesitisha kwa vijana hasa walimu wa arts
Watu wanapigwa risasi ovyo
Nchi imekua haieleweki hadi tunahisi tupo Rwanda au Burundi
Magufuli achia Nchi uongozi huuwezi mzee acha kumuiga huyu jamaa yako Kagame usituharibie Nchi yetu kwa upuuzi wa katiba inayokupa mamlaka ya kufanya mambo ya ovyo